Kiingereza cha Mlimani City

Kiingereza cha Mlimani City

Mbongo akiongea kingereza kwa kuweka "R" nyingi anaonekana anajua kingereza kumbe chenga tupu
 
Jamani kwa nini kila mtu akikanyaga tu lango la kuingilia Mlimani City anaanza kuongea kiingereza? Utasikia cha kuungaunga mara IS na WAS kibao. Kwani mkiongea Kiswahili chenu mtakuwaje? Acheni uzuzu, ubitozi na usister duu!
bora cha mlimani city, mimi kiingereza cha ma cabin cruew mle ndani hasa kikiongelewa na mbongo demu anayejishaua huwa natamani amalize kuongea. kinakera kusikiliza. sijui niko peke yangu? yaani kinakeraaaa aaangggg
 
Kinakera kwa kuwa kimenyooka Au kimepinda mkuu?
 
Sijui ni ndio ilivyo kwenye vitabu vyao maana wengi wako hivyo............
bora cha mlimani city, mimi kiingereza cha ma cabin cruew mle ndani hasa kikiongelewa na mbongo demu anayejishaua huwa natamani amalize kuongea. kinakera kusikiliza. sijui niko peke yangu? yaani kinakeraaaa aaangggg
 
Jamani kwa nini kila mtu akikanyaga tu lango la kuingilia Mlimani City anaanza kuongea kiingereza? Utasikia cha kuungaunga mara IS na WAS kibao. Kwani mkiongea Kiswahili chenu mtakuwaje? Acheni uzuzu, ubitozi na usister duu!

Ha ha ha mkuu nadhani ulinisikia mimi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom