Tetesi: Kigogo: Humphrey Polepole aomba hifadhi Sweden!

Sijastushwa na kitendo cha Balozi Polepole kujiuzulu ubalozi na utumishi wa umma kama alivyosema kwenye barua yake kwa kuwa toka mwanzo hakupenda jinsi alivyotolewa kwenye ubunge na nafasi yake akapewa Vuai Shamsi Nahodha.

Haikueleweka kipindi kile kama mbunge wa kuteuliwa anaweza kuvuliwa ubunge na nafasi yake kupewa mtu mwingine!.Kwa kuwa tulikuwa na kawaida ya kukaa kimya na kupuuza mambo hatukuona lile ni tatizo lakini sasa ndiyo jipu limepasuka tunaparanganga kutafuta matambara ya kufuta usaha unaosambaa kwa kasi sana.!

Balozi Polepole amestafu na ameandika barua nzito na kali sana na imetoa shutuma kali sana dhidi ya uongozi wa nchi!. Kitendo cha Balozi Polepole kusema nchi imekosa uongozi ni shutuma nzito sana na hazipaswi kuachwa zipite kimya kimya! Lazima tukiri kuwa kuna tatizo mahali na lazima litazamwe kwa makini sana kama tunaipenda hii nchi.

Kilichonistua zaidi ni kitendo cha Balozi Polepole kukimbilia Sweden na kuomba hadhi ya ukimbizi na kupewa mara baada ya kuandika barua ya kujiuzulu yenye shutuma kali sana dhidi ya uongozi wa nchi.

Kitendo hiki ni kizito na kigumu na kibaya sana kwa taifa na uongozi wa taifa.! Balozi Polepole kaomba ukimbizi Sweden maana yake anahofia usalama wake baada ya kusema aliyoyasema!

Tunapaswa kujitafakari kama taifa!.. Hatuko kwenye njia sahihi na kwa kweli giza ni nene sana huko tuendako.

Pia soma > Humprey Polepole ajiuzulu Ubalozi, asema hawezi kuendelea kuwa sehemu ya uongozi usiohamasika na utii wa misingi ya katiba na chama
Mpumbavu huyo
 
Hii habari ya Polepole kuomba ukimbizi Sweden tunaihakiki vipi kuwa ni ya kweli?
 
Ameomba hifadhi kwa MABEBERU yaani?
Yupo wapi MUSIBA? Huyu aliwatukana sana wazungu kipindi cha giza. Bila shaka polepole alibariki vitendo vya ndugu MUSIBA.
Sasa musiba kajificha chooni na polepole yupo kajificha uzunguni.
Tajir hanuniwi. Hahaha
Wakati siyo milele
Umesema wakati ule wa GIZA..Kwa iyo sasa hivi ni wakati wa NURU au siyo..!
 
Alitaka aje atekwe na kuuliwa?
Yaan mkuu tupo pabaya nchi hii mtu alisema ukweli adhabu ni kutekwa na kuteswa na kuuwawa. Kweli nimelikubali ili ANDIKO
Mithali 29:27
[27]Mtu aliye DHALIMU ni CHUKIZO kwa WENYE HAKI;
Na MNYOFU wa mwenendo ni CHUKIZO kwa WAOVU.
MKuu polepole waovu wamemuumia meno
 
Unaonesha ni jinsi gani huna uelewa.
Hapana, anaweza kuwa anaelewa lakini ni yale mazingira yetu ya kienyeji tunajua kwa wazungu kote ni Ulaya. Chukulia sisi Usukumani mtu akienda kupanda ndege kwenda kwa wazungu huwa tunasema lyalala I'libhehi kuja bulaya!
 
Kama ni kweli habari hii, ifahamike yeye ndio alikuwa anaoongoza propanda chafu dhidi ya wanacdm waliokimbia utawala wa Magufuli, kuwa wameenda kutumika na mabeberu. Karma is a bitch.
Kabisa mkuu, what goes around, comes around. Karma ni nyoko! Kwa hiyo na yeye yupo kwa mabeberu
Kweli tujifunze kuweka akiba ya maneno.
 
