lukelo sakafu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2015
- 2,938
- 517
- Thread starter
- #21
mie na kisukuma changu wala sina habari
mwangaruka?
mie na kisukuma changu wala sina habari
Jamani kwa nini kila mtu akikanyaga tu lango la kuingilia Mlimani City anaanza kuongea kiingereza? Utasikia cha kuungaunga mara IS na WAS kibao. Kwani mkiongea Kiswahili chenu mtakuwaje? Acheni uzuzu, ubitozi na usister duu!
Wabongo bwana 
Mtu unamsemesha kiswahili anakuchanganyia lugha, ukiongea kingereza anaanza kuchanganya R na L humo humo kingerezani, past tense zinakuwa future na future zinakuwa present, present tense zinakuwa mixed grill
Nasikia pia watz wakiingia Karia koo wanaaza kupiga cha Kihindi na Kichina ili kwenda sawa na wenye Maduka........!
Hahaaa kiongozi, kuna sarcasm hapo.
Ila kuna watu waonavyo hivyo, kwamba Kiingereza ni ishara au alama ya ustaarabu.
Hujawahi kukutana na Wabongo ambao hawajawahi hata kuishi Uingereza au popote pale nje ya Tanzania lakini wanajifanya kama hawakijui Kiswahili?
Hahahahahaha,we Clues ni Sheeeeda.
Blessed you have made my day(he namie kizungu pori kimekuja kwa kuona mtoto mzuri tu,sijui nikiendanae mlimani City itakuwaje)
Hahahaha dah kuna watu mko talented jaman...umenifurahisha sana rafikiHawafanyi makusudi bali ...
Lile jengo limekuwa equiped with Special gravity ambayo iko standby kuchezesha lips za midomo mara tu unapoingia mjengoni ili uweze kuzungumza kimombo hata bila ya ridhaa yako.......... ...!
Endapo ukifanikiwa kukaa mule kwa zaidi ya saa mbili.. basi utakuwa tayari umekidhi vigezo vya mtu anayestahili kuwa interviewed kwa ajili ya nafasi ya kazi............!
ila si kama chako ambacho kinamfanya mwenzio atembee na dictionary!!
kwa hiyo umemaindi kichizi?!
just like just like ...ziko nyingi kwa kila sentensi.
Umenichekesha sana, hommie!Kiingereza kinaongeza hadhi bana. Kinakufanya uonekane msomi, wa kileo, na mstaarabu.