Cuba iko Ulaya?Ameacha kazi ulaya anaomba hifadhi huko huko, aje sasa ili aseme kile alichoandika, anaogopa nini?

hana athari wala madhara yoyote ya kisiasa, kijamii na hata kiuchumi nchini.
hata hivyo,
inafaa aje ajibu tuhuma za matumizi mabaya ya ofisi na uhujumu uchumi 🐒
Huyu Mzee aliwasimanga sana Mabeberu akasema ni Mashoga.Mungu wabariki Wazungu
Hatari ikitokea Kuna njia mbili au tatu. Kupambana, kukimbia au majadiliano. Yeye kachagua kusepa anafahamu vinyago walivyochonga vinawatisha na kuwaondoa kabisa uhai. Jamaa atakuwa anajuta amejutia makosa yake bila shaka.Sasa Polepole kajihudhuru bila hata kukabidhi office. 🤣🤣🤣
kama wewe ulivyoolewaSweden lazima apate bwana wa kizungu aolewe apate na uraia kabisa.
Kwa mabeberu au wsdau wa maendeleo?Sijastushwa na kitendo cha Balozi Polepole kujiuzulu ubalozi na utumishi wa umma kama alivyosema kwenye barua yake kwa kuwa toka mwanzo hakupenda jinsi alivyotolewa kwenye ubunge na nafasi yake akapewa Vuai Shamsi Nahodha.
Haikueleweka kipindi kile kama mbunge wa kuteuliwa anaweza kuvuliwa ubunge na nafasi yake kupewa mtu mwingine!.Kwa kuwa tulikuwa na kawaida ya kukaa kimya na kupuuza mambo hatukuona lile ni tatizo lakini sasa ndiyo jipu limepasuka tunaparanganga kutafuta matambara ya kufuta usaha unaosambaa kwa kasi sana.!
Balozi Polepole amestafu na ameandika barua nzito na kali sana na imetoa shutuma kali sana dhidi ya uongozi wa nchi!. Kitendo cha Balozi Polepole kusema nchi imekosa uongozi ni shutuma nzito sana na hazipaswi kuachwa zipite kimya kimya! Lazima tukiri kuwa kuna tatizo mahali na lazima litazamwe kwa makini sana kama tunaipenda hii nchi.
Kilichonistua zaidi ni kitendo cha Balozi Polepole kukimbilia Sweden na kuomba hadhi ya ukimbizi na kupewa mara baada ya kuandika barua ya kujiuzulu yenye shutuma kali sana dhidi ya uongozi wa nchi.
Kitendo hiki ni kizito na kigumu na kibaya sana kwa taifa na uongozi wa taifa.! Balozi Polepole kaomba ukimbizi Sweden maana yake anahofia usalama wake baada ya kusema aliyoyasema!
Tunapaswa kujitafakari kama taifa!.. Hatuko kwenye njia sahihi na kwa kweli giza ni nene sana huko tuendako.
Pia soma > Humprey Polepole ajiuzulu Ubalozi, asema hawezi kuendelea kuwa sehemu ya uongozi usiohamasika na utii wa misingi ya katiba na chama
Ameacha kazi ulaya anaomba hifadhi huko huko, aje sasa ili aseme kile alichoandika, anaogopa nini?
Bora kakimbilia huko aisee kikundi cha wauaji kipo very active Tanzania, yaani kingemuua kama Mzee Kibao kilivyomuua. Dkt Samia in fact ana damu za watu maana hataki kukemeaSijastushwa na kitendo cha Balozi Polepole kujiuzulu ubalozi na utumishi wa umma kama alivyosema kwenye barua yake kwa kuwa toka mwanzo hakupenda jinsi alivyotolewa kwenye ubunge na nafasi yake akapewa Vuai Shamsi Nahodha.
Haikueleweka kipindi kile kama mbunge wa kuteuliwa anaweza kuvuliwa ubunge na nafasi yake kupewa mtu mwingine!.Kwa kuwa tulikuwa na kawaida ya kukaa kimya na kupuuza mambo hatukuona lile ni tatizo lakini sasa ndiyo jipu limepasuka tunaparanganga kutafuta matambara ya kufuta usaha unaosambaa kwa kasi sana.!
