Masoud hana akili ni mirembeMchoraji maarufu wa katuni Masoud Kipanya amechora katuni ambayo inatafsirika kama kejeli kwa rais Magufuli
Katika katuni hiyo anaonekana mtu amezama majini akiacha mkono tu juu huku akisema yupo vizuri
Hii inaweza kutafsiriwa kuwa ni Hali mbaya ya kiuchumi Tanzania iliyonayo hivi sasa huku Rais akisisitiza katika hotuba zake za kila mara kuwa tupo vizuri
View attachment 960560
Mchoraji maarufu wa katuni Masoud Kipanya amechora katuni ambayo inatafsirika kama kejeli kwa rais Magufuli

Acha 'uchawi' mkuu!Mchoraji maarufu wa katuni Masoud Kipanya amechora katuni ambayo inatafsirika kama kejeli kwa rais Magufuli
Katika katuni hiyo anaonekana mtu amezama majini akiacha mkono tu juu huku akisema yupo vizuri
Hii inaweza kutafsiriwa kuwa ni Hali mbaya ya kiuchumi Tanzania iliyonayo hivi sasa huku Rais akisisitiza katika hotuba zake za kila mara kuwa tupo vizuri
View attachment 960560
Mkuu, tatizo uwezo mdogo,watu hawaelewi .Huyu jamaa mwehu kweli,masoud kamtaja mtu hapo?....nashukuru unajua kama hali ya uchumi ni mbaya.
Kwa tafsili yangu huyo ni trump huko USA.
HahaaaWe are on the Light track..
Sio wote tunaweza jua kutafsiri cartoon. Itakuwa ni wewe mwenye upungufu.Masoud hana akili ni mirembe
Hizi ni tafsiri za kijaniMahaba yako tu hayo kwa kipanya ...... Lakin hakuna uhusiano wowote wa picha na maandishi yako.... Wa Tanzania zaidi ya 20m wenye akili timamu wewe ndio umetafsiri hiyo image na serikali ya Tanzania. Wengi wanaona mtu kazama akionyesha yeye ni mtaalam wa mbiziiii kama nyambiz la ussr
You really don't think beyond bro...Mahaba yako tu hayo kwa kipanya ...... Lakin hakuna uhusiano wowote wa picha na maandishi yako.... Wa Tanzania zaidi ya 20m wenye akili timamu wewe ndio umetafsiri hiyo image na serikali ya Tanzania. Wengi wanaona mtu kazama akionyesha yeye ni mtaalam wa mbiziiii kama nyambiz la ussr