Kifo cha Michael Jackson, ulishasikia kuhusu project ya Human Cloning?

Kifo cha Michael Jackson, ulishasikia kuhusu project ya Human Cloning?

R.Kelly alivyopata Skendo ya kumkojolea yule mtoto wa kike Dave Chapelle akatoa hii video.
Halafu kipindi hicho The Chapelle Show ndiyo ilikuwa inabamba Marekani, sasa jamaa akayakuza kibwege.
Nilidhani ni creative tu ya Dave kumbe alikuwa anamtoa relini R.Kelly but amejitakia unajua hivi majuzi ameumbuka tena R.Kelly alikuwa anamuomba dogo mmoja wa miaka 17 ampe tigo? Kakamatwa red handed kabisaaa. Na ushaidi strong dogo kaweka wazi...!

Madawa mabaya sana yamemaliza career ya R.Kelly sidhani kama Dave chappelle anapaswa kupewa lawama.

But hata Dave chappelle nae career yake ilidumbukia shimoni baada ya kuanza kutumia madawa...jamaa alikimbia dili la kuwa bilionea na Netflix akahamia afrika south then alipofulia akarudi