Tetesi: Kigogo: Humphrey Polepole aomba hifadhi Sweden!

Tetesi: Kigogo: Humphrey Polepole aomba hifadhi Sweden!

Sana kamanda yaani nasisi inabidi ifike siku twende huko maana wazungu wanatupenda sana. Pole Pole alikua rafiki yetu sana CHADEMA.
Akiwa na Magufuli Ndugu Polepole ndiye aliyepaisha jina la Mabeberu na kuwatukana sana, lakini leo kakimbilia huko na atapokelewa kwa mikono miwili
 
Akiwa na Magufuli Ndugu Polepole ndiye aliyepaisha jina la Mabeberu na kuwatukana sana, lakini leo kakimbilia huko na atapokelewa kwa mikono miwili
Lakini kwasasa Pole Pole naona ni mwenzetu na inabidi aunge mkono NRNE
 
Kigogo ahaminiki kwa sababu amemkandia sana ...kwa hiyo, anajaribu ku-sway mwenendo wa habari.
 
Back
Top Bottom