Balozi Polepole amestafu na ameandika barua nzito na kali sana na imetoa shutuma kali sana dhidi ya uongozi wa nchi!. Kitendo cha Balozi Polepole kusema nchi imekosa uongozi ni shutuma nzito sana na hazipaswi kuachwa zipite kimya kimya! Lazima tukiri kuwa kuna tatizo mahali na lazima litazamwe kwa makini sana kama tunaipenda hii nchi.
Kilichonistua zaidi ni kitendo cha Balozi Polepole kukimbilia Sweden na kuomba hadhi ya ukimbizi na kupewa mara baada ya kuandika barua ya kujiuzulu yenye shutuma kali sana dhidi ya uongozi wa nchi.
Kitendo hiki ni kizito na kigumu na kibaya sana kwa taifa na uongozi wa taifa.! Balozi Polepole kaomba ukimbizi Sweden maana yake anahofia usalama wake baada ya kusema aliyoyasema!
Tunapaswa kujitafakari kama taifa!.. Hatuko kwenye njia sahihi na kwa kweli giza ni nene sana huko tuendako.
Pia soma > Humprey Polepole ajiuzulu Ubalozi, asema hawezi kuendelea kuwa sehemu ya uongozi usiohamasika na utii wa misingi ya katiba na chama
Sio kujihudhuru ni kujiuzulu mkuu. Otherwise umeandika pointsMtaendelea kukaa na ujinga wenu hadi lini ndugu zangu ccm?
Watanzania tuko nyuma mita zaidi ya mamilioni kufikia Democracy ya kweli
Kujihudhuru kwa kiongozi yeyote katika nchi hasa ya Tanzania, bila shaka ni kitu kigeni sana na hutazamwa kama kitendo cha uhaini na uhujumu uchumi,
Kwa nchi za wenzetu huko, kitendo hiko hutazamwa kama ni sehemu ya serikali kujichunguza na kufanya tathimini namna ya kuendesha nchi kwa kuyachukua hayo maoni ya mhusika na kuyafanyia kazi!
CCM endeleeni kuwinda watu, siku mtajikuta mshakuwa ndo shetani mwenyewe
Kuna uwezekano akawa na kundi kubwa nyuma yakeBalozi Polepole amestafu na ameandika barua nzito na kali sana na imetoa shutuma kali sana dhidi ya uongozi wa nchi!. Kitendo cha Balozi Polepole kusema nchi imekosa uongozi ni shutuma nzito sana na hazipaswi kuachwa zipite kimya kimya! Lazima tukiri kuwa kuna tatizo mahali na lazima litazamwe kwa makini sana kama tunaipenda hii nchi.
Asante mkuuSio kujihudhuru ni kujiuzulu mkuu. Otherwise umeandika points
Nyoooo mumuue lioneAmeacha kazi ulaya anaomba hifadhi huko huko, aje sasa ili aseme kile alichoandika, anaogopa nini?
Mama, Cuba sio ulaya, Cuba ipo America.Ameacha kazi ulaya anaomba hifadhi huko huko, aje sasa ili aseme kile alichoandika, anaogopa nini?
Wanakutupa chooni ili uchafuke na kinyesi baadae wanagundua umenawiri na una enjoy kula funza wa kwenye kinyesi..hapo ndipo walipokosea mahesabu. wao walijua wanamtupa kisiwani huko.
Pumba tupuchangia hoja bila mihemko, uropokaji wala makasirko na itapendeza zaidi gentleman 🐒
Kashenzi kweli kale. Na kenyewe kameenda kujificha ughaibuni kama kalivyosababisha Lissu na Lema wakajifiche!Sijastushwa na kitendo cha Balozi Polepole kujiuzulu ubalozi na utumishi wa umma kama alivyosema kwenye barua yake kwa kuwa toka mwanzo hakupenda jinsi alivyotolewa kwenye ubunge na nafasi yake akapewa Vuai Shamsi Nahodha.