Gut
JF-Expert Member
- Jan 18, 2016
- 2,852
- 3,404
Hoja yako haina nguvu. Kwenye vyeti watu wana A plus lazima tuhoji.Ila bado naamini kuwa academic hapa TZ hakumaanishi uwe eti unazungumza kiingereza vizuri sana, hapana kabisa, na kama ni hivyo basi raia wa kawaida toka hizi nchi kama, Warusi, Wahispania, Wajerumani, Wafaransa, Wajapanna hata Wachina wangechekwa kama hivi