Special thread: Vikaragosi vya Masoud Kipanya

Special thread: Vikaragosi vya Masoud Kipanya

Unataka kusema kuwa ndiye aloyemshauri Emmasson Mnangagwa kumtimua Mugabe kwa intelligemsia kali sana namna ile?? Then if the case is so, Magufuli ajisalimishe mapema.
Mmoja kashika ugali mwingine mboga,tule pop cone vita vya panzi
 
Magu hajui wafanyeje dhidi ya Membe

Mshauri wa kwanza anasema wakimuacha atawasumbua, na mshauri wa pili anasema wakimtimua atawasumbua pia

Jiwe yeye kashindwa afanyeje zaidi anaona manyotanyota tu

Wazo la mwisho nadhani upara atapendekeza risasi
 
Back
Top Bottom