mafutamingi
JF-Expert Member
- Feb 14, 2011
- 2,772
- 2,171
Kumbe unawajua waliompiga Lissu risasi! Kasaidie uchunguzi ili faili lifunguliwe!Wampige risasi tu mbona Lissu walimpiga risasi
Kumbe unawajua waliompiga Lissu risasi! Kasaidie uchunguzi ili faili lifunguliwe!Wampige risasi tu mbona Lissu walimpiga risasi
Afukuzwe kwa kosa gani,alafu Mbona Membe hana nguvu hiyo inayosemwa ..hivi anawezaje kupata nafasi ya kuwa Mgombea
Jiwe Gizani!!!
Na akidhurika tu tu nyinyi na nchale
Akina nani?.Ngoja waje.
Wenye kikao...Akina nani?.
Tusubiri huyo ?! Tusikie atasemaje!Akina nani?.
Wewe kweli ndio kiraka..... Unatafuta bwanaHata Chadema inakufa lakini inasema ipo vizuri
Uzuri wa katuni tafsiri unajipa mwenyewe. Unaweza kukuta anamaanisha CMG pia. Kwani eti braza uchumi uko hoi na raisi anasema tuko vizuri?Mchoraji maarufu wa katuni Masoud Kipanya amechora katuni ambayo inatafsirika kama kejeli kwa rais Magufuli
Katika katuni hiyo anaonekana mtu amezama majini akiacha mkono tu juu huku akisema yupo vizuri
Hii inaweza kutafsiriwa kuwa ni Hali mbaya ya kiuchumi Tanzania iliyonayo hivi sasa huku Rais akisisitiza katika hotuba zake za kila mara kuwa tupo vizuri
View attachment 960560