Da'Vinci Kuna conspiracy nyingine z watu mashuhuri hizi hapa:
1. Wanasayansi wa kisovieti walikataa kumzika Vladmir Lenin na wakisema watatafuta sayansi ya kumfufua.
2. Raisi John Kennedy hakufa na alitekwa na John Connolly ili kutengeza Clones wake.
3. Raisi Vladmir Putin alishwatolewa madarakani muda na huyu wa sasa ni clone wake ndiyo maana mke kakimbia.
4. Rais Yeltsin alikataa kwenda Japan kwasababu Marekani na Japan walipanga kumbadilisha FSB wakamwonya mapema.
And the list continues
ad infinitum....