Kiingereza ni tatizo lajionesha SCOAN

Kiingereza ni tatizo lajionesha SCOAN

English language of the most important thing is that the only thing that is not valid for sale near future and the other day I was just wondering if you have a good time to time and money when you get the best way to get the best way forward is not valid in my job and a bit like to be the best price on a regular visitor centre for research in this email address and telephone number
Mwe mwe mwe!!!

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
you know we were was going to the be mosk english speaker when we was promoting that language during colonialist up to the ww1 including some issues like make banana to become a face of sinyorita.. etc.
Long live Maxence Melo kwa kuanzisha JF. [emoji23][emoji16]

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
As you know I asked my friend ,My friend yesterday did you go to saw the match? And he replied ,yes I dided.

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
 
Long live Maxence Melo kwa kuanzisha JF. [emoji23][emoji16]

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
mkuu na hapo nimeangalizia kwa konkodi wa darasa! nikiandika mwenyewe ni hatari..
 
Hivi punde dada mmoja wa kitanzania kwa jina Victoria Jimmy ametoka mbele ku testify anaongea kiingereza kibovu sana yaani broken english.
Huyu dada ni bora angetoka mbele ya world tv ya emmanuel tv na mkalimani maana ni aibu kwa chuo chake alichomaliza pia. Ni graduate wa Tumaini iringa akiwa na shahada ya sheria.

Ombi wabongo wenzangu mkiwa mnakwenda ku testify mbele ya global tv kama emmanuel kama hujui kiingereza ni bora ukanyamaza.
Anajinadi kwamba kapata ajira Gimco Africa na amepona ulcers za tumbo
Nilimsikia yule Mzungu mtaliano alievunja rekodi ya kupanda mt Kilimanjaro majuzi....aliongea broken kama baba bashite tu!

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
 
Hivi punde dada mmoja wa kitanzania kwa jina Victoria Jimmy ametoka mbele ku testify anaongea kiingereza kibovu sana yaani broken english.
Huyu dada ni bora angetoka mbele ya world tv ya emmanuel tv na mkalimani maana ni aibu kwa chuo chake alichomaliza pia. Ni graduate wa Tumaini iringa akiwa na shahada ya sheria.

Ombi wabongo wenzangu mkiwa mnakwenda ku testify mbele ya global tv kama emmanuel kama hujui kiingereza ni bora ukanyamaza.
Anajinadi kwamba kapata ajira Gimco Africa na amepona ulcers za tumbo
Cha msingi ni kama kaeleweka basi haina shida hata kidogo na wala sioni kwamba kuna jambo la aibu kwenye kutokufahamu lugha kiufasaha
 
Hivi punde dada mmoja wa kitanzania kwa jina Victoria Jimmy ametoka mbele ku testify anaongea kiingereza kibovu sana yaani broken english.
Huyu dada ni bora angetoka mbele ya world tv ya emmanuel tv na mkalimani maana ni aibu kwa chuo chake alichomaliza pia. Ni graduate wa Tumaini iringa akiwa na shahada ya sheria.

Ombi wabongo wenzangu mkiwa mnakwenda ku testify mbele ya global tv kama emmanuel kama hujui kiingereza ni bora ukanyamaza.
Anajinadi kwamba kapata ajira Gimco Africa na amepona ulcers za tumbo
HIVI WEWE JAMAA MBONA WA AJABU? HUYO MDADA KUONGEA BROKEN UNAONA AJABU KWANI ENGLISH NI LUGHA YAKE, ACHA USHAMBA WA KUTUKUZA WAZUNGU WEWE.... BADILIKA NDUGU.....MZUNGU AKIONGEA KISWAHILI KIBOVU WALA HAMSHANGAI UTAWATUKUZA WAZUNGU HADI LINI?
 
Yeah, yes, the true nature of English is migebuka flabbergusted in the fucking hell of the week end.
Once you mix of South Africa president Mugabe is gonna retire without political election in Mogadishu as the alishabab is invites in the white house by president putin of Congo.
Mbavu zaniuma mkuu, hahahahahha🙂🙂🙂🙂
 
Ila mleta uzi labda ana point, maana mambo ya mikataba yalisumbuwa na yanatusumbuwa mpaka JPM katuletea Prof. Kabudi kuokoa jahazi! Kweli mtu chake!
 
kwa nini mtu usiongee lugha yako,angalia rais wa china always anaongea lugha yake kwenye dhifa zote,angalia pia yule mama wa ujerumani ,anaongea lugha yake,be a proudy na lugha yako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom