Kikao cha Kamati zote za Bunge kilichokuwa kiongozwe na Spika Job Ndugai leo chaahirishwa

Leo kilikuwa kifanyike kikao maalum cha wawakilishi wa kamati zote za bunge chini ya uongozi wa Spika Job Ndugai. Kikao hicho ambacho kilikuwa kifanyike huko Unguja kimeahirishwa.

Sababu za kuahirishwa kwake hazijawekwa wazi ingawa zipo taarifa za ndani kuwa tayari Job Ndugai ameshajiuzulu nafasi zake zote ndani ya CCM na bungeni.
Wacha tuone
 
CCM Imeisha kufa ,kwamba mtu kumkosoa tu Serikali ndo ashukiwa Kama mwewe,
 
Ndugai hawezi jiuzulu. Bunge ni mhimili unaojitegemea 🙄.Hivi Bunge na Mahakama vipo huru kweli ?Dictator Nyerere kweli alituachia majanga. Na kupata solutions ni ngumu. Mpaka wote waliozaliwa kabla ya uhuru wafe dunia.
Badala ya kujiliza kwa machozi ya kukamua kama ya lijualikali, ingia kwenye mapambano ya kusaka katiba bora/mpya.
 
Tanzania humilikiwa 💯 na mtu mmoja at a time, thanks to legacy ya Nyerere ambayo wazee wa CCM wako tayari kufa kuilinda isibadilishwe. Hakuna cha mihimili, nguzo wala rinta.

Ndugai was nuts to think he can express open dissent to her majesty Hangaya halafu akaendelea kukalia kiti cha uspika. That was terribly dumb kwa mtu aliyekulia CCM.

Nyerere mwenyewe aliingia mashaka sana kuhusu hatari ya hiyo katiba kabla hajafa lakini hakupewa muda wala fursa ya kushughulikia mabadiliko hadi anafariki.
 
Ndugai bado ni Spika bora zaidi kuliko.
pamoja na yote yaliyo tokea bado watanzania wengi wangependa kumuona anaendelea kukalia kiti hicho.
Bado anahitajika sana ktk kipindi hiki.
Ubora gani? Unadhani unavyotetea wale covid 19 kinyume na katiba ndo ubora wake? Mi naamini ni miongoni mwa mambo yaliyonajisi bunge hili
 
Hizo taarifa za kujiuzulu nafasi zote ni uongo!. Kama ni kujiuzulu ni kujiuzulu uspika tuu, ubunge na ujumbe wa CC unaendelwa hadi kuitishwe kikao cha chama kumjadili. CCM hawafanyi mambo kienyeji kama wale wenzetu.
P
Ndugu,
Cha msingi hapo ni ukweli/uongo wa taarifa hizo, lakini Ndugai na yeyote huko ANAWEZA kujiuzulu na akipenda kuachia mara moja nafasi hizo zote, kwani katiba yenu haimzuii. Kaisome tu vizuri itakusaidia kuachana na mikogo ya watoto.
 
CCM itaendelea kuwepo Sana tu,chama kimerudi kwa watoto wa mjini na wenye exposure
Hakuna kitu chama GANI, watu wanaishi KWa kufuata upepo, kwamba mwenyekiti wa chama ni malaika ,hatakiwi kosolewa? Hamna chama pale bali unafiki ndo umetawala na kujipendekeza
 
Ndugai bado ni Spika bora zaidi kuliko.
pamoja na yote yaliyo tokea bado watanzania wengi wangependa kumuona anaendelea kukalia kiti hicho.
Bado anahitajika sana ktk kipindi hiki.
Ndugai ubora wake huo, ulikuwa ni wa kufanya kazi na jiwe tu!!hakuna rais yoyote ambaye anapenda kufuata katiba na hapendi ubabe akaweza kufanya kazi na huyo, na ndio maana awamu hii anajiona kama ametengwa!!
 
Magufuli alikuwa akikaa chato,wageni wote wa kitaifa na kimataifa alikuwa anawapokelea chato, au kwakuwa msukuma mwenzenu ndiomaana mlikuwa mnasifia tu kila kitu?! Mara ya mwisho nakumbuka Rais wa Kenya alienda chato akapewa na zawadi ya ndege wale Tausi
Siku Pemba ikimezwa na bahari, Zanzibar itageuka kuwa mkoa wa Tanganyika
 
Ndugu,
Cha msingi hapo ni ukweli/uongo wa taarifa hizo, lakini Ndugai na yeyote huko ANAWEZA kujiuzulu na akipenda kuachia mara moja nafasi hizo zote, kwani katiba yenu haimzuii. Kaisome tu vizuri itakusaidia kuachana na mikogo ya watoto.
Its true mtu yuko huru kujiuzulu hata kujitoa wakati wowote, ila hili hufanywa na wale wanaosusa, Spika asuse kwa lipi?. Atajiuzulu Uspika tuu.
P
 
Badala ya kujiliza kwa machozi ya kukamua kama ya lijualikali, ingia kwenye mapambano ya kusaka katiba bora/mpya.
No thank you. Nina watoto wangu bado wadogo,wanaukoo kibao wananitegemea. Ya nini kurisk maisha yangu kisa katiba?Wana CCM wanataka watawale milele wapo tayari kutoa roho watu wanaotia hatari ugali wao.Kama unabisha muulize Magufuli. Wamemtanguliza kaburini kabla ya wakati wake.
 
mmh!!
 
Back
Top Bottom