bbwaoy
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 466
- 468
Mkuu, bbwaoy, Iko Mwanza mitaa gani hii kitu?.
Iko mitaa ya Ghana karibu na maeneo Ya CCM kirumba.. mzigo ulisha isha huu... Ni watu tu ndio wana uchelewesha hawa taki kujifunza English course!! Tume pewa mwezi 1 wa kijifunza English mzigo ufunguliwe... Manake itakua vurugu hapa!
Attachments
Last edited by a moderator: