AL SHARPTON
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 2,797
- 953
Usihofu hauko peke tako...kuna timu masai dada nao weupe tu
Really?
Last edited by a moderator:
Usihofu hauko peke tako...kuna timu masai dada nao weupe tu
Really?
Like seriously!!
For real?
Aaah kumbe uko poa kapige lugha mlima city
tunaenda kupoa pale baada ya mizunguko ya mwengeSisi wengine huwa tunapita hapo kupigwa kiyoyozi kabla ya kuendelea na safari ya kurejea makwetu...
tunaenda kupoa pale baada ya mizunguko ya mwenge
ipo mvua tu imezenguaHivi ile mitumba ya jioni bado ipo pale mwenge?
Acha Hizoo, Rais wa China, Korea, Urusi, German, Italy nk hawajui kingereza na hawana mda na kutaka kukijua, huku Wananchi wao Wengi hawajui hiyo Lugha, hawa hawana Hadhi? Waarabu wengi hawajui Lugha hiyo mbona pesa ya Oman ndiyo yenye thamani kuliko pesa zote Duniani?
ipo mvua tu imezengua
siwezi njoo na wewe upigwe jua uone raha yakeUtaninunulia ile nguo ya kwanza nguo ya kwanza mvua zikiisha...
For real?
Absolutely.
'...like seriously?'' hili neno nililisikia kwa wadada zaidi ya 7 tofauti tofauti, nkadhani ni kamsemo ka kuulizia bei mule mlimani city, basi namimi bila kuvunga ndani ya duka la airtel nanunua zangu modem,kheee kuambiwa bei si ndo nikalitamka.like seriously? hahahahahaha!!!! napenda sana kingereza cha mlimani city yaan kila neno lazima lianze na ''like...''
Hawafanyi makusudi bali ...
Lile jengo limekuwa equiped with Special gravity ambayo iko standby kuchezesha lips za midomo mara tu unapoingia mjengoni ili uweze kuzungumza kimombo hata bila ya ridhaa yako....!
Endapo ukifanikiwa kukaa mule kwa zaidi ya saa mbili.. basi utakuwa tayari umekidhi vigezo vya mtu anayestahili kuwa interviewed kwa ajili ya nafasi ya kazi....!
'...like seriously?'' hili neno nililisikia kwa wadada zaidi ya 7 tofauti tofauti, nkadhani ni kamsemo ka kuulizia bei mule mlimani city, basi namimi bila kuvunga ndani ya duka la airtel nanunua zangu modem,kheee kuambiwa bei si ndo nikalitamka.like seriously? hahahahahaha!!!! napenda sana kingereza cha mlimani city yaan kila neno lazima lianze na ''like...''
Lile ni jiji lingine kabisa na lugha yake ni inglish sasa ukifika tu pale automatically ulimi una geuka na kuzungumza lugha husika ya pale
Hahaaa kiongozi, kuna sarcasm hapo.
Ila kuna watu waonavyo hivyo, kwamba Kiingereza ni ishara au alama ya ustaarabu.
Hujawahi kukutana na Wabongo ambao hawajawahi hata kuishi Uingereza au popote pale nje ya Tanzania lakini wanajifanya kama hawakijui Kiswahili?