Nandagala One
JF-Expert Member
- Aug 19, 2020
- 2,469
- 2,904
Cuba haiko Ulaya 🤣🤣🤣 hebu pitia atlas on-line 🤣🤣🤣Ameacha kazi ulaya anaomba hifadhi huko huko, aje sasa ili aseme kile alichoandika, anaogopa nini?
Cuba haiko Ulaya 🤣🤣🤣 hebu pitia atlas on-line 🤣🤣🤣Ameacha kazi ulaya anaomba hifadhi huko huko, aje sasa ili aseme kile alichoandika, anaogopa nini?
Cuba ni ulaya ???? Mbona hili somo la geografia ni darasa la tano tu. Kama Cuba na Sweden zote unaita ulaya tuna haki kuitwa dunia ya tatu hata kuitwa Ulimwengu wa kaleAmeacha kazi ulaya anaomba hifadhi huko huko, aje sasa ili aseme kile alichoandika, anaogopa nini?
We mama acha fujoAmeacha kazi ulaya anaomba hifadhi huko huko, aje sasa ili aseme kile alichoandika, anaogopa nini?
hivi mke wake si mswiss?Sijastushwa na kitendo cha Balozi Polepole kujiuzulu ubalozi na utumishi wa umma kama alivyosema kwenye barua yake kwa kuwa toka mwanzo hakupenda jinsi alivyotolewa kwenye ubunge na nafasi yake akapewa Vuai Shamsi Nahodha.
Haikueleweka kipindi kile kama mbunge wa kuteuliwa anaweza kuvuliwa ubunge na nafasi yake kupewa mtu mwingine!.Kwa kuwa tulikuwa na kawaida ya kukaa kimya na kupuuza mambo hatukuona lile ni tatizo lakini sasa ndiyo jipu limepasuka tunaparanganga kutafuta matambara ya kufuta usaha unaosambaa kwa kasi sana.!
Balozi Polepole amestafu na ameandika barua nzito na kali sana na imetoa shutuma kali sana dhidi ya uongozi wa nchi!. Kitendo cha Balozi Polepole kusema nchi imekosa uongozi ni shutuma nzito sana na hazipaswi kuachwa zipite kimya kimya! Lazima tukiri kuwa kuna tatizo mahali na lazima litazamwe kwa makini sana kama tunaipenda hii nchi.
Kilichonistua zaidi ni kitendo cha Balozi Polepole kukimbilia Sweden na kuomba hadhi ya ukimbizi na kupewa mara baada ya kuandika barua ya kujiuzulu yenye shutuma kali sana dhidi ya uongozi wa nchi.
Kitendo hiki ni kizito na kigumu na kibaya sana kwa taifa na uongozi wa taifa.! Balozi Polepole kaomba ukimbizi Sweden maana yake anahofia usalama wake baada ya kusema aliyoyasema!
Tunapaswa kujitafakari kama taifa!.. Hatuko kwenye njia sahihi na kwa kweli giza ni nene sana huko tuendako.
Pia soma > Humprey Polepole ajiuzulu Ubalozi, asema hawezi kuendelea kuwa sehemu ya uongozi usiohamasika na utii wa misingi ya katiba na chama
huyo ameoa mzungu ndio mke wake wanalala kitanda kimoja, sio kama wewe sifuri wa uhambingeto huko umejua kupiga mswaki juzi kwanza unaamini wazungu tu ndio wanapiga mswaki.Sweden lazima apate bwana wa kizungu aolewe apate na uraia kabisa.
hana athari wala madhara yoyote ya kisiasa, kijamii na hata kiuchumi nchini.Sijastushwa na kitendo cha Balozi Polepole kujiuzulu ubalozi na utumishi wa umma kama alivyosema kwenye barua yake kwa kuwa toka mwanzo hakupenda jinsi alivyotolewa kwenye ubunge na nafasi yake akapewa Vuai Shamsi Nahodha.
Haikueleweka kipindi kile kama mbunge wa kuteuliwa anaweza kuvuliwa ubunge na nafasi yake kupewa mtu mwingine!.Kwa kuwa tulikuwa na kawaida ya kukaa kimya na kupuuza mambo hatukuona lile ni tatizo lakini sasa ndiyo jipu limepasuka tunaparanganga kutafuta matambara ya kufuta usaha unaosambaa kwa kasi sana.!
