Kijana, don't settle with your agemate

Kijana, don't settle with your agemate

Ujumbe wako Upo sahihi ila kumtolea mfano riyana umepuyanga pesa zipo yule hazeeki kizembe.

Kuna dogo nimempiga gape la miaka 10 aisee yeye wa 2006 hapa nainjoy maisha,anajua mimi nina 23.
😄
 
Niggaz, dating a woman of 26-30+ is not romance, it's rescuing mission. By this stage most of them have been through men you can't imagine, different bedrooms, different positions, different calibles. They have tested alphas, betas, players, hustlers, broke boys, rich boys and after years of exploration they want to rebrand themselves as serious women. Don't be deceived, its atrap. She is not looking for love anymore, she is looking for a retirememt plan.
Kiukweli Natafuta Ajira hii paragraph imeniumiza moyo maana ukweli umeuchana kama ulivyo
 
Kuna jamii na dini fulani mume akiona mke wake amezeeka, mila na desturi zao zinaruhusu mume kuoa mke mwingine binti mbichi, wanamuita kigori. Mke mzee anaridhia kupata msaidizi wa kumpa mzee joto. Mkee mzee anaona hana joto kubwa tena, ni kama anastaafu kufanya tendo la ndoa na kubaki mama wa kaya/boma tu, anaitwa bi mkubwa. Kibinti kinaingia mzigoni kikiwa na nguvu za kumpa mzee joto. Binti huwa hakatai na hachagui mume wa kumuoa na wala jamii yake haimcheki kuwa kaolewa na mzee wakati vijana wapo. Ni kawaida na si ajabu katika jamii hiyo mzee kuoa binti na maisha yanaendelea
 
Utetezi namba moja.
Age sio kigezo cha usemayo case closed!

Umri haujawahi kuwa ishu hata siku moja, hako kadogo-kadogo kanaweza kukuhenyesha mpaka ukamtamani mshangazi. Kwenye ishu nzima ya Mahusiano kinachoamua mdumu au msidumu ni kwa kiwango gani mmeoana au kuendana. Vinginevyo ni sarakasi tu. Na asiwepo wa kugusa post yangu
Kupanga ni kuchagua
 
Rihanna ameachana na Chris B ila amekuja kuzaa na kijana mdogo ambae amemzidi miezi 7 na jamaa Asap anajua kupiga mashine ni anamtungisha mimba juu ya mimba
Wenzetu wapo very strictly kwenye suala la kuzaa. Kule kuzaa ni mipango sio kupiga mashine tu. Hao wakina criss brown, drake na maex wengine nao wana mababy mama
 
Ubaya wa hao wasanii ni ile unajua kabisa fulani na fulani kashaichapa. Imagine Marioo anajua former members wa wasafi pamoja na boss wao tayari washapita kwa baby mama wake
Ndio anakua anajua na yeye anaingia mazima kuichapa na kuijaza ndani kabisa maana anabeba lawama za wote
 
Wadogo machoni mkuu....

Aya tuje kibongobongo au tuseme aiziz k na yule dada vipi
 
Naunga mkono kama kwako sura ni changamoto kubwa kuliko akili, mimi vitoto vilinishinda kwa sababu maisha ya malezi yanahitaji commitment na akili komavu kitu ambacho kwa vitoto vya below 23 vingi unaweza ishia kuwa unafoka tu bure ndani
 
Back
Top Bottom