Kikao cha Kamati zote za Bunge kilichokuwa kiongozwe na Spika Job Ndugai leo chaahirishwa

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
42,034
2,000
Pasco yupo kundi Moja kina Ndugai
Duh...!.
P
Naaam!
Kumpa Job u spika ilikua kosa kubwa, si kwasababu ya kutofautiana na mama kwa hili la juzi, ILA kihistoria ya bunge na utendaji wa Job….hakua na sifa! Ni zile “team” za uchaguzi zilipelekea tupate huyu mtu! Tukikosea akapewa Tulia ndio tutaharibu!
Naunga mkono hoja
P
 

igogondwa

JF-Expert Member
Aug 1, 2021
2,460
2,000
Ndugai hawezi kujihuzulu atafanya kazi gani?
Hiii hapa...
IMG-20220106-WA0064.jpg
 

igogondwa

JF-Expert Member
Aug 1, 2021
2,460
2,000
Ndugai bado ni Spika bora zaidi kuliko.
pamoja na yote yaliyo tokea bado watanzania wengi wangependa kumuona anaendelea kukalia kiti hicho, isipokuwa wafuasi wa Mbowe/chadema.
Mhe. Spika Bado anahitajika sana ktk kipindi hiki.
Tayari kibuyu kimelia hukoo...
 

cmp

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
4,447
2,000
Paskali naomba uelewe kuwa jimbo la Kongwa lipo wazi. Barua iliyoenda kwa Chongolo inatamka kujiuzulu ubunge wa Kongwa.
Huwa nakuamini 100% mkuu taarifa zako zote zina mashiko huenda upo idara nyeti. Mapema leo ulisema wazi kwamba tayari Spika kajiuzulu watu wakawa wanabisha humu ila ikawa ni kweli.
 

kallenge

JF-Expert Member
Mar 5, 2021
282
500
Kama hii ni kweli,hii ni dalili tosha kwamba Samia kashindwa kuendesha nchi.Yajayo yanafurahisha.

Ndugai ana kasoro zake Kama binadamu,lakini kwa hili la mikopo,he was right.Kama nchi hatuwezi kutegemea mikopo,hasa ukizingatia kwamba hawa watu siku zote wana agenda za siri ovu.
Kabisa yajayo yanafuraisha
 

kallenge

JF-Expert Member
Mar 5, 2021
282
500
Kazi ya uspika anaitaka kufa mtu lakini atapata wapi tena nguvu? Akimsifia mama ataonekana mnafiki akipinga juhudi za serikali ataonekana kweli ana nia mbaya kwa mama., yaani hakuna namna nyengine ndugai amejiharibia mwenyewe dakika 5 alizotumia kuongea kitu ambacho hakukifanyaia tathmini ya kina impact yake

Ni kama vile ndugai haikuwa akili yake kuongea vile., ni majuto sana, kule kwetu tunasema "Amepazwa"
Watanzania bhana hatari sana. Mtu akikemea kwa kutetea maslahi ya taifa mnamnanga duuuh
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom