Tetesi: Kigogo: Humphrey Polepole aomba hifadhi Sweden!

Tetesi: Kigogo: Humphrey Polepole aomba hifadhi Sweden!

Kama ni kweli habari hii, ifahamike yeye ndio alikuwa anaoongoza propanda chafu dhidi ya wanacdm waliokimbia utawala wa Magufuli, kuwa wameenda kutumika na mabeberu. Karma is a bitch.
Hii inaitwa "kuimba na kulia, kupokezana".
 
huyo ameoa mzungu ndio mke wake wanalala kitanda kimoja, sio kama wewe sifuri wa uhambingeto huko umejua kupiga mswaki juzi kwanza unaamini wazungu tu ndio wanapiga mswaki.

Hao malaya wa kizungu mi naoa usiku asubuhi naacha kama wakina Mwajuma tu. Kufagilia wazungu hivi nimeshapata jibu kuwa wewe ni mshamba tu
 
Sijastushwa na kitendo cha Balozi Polepole kujiuzulu ubalozi na utumishi wa umma kama alivyosema kwenye barua yake kwa kuwa toka mwanzo hakupenda jinsi alivyotolewa kwenye ubunge na nafasi yake akapewa Vuai Shamsi Nahodha.

Haikueleweka kipindi kile kama mbunge wa kuteuliwa anaweza kuvuliwa ubunge na nafasi yake kupewa mtu mwingine!.Kwa kuwa tulikuwa na kawaida ya kukaa kimya na kupuuza mambo hatukuona lile ni tatizo lakini sasa ndiyo jipu limepasuka tunaparanganga kutafuta matambara ya kufuta usaha unaosambaa kwa kasi sana.!

Balozi Polepole amestafu na ameandika barua nzito na kali sana na imetoa shutuma kali sana dhidi ya uongozi wa nchi!. Kitendo cha Balozi Polepole kusema nchi imekosa uongozi ni shutuma nzito sana na hazipaswi kuachwa zipite kimya kimya! Lazima tukiri kuwa kuna tatizo mahali na lazima litazamwe kwa makini sana kama tunaipenda hii nchi.

Kilichonistua zaidi ni kitendo cha Balozi Polepole kukimbilia Sweden na kuomba hadhi ya ukimbizi na kupewa mara baada ya kuandika barua ya kujiuzulu yenye shutuma kali sana dhidi ya uongozi wa nchi.

Kitendo hiki ni kizito na kigumu na kibaya sana kwa taifa na uongozi wa taifa.! Balozi Polepole kaomba ukimbizi Sweden maana yake anahofia usalama wake baada ya kusema aliyoyasema!

Tunapaswa kujitafakari kama taifa!.. Hatuko kwenye njia sahihi na kwa kweli giza ni nene sana huko tuendako.

Pia soma > Humprey Polepole ajiuzulu Ubalozi, asema hawezi kuendelea kuwa sehemu ya uongozi usiohamasika na utii wa misingi ya katiba na chama
Mabeberu hawakati tamaa, wamewaweza, Ssdan, Sudan, Misri nk
 
🚮🚮🚮
1753017172571.png
 
Tatizo la Tz ni kutaka kung'ata na kupuliza.
Ni sawa na malaya anayeenda kanisani au msikitini kila siku ya ibada ili aonekane mwema ilhali wala hafanyi yale dini yake inahimiza.

Tz inataka ionekane iko safi kimataifa, wanataka mikopo na misaada ya kimataifa ilhali masharti yao hawayawezi na mbaya zaidi hawawezi kufanya kwa njia yao waliobuni wao(kama vile nchi kama Iran, China, Urusi zilivyobuni uongozi wao) wanaishia kuwahadaa wananchi na wakopeshaji.
 
Unalinganishaje TZ na hizo nchi??
 
Hi nayo ni weakness tuliyonayo watanzania.

Huwezi kuanzisha vita halafu ukavikimbia.

Hifadhi ya nini, akae hapa hapa tuendelee kupambana na goliath humu humu.
 
Hi nayo ni weakness tuliyonayo watanzania.

Huwezi kuanzisha vita halafu ukavikimbia.

Hifadhi ya nini, akae hapa hapa tuendelee kupambana na goliath humu humu.
Yesu alimzingua Caesar (KAIZARI) akakomaa kubaki ktk maeneo ya Israel, Caesar akamla kichwa, binadamu wa kawaida huwezi pambana na KAIZARI nyumbani kwake, lazima uende uhamishoni kwenye usalama
 
Yesu alimzingua Caesar (KAIZARI) akakomaa kubaki ktk maeneo ya Israel, Caesar akamla kichwa, binadamu wa kawaida huwezi pambana na KAIZARI nyumbani kwake, lazima uende uhamishoni kwenye usalama
Wanasema usianzishe vita kama unajua utashindwa.

Hayo yote anayafahamu, na aliyafahamu ndio maana alijiuzuru kisha akakiwasha.

Akae hapa hapa tupambane sote.
 
Back
Top Bottom