Balozi Polepole amestafu na ameandika barua nzito na kali sana na imetoa shutuma kali sana dhidi ya uongozi wa nchi!. Kitendo cha Balozi Polepole kusema nchi imekosa uongozi ni shutuma nzito sana na hazipaswi kuachwa zipite kimya kimya! Lazima tukiri kuwa kuna tatizo mahali na lazima litazamwe kwa makini sana kama tunaipenda hii nchi.
Kilichonistua zaidi ni kitendo cha Balozi Polepole kukimbilia Sweden na kuomba hadhi ya ukimbizi na kupewa mara baada ya kuandika barua ya kujiuzulu yenye shutuma kali sana dhidi ya uongozi wa nchi.
Kitendo hiki ni kizito na kigumu na kibaya sana kwa taifa na uongozi wa taifa.! Balozi Polepole kaomba ukimbizi Sweden maana yake anahofia usalama wake baada ya kusema aliyoyasema!
Tunapaswa kujitafakari kama taifa!.. Hatuko kwenye njia sahihi na kwa kweli giza ni nene sana huko tuendako.
Pia soma > Humprey Polepole ajiuzulu Ubalozi, asema hawezi kuendelea kuwa sehemu ya uongozi usiohamasika na utii wa misingi ya katiba na chama
kwasababu mmezoea kuolewaSweden lazima apate bwana wa kizungu aolewe apate na uraia kabisa.
Lazima atakuwa ameshajipanga anajua pa kutimkia. Polepole ni mjamaa na ameishi kwenye nchi ya Cuba ambayo ni nchi ya ujamaa yenye mizizi mikubwa. Ukiangalia kwa jicho la tatu Kuna faida kubwa sana kwake kutoka ubalozini Malawi na kupelekwa Cuba.Kwa hiyo wakati anajiandaa kuandika barua alishajiandaa na pa kukimbilia!
hapo ndipo walipokosea mahesabu. wao walijua wanamtupa kisiwani huko.Lazima atakuwa ameshajipanga anajua pa kutimkia. Polepole ni mjamaa na ameishi kwenye nchi ya Cuba ambayo ni nchi ya ujamaa yenye mizizi mikubwa. Ukiangalia kwa jicho la tatu Kuna faida kubwa sana kwake kutoka ubalozini Malawi na kupelekwa Cuba.
Huyo Mazeri Jau sana 🤣🤣🤣Una elimu gani? Cuba na Ulaya wapi na wapi nyie ndo washauri wa Rais?
Nyie vilaza mnaoinajisi katiba na kuitumia mahakama vibaya kwa masilahi yenu binafsi ya hovyo, mwisho wenu wa kubambikia wananchi wasio na hatia kesi unakaribia. Yote mnayofanya yameanza kuwageuka.hana athari wala madhara yoyote ya kisiasa, kijamii na hata kiuchumi nchini.
hata hivyo,
inafaa aje ajibu tuhuma za matumizi mabaya ya ofisi na uhujumu uchumi 🐒
Nitakutafuta Mkuu unipe huo mchongoMkuu kipenseli2021 hata wewe pia unaweza kuomba hifadhi kama Kuna viashiria hatarishi ambavyo vitathibitisha maisha yako yapo hatarini na kuendelea kuishi bongo ni hatari kwa usalama wako au familia yako. Kuna michongo ipo UNHCR na shirika la IOM inafanyika. Ishi na watu vizuri upate michongo.
changia hoja bila mihemko, uropokaji wala makasirko na itapendeza zaidi gentleman 🐒Nyie vilaza mnaoinajisi katiba na kuitumia mahakama vibaya kwa masilahi yenu binafsi ya hovyo, mwisho wenu wa kubambikia wananchi wasio na hatia kesi unakaribia. Yote mnayofanya yameanza kuwageuka.
Kwa ambao wanamfahamu Polepole tokea akiwa Azania, kwenye bunge la maoni ya mchakato wa katiba mpya.hapo ndipo walipokosea mahesabu. wao walijua wanamtupa kisiwani huko.