Ameacha kazi ulaya anaomba hifadhi huko huko,
Cuba sio ulaya.

Na kama kweli kaomba hifadhi namuunga mkono na kama hajaomba kweli aombe hifadhi asikanyage Tanzania that woman is a thin-skinned megalomaniac.
aje sasa ili aseme kile alichoandika, anaogopa nini?
Read the room.Thread 'Balozi wa Tanzania nchini Austria, Celestine J Mushi, afariki dunia kwa ajali ya Gari' TANZIA - Balozi wa Tanzania nchini Austria, Celestine J Mushi, afariki dunia kwa ajali ya Gari
 
Sijastushwa na kitendo cha Balozi Polepole kujiuzulu ubalozi na utumishi wa umma kama alivyosema kwenye barua yake kwa kuwa toka mwanzo hakupenda jinsi alivyotolewa kwenye ubunge na nafasi yake akapewa Vuai Shamsi Nahodha.

Haikueleweka kipindi kile kama mbunge wa kuteuliwa anaweza kuvuliwa ubunge na nafasi yake kupewa mtu mwingine!.Kwa kuwa tulikuwa na kawaida ya kukaa kimya na kupuuza mambo hatukuona lile ni tatizo lakini sasa ndiyo jipu limepasuka tunaparanganga kutafuta matambara ya kufuta usaha unaosambaa kwa kasi sana.!

Balozi Polepole amestafu na ameandika barua nzito na kali sana na imetoa shutuma kali sana dhidi ya uongozi wa nchi!. Kitendo cha Balozi Polepole kusema nchi imekosa uongozi ni shutuma nzito sana na hazipaswi kuachwa zipite kimya kimya! Lazima tukiri kuwa kuna tatizo mahali na lazima litazamwe kwa makini sana kama tunaipenda hii nchi.

Kilichonistua zaidi ni kitendo cha Balozi Polepole kukimbilia Sweden na kuomba hadhi ya ukimbizi na kupewa mara baada ya kuandika barua ya kujiuzulu yenye shutuma kali sana dhidi ya uongozi wa nchi.

Kitendo hiki ni kizito na kigumu na kibaya sana kwa taifa na uongozi wa taifa.! Balozi Polepole kaomba ukimbizi Sweden maana yake anahofia usalama wake baada ya kusema aliyoyasema!

Tunapaswa kujitafakari kama taifa!.. Hatuko kwenye njia sahihi na kwa kweli giza ni nene sana huko tuendako.

Pia soma > Humprey Polepole ajiuzulu Ubalozi, asema hawezi kuendelea kuwa sehemu ya uongozi usiohamasika na utii wa misingi ya katiba na chama
Huyu yeye amepata bahati kushusha Ile barua akiwa nje ya nchi na akiwa kashajipanga kwa Kila nyanja. Shujaa wa kweli huyu.
 
Kilichonistua zaidi ni kitendo cha Balozi Polepole kukimbilia Sweden na kuomba hadhi ya ukimbizi na kupewa mara baada ya kuandika barua ya kujiuzulu yenye shutuma kali sana dhidi ya uongozi wa nchi.

Kakosoa halafu kakimbia nchi...
 
Kwa hiyo kaka NAMI nikienda kuomba hofadhi ni kosa,pole pole amesha kula mema ya nchi Sasa ameamua apumzike
Mkuu kipenseli2021 hata wewe pia unaweza kuomba hifadhi kama Kuna viashiria hatarishi ambavyo vitathibitisha maisha yako yapo hatarini na kuendelea kuishi bongo ni hatari kwa usalama wako au familia yako. Kuna michongo ipo UNHCR na shirika la IOM inafanyika. Ishi na watu vizuri upate michongo.
 
Back
Top Bottom