Wewe UVCCM unamfahamu Mr. Polepole au unamsikia? Kwa nini Polepole na si Gwajima!? Au ubunge wao unaviwango tofauti? Acha double standard, ungetoa kauli ya kuwaonya wote ndani ya ccm waache kupingana na mamlaka tena ya chama chao. Ila mkumbuke mtoto umleavyo ndivyo akuavyo. Wewe toto lako kila siku matusi na ugomvi na majirani! badala ya kulionya unalisifia, leo limekosa wa kutukana anaanza kukutukana wewe na unataka watu washangae. Wanakushangaa wewe.
 
Sema polepole usiogope. Wengi tuna maoni sawa na wewe. Umeona hiyo mibwenyenye inaojipachika uchifu imeanza kutisha watu.
 
Huyu Kihongosi asidhani tumesahau kwamba awamu ya tano alikuwa bega kwa bega na Sabaya kwenye baadhi ya matukio. akiendelea kujifanya mjuaji ataanikwa hapa maana anajua ushiriki wake kwenye hizo mambo!!!
 
Akili "ndogo" anapomuongoza akili "kubwa"
 
Huyu Kihongosi asidhani tumesahau kwamba awamu ya tano alikuwa bega kwa bega na Sabaya kwenye baadhi ya matukio. akiendelea kujifanya mjuaji ataanikwa hapa maana anajua ushiriki wake kwenye hizo mambo!!!
Hata ndugu yake aliwahi sema mtu mzima hatishiwi nyau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…