Wewe unasaka bwana wa ngapi?nipe uzoefu!Wewe kweli ndio kiraka..... Unatafuta bwana
Mzee Kipanya anachora katuni za kisiasa, na mtu ambaye ananukuliwa akisema tupo vizuri kila siku ni MagufuliUchonganishi na uzushi......hayo ni maoni na mtazamo wako si msimamo wala tafsiri ya watanzania wote
Kwani wapi kaandika ni Rais ?! Usimtafutie mwenzio nissan na premio zianze kazi.Mchoraji maarufu wa katuni Masoud Kipanya amechora katuni ambayo inatafsirika kama kejeli kwa rais Magufuli
Katika katuni hiyo anaonekana mtu amezama majini akiacha mkono tu juu huku akisema yupo vizuri
Hii inaweza kutafsiriwa kuwa ni Hali mbaya ya kiuchumi Tanzania iliyonayo hivi sasa huku Rais akisisitiza katika hotuba zake za kila mara kuwa tupo vizuri
View attachment 960560

Hata Chadema inakufa lakini inasema ipo vizuri
Jamaa ana kipawa cha hatari!Mchoraji maarufu wa katuni Masoud Kipanya amechora katuni ambayo inatafsirika kama kejeli kwa rais Magufuli
Katika katuni hiyo anaonekana mtu amezama majini akiacha mkono tu juu huku akisema yupo vizuri
Hii inaweza kutafsiriwa kuwa ni Hali mbaya ya kiuchumi Tanzania iliyonayo hivi sasa huku Rais akisisitiza katika hotuba zake za kila mara kuwa tupo vizuri
View attachment 960560
Mzee Kipanya anachora katuni za kisiasa, na mtu ambaye ananukuliwa akisema tupo vizuri kila siku ni Magufuli
Mchoraji maarufu wa katuni Masoud Kipanya amechora katuni ambayo inatafsirika kama kejeli kwa rais Magufuli
Katika katuni hiyo anaonekana mtu amezama majini akiacha mkono tu juu huku akisema yupo vizuri
Hii inaweza kutafsiriwa kuwa ni Hali mbaya ya kiuchumi Tanzania iliyonayo hivi sasa huku Rais akisisitiza katika hotuba zake za kila mara kuwa tupo vizuri
View attachment 960560
Uzuri hajawahi mtaja mtu. Hivyo usishangae katika watu 10 kila mmoja akawa na tafsiri yake.
Maoni yako mkuuMzee Kipanya anachora katuni za kisiasa, na mtu ambaye ananukuliwa akisema tupo vizuri kila siku ni Magufuli
Hakika Mkuu. Siku zote Katuni ni kitu ingine. Kuitafsiri si rahisi.Umesema kweli mwingine anaweza tafsiri hiyo picha kuwa "hayo yalikuwa mashindano ya kuogelea mshindi ameinua mkono kuwapasha wenziwe kuwa ameshinda"!!!
Kwa hiyo Unamaanisha uchumi umekufa ila magufuli anatudanganya kwa kusema tupo vizuri?Hata Chadema inakufa lakini inasema ipo vizuri