Kiingereza ni tatizo lajionesha SCOAN

Kiingereza ni tatizo lajionesha SCOAN

Ofcourse the English the language is the most difficutiest of the french colonial rule of assimilation in the solar system including bashite of the planet.
The english is da guda but sometime ofcourse is difficult very very tough to spoke and speak to the general public of so many many people of the country of the other nation citizen and individual .. ...goodmorning.
 
Hivi haiwezekani nikaombewa hadi niwe fluent kama Donald Trump?
Hahahaha,jifungie ndani wiki mbili,jifunze matamshi siku hizi kuna videos nyingi tu youtube za lessons mbalimbali katika kiingereza.Unamfahamu Celine Dion?Yule anatokea Canada ya francophone ,alikuwa hajui kabisa kiingereza,alijifunza hadi akafikia hatua ya kurelease nyimbo za kiingereza,sasa msikilize Celine akiongea kiingereza hakika utapata motivation.
 
Hata Leodigar Tenga alipokwenda kugombea ujumbe wa FIFA Upande wa anglophone alipambana na Mghana mmoja hakika yule Mghana alimfunika kweli Tenga kwenye Lugha ya Malikia yule Mghana alikuwa anatema kweli mayayi Tenga alijitahidi lakini alikuwa anatafuta kweli maneno, alibidi ashindwe tu hakukuwa na namna
 
Hahahaha,jifungie ndani wiki mbili,jifunze matamshi siku hizi kuna videos nyingi tu youtube za lessons mbalimbali katika kiingereza.Unamfahamu Celine Dion?Yule anatokea Canada ya francophone ,alikuwa hajui kabisa kiingereza,alijifunza hadi akafikia hatua ya kurelease nyimbo za kiingereza,sasa msikilize Celine akiongea kiingereza hakika utapata motivation.
Nataka wewe uwe ndio motivator wangu, Celine Dion wangu
 
Comment za hii siredi ni mwisho. Nimecheka wakati sijacheka toka Asubuhi
 
Hivi punde dada mmoja wa kitanzania kwa jina Victoria Jimmy ametoka mbele ku testify anaongea kiingereza kibovu sana yaani broken english.
Huyu dada ni bora angetoka mbele ya world tv ya emmanuel tv na mkalimani maana ni aibu kwa chuo chake alichomaliza pia. Ni graduate wa Tumaini iringa akiwa na shahada ya sheria.

Ombi wabongo wenzangu mkiwa mnakwenda ku testify mbele ya global tv kama emmanuel kama hujui kiingereza ni bora ukanyamaza.
Anajinadi kwamba kapata ajira Gimco Africa na amepona ulcers za tumbo
Nadhani wewe ndio unahitaji mkalimani wa fikra zako. Kama wewe unavyojisikia faraja na kukimbilia kumpa msaada mzungu anayechapia kiswahili, ndivyo wenye lugha yao wanavyomsifia huyo dada kwa jitihada zake. Umetia aibu kubwa
 
Kuna watu bado mnatukuza lugha za wenzenu mpaka mnazeeka.

Hivi mtanzania kuongea broken English kuna tatizo gani?
Wazungu wangapi wanapiga kiswahili cha hovyo na tunaona kawaida tu?
Sio tu kiswahili, hajui kua kuna wazungu wengine kingereza hawajui, wanapiga broken ya hatari, (wale wasio enda shule) lol.

Sent from my SM-G900F using JamiiForums mobile app
 
Hivi punde dada mmoja wa kitanzania kwa jina Victoria Jimmy ametoka mbele ku testify anaongea kiingereza kibovu sana yaani broken english.
Huyu dada ni bora angetoka mbele ya world tv ya emmanuel tv na mkalimani maana ni aibu kwa chuo chake alichomaliza pia. Ni graduate wa Tumaini iringa akiwa na shahada ya sheria.

Ombi wabongo wenzangu mkiwa mnakwenda ku testify mbele ya global tv kama emmanuel kama hujui kiingereza ni bora ukanyamaza.
Anajinadi kwamba kapata ajira Gimco Africa na amepona ulcers za tumbo
Bro, Emancipate yourself from Mental Slavery, (free your mind.)


Sent from my SM-G900F using JamiiForums mobile app
 
Tumu encourage bana.... kwanza kutoka mbele ukijua hujui lugha vizur inataka moyo... kuna mwenye phd anaweka mkalimani siku hiz.....
 
you know we were was going to the be mosk english speaker when we was promoting that language during colonialist up to the ww1 including some issues like make banana to become a face of sinyorita.. etc.
Hivi hapo nilipo bold pako sawa?
 
Halafu alijieleza kuhusu interview yake panel ilimwambia " You dont know english" She saluted them Emmanuel. She is a daring character.
 
Tuache masihara kiingereza ndio lugha ya dunia. Na watu wote wanakwenda global ni lazima wajifunze. Nimetoa ushauri tuu kwa wenzangu wasiokijua ni bora waombe mkalimani kuliko kuanza ze mimi ze was facing strong stomach ulcers. Halafu unakuta mtu ni graduate hali tunajulikana tz tunasoma kwa kiingereza mpaka university. Hii ni aibu kwa taifa.

Tutumie fursa hii kwa watoto na watu wetu wazidishe juhudi kujifunza kingereza maana huwa hakifundishwi ukakielewa chote.

Wanafunzi wanasoma udaku, the guardian wanaona msaafu tabu kuligusa. Na movie siku hizi kuna matapeli wana tafsiri ndio wanatengeneza wakina shishi bubu wengi mitaani

Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
 
Hivi inakuwaje mchumi professor halafu anashindwa kujieleza kwa kimombo.
Akialikwa kwenye Development Bank forums akaelezee Anti money laundering si atatutia aibu kama nchi kweli.

Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
 
Jamani.Ach Ni Masihara.Nimechekaaaaa sana.Naona umeamua kufurahisha watu

Sent from my Solar 5 using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom