DUBULIHASA
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 6,030
- 11,622
Hili neno "mabeberu" Polepole na akina Magufuli walikua wanalitaja kwa mbwembwe sana... kuna watu wanatamka neno "mabeberu" kujifanya wanaharakati kumbe hamna kitu...Kabisa mkuu, what goes around, comes around. Karma ni nyoko! Kwa hiyo na yeye yupo kwa mabeberu
Kweli tujifunze kuweka akiba ya maneno.