Angalia Magu anavyotetemekaMimi nimeshindwa kuelewa maana hasa ya hii picha kutoka kwa msanii Kipanya
Tafadhali wenye maono na akili ndefu tuichambue hii pichaView attachment 958039
Chinga Two.Nani huyo sasa anatakiwa kupigwa risasi?
Kakataa kujitoa ufahamu.Kwani kawakosea kitu gani jamani?
Na wiki ijayo vifaru viwili on duty! na kama ni ukanda wa pwani basi hii kitu takuwa inavinjari maana sasa imefungwa vifaa vya Kiisrael kama yote!Ndiyo maana jamaa kaongeza mpaka chopa
Haizuii mabadiliko, we team bushmen, mlala kwa shemeji, mtapata tabu mtajulikana tu msiojulikana siku zinakuja.
Anamaanisha wale wasiojulikana kwenye vikao vyao ndio mambo wanayodiskasMimi nimeshindwa kuelewa maana hasa ya hii picha kutoka kwa msanii Kipanya
Tafadhali wenye maono na akili ndefu tuichambue hii pichaView attachment 958039
Wee yule ni mtu mkubwa kumbuka yuko kitengo badoWampige risasi tu mbona Lissu walimpiga risasi
Maembe dodoNani huyo sasa anatakiwa kupigwa risasi?
Magufuli na Inner circle yake Clueless individuals ni rahisi kusambaratishwa na mtu kama Membe.Unataka kusema kuwa ndiye aloyemshauri Emmasson Mnangagwa kumtimua Mugabe kwa intelligemsia kali sana namna ile?? Then if the case is so, Magufuli ajisalimishe mapema.
Chinga Two.
Afukuzwe kwa kosa gani,alafu Mbona Membe hana nguvu hiyo inayosemwa ..hivi anawezaje kupata nafasi ya kuwa Mgombea
Kwani hao member wengine umewaona.Naona kuna kitu mtu mnamtafutia huyo m/kiti wa kikao hicho kwani wanaojadili ni members only. M/kiti hayupo
Ndio maana nikasema; Kuna jambo mnamtaka m/kiti ninyi members kwaki hakuwepo kwenye kikao kilicho mjadiliKwani hao member wengine umewaona.
Wote wapo hawapoNaona kuna kitu mtu mnamtafutia huyo m/kiti wa kikao hicho kwani wanaojadili ni members only. M/kiti hayupo
Membe anatisha hadi kuna uongozi wa Taasisi fulani unataka kubadilishwa !Mimi nimeshindwa kuelewa maana hasa ya hii picha kutoka kwa msanii Kipanya
Tafadhali wenye maono na akili ndefu tuichambue hii pichaView attachment 958039
kwamba chama chenyewe kina ulizana huyu mtu tukimtoa au tumpoteze.hapo wazee waupinzani unajua ndipo waokotaji kama tunawajua.ndipo chama kinakosa jibuMimi nimeshindwa kuelewa maana hasa ya hii picha kutoka kwa msanii Kipanya
Tafadhali wenye maono na akili ndefu tuichambue hii pichaView attachment 958039