Masoud Kipanya, Toa ufafanuzi wa upotoshaji wa Manara kabla heshima yako haijapotea

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
39,798
71,218
Haji Manara kaamua kama kawaida yake anapotetea Yanga au GSM na Hersi Said ataangamiza chochote mbele yake hata kama ni baba yake Mzee Sunday.

Kwake mlo na sifa ndio muhimu. Muingiliano wa sauti ambao anarusha kwenye mitandao ni kama kuiponda credibility ya CLOUDS MEDIA na mmiliki wake Kusaga.

Pamoja na madhaifu ya Clouds kama Clouds lakini mjinga mmoja hawezi kuharibu kituo chenye idadi kubwa ya ajira kwa uchawa wake kwa wahindi au waarabu ili aishi Masaki.

Kwa vile incharge wa show ile alikuwa Masoud Kipanya na mwenzake Ciza basi watoke mara moja kutoa ufafanuzi kuweka mambo sawa.
 
Sioni tatizo kwenye kile kilichozungumzwa kwenye clip

Ila kuna doa ambalo kama media naona imeenda kujichafulia.

Kama hili swala sio mkakati wa wao wenyewe wahusika namaanisha Feisali kuwa ni mpango wake hii kitu kufanyika na sio kama bahati mbaya.

Basi kwenda behind someone back na ku leak some sensitive content bila approval ya mhusika ni kuitia doa chombo cha habari.

Watu watakuwa na wasiwasi na kituo hicho hata wakiwa na taarifa nyeti wataogopa kuja hapo wakijua wapo spies ambao wataenda kuuza taarifa zako na kuzivujisha kinyume na matakwa yako.
 
Kaka hata wewe unaandika kitu kama hiki? Mbona wewe mkongwe na mwenye upeo mkubwa? Hebu tenga muda kafungue youtube mahojiano yote ikiwemo hayo mazungumzo muda wa matangazo ( hawakuzima mic) then useme umesikia tatizo gani mule! Ukielewa futa huu uzi usishushe P yako.
 
Watu hawaitaki kushuhulisha ubongo...mpaka Sasa hivi ipo YouTube...na sion tatizo Mimi pale..
Manara anaibua taharuki tu...
Na Mimi sion shida Jasmin kuzungumza anae vile yule ndo mshayri wake lazima amuelekeze...
Mimi ni simba ila yanga wnaavyomtrit huyu dogo ni kama vile mke asiejua kuachika
 
Kaka hata wewe unaandika kitu kama hiki? Mbona wewe mkongwe na mwenye upeo mkubwa? Hebu tenga muda kafungue youtube mahojiano yote ikiwemo hayo mazungumzo muda wa matangazo ( hawakuzima mic) then useme umesikia tatizo gani mule! Ukielewa futa huu uzi usishushe P yako.
Brother usikonde, labda hujanipata sawasawa nilichosema.
Manara kalikoroga ili kuwachanganya wajinga lakini mwenye uwezo wa kumprove wrong ni wale waliofanya interview ambao ni Kipanya na Ciza
 
Ka vile naona msururu wa vikatuni mfululizooo mwezi huu kujibu hoja yako
 
Labda tukiwaamonisha kwamba ubongo ni App wataanza kutumika bongo zao kama TikTok
 
koma wewe mpemba kutumia jina la feisal jina hili la kiarabu na mtu akiitwa jina hili anasifa, badili ujiite makame majina yenu
 
Back
Top Bottom