Hahaha babuuu! Walitaka kuamsha simba waliolala?
Kuna conference tulifanya in kigali in a hotel, tukawa na jamaa wa zenj wakorofi balaa. Tukawa kila siku tukimaliza kazi wanatuwekea mziki tunatumia ukumbi wa disco. Aisee kuna makahaba wakatustukia. Nilimrescue mkaka wa zenj kwa kumganda manake angebakwa humo humo. Wako too aggressive!
Ndiyo maana tunawashauri msiende huko....
Nendeni zenu Tarangire au Serengeti mkamsifu Mungu kwa kuumba viumbe wa ajabu wanaoishi bila jeshi wala polisi ya Mwema na Kova....
Kigali hapafai bwana....
Babu DC!!
Fanicha nzuri sana.
Fanicha nzuri sana.
Hahahahahahahaahah,
Wengine ndiyo tunastuka kwamba hapo kuna fenicha....
Haya mambo haya...
Babu DC!!
pole sana bibie! Kumbe sitaki nataka tu sisi wa muhimu sana, ndiyo maana kule tanga watubeba ati.
wanafanana na wewe dear!!!
Tatizo wewe hukuniambia mimi ulikuwa unalalamika mtu niliposikia nikajua ni longolongo na walimwengu tu
Huyo Ennie niachie mimi nitamrekebisha tu!
una uhakika gani kama ulimuokoa?
usikute alirudi mwenyewe peke yake siku ingine
na alikulaani kwa kumganda
Ndiyo maana kabla ya kutoa msaada unahitaji kukaa chini na kutafakari.... Misaada mingine haifai na inaweza kumfanya mtu akatunguliwa macho na manati...
Hata mie nahisi King'asti alimchezea faulo baba wa watu...
Mzima lakini kaka??
Babu DC!!
Mie sina neno ila ni sauti ya unabii tu.....
Wasipotaka kuisikia basi wasije kumlaumu babu yao..lol!!
Ila ukweli tuuseme, kuna wadudu unakutana nao na kwa dakika kama 30 hivi akili inakufa ganzi.....
Ndo maana namshukuru Mungu kwa kuniwezesha kustaafu salama...
Babu DC!!
Mimi FaizaFoxy amenichekesha sana na Gozi lake...halafu vijana wa siku hizi hawajui maana yake
King'asti nakuban kwenye huu uzi until further notice, unamletea stress mshua
Heaven on Earth na Eiyer liv Ennie alon.
Mimi FaizaFoxy amenichekesha sana na Gozi lake...halafu vijana wa siku hizi hawajui maana yake
King'asti nakuban kwenye huu uzi until further notice, unamletea stress mshua
Heaven on Earth na Eiyer liv Ennie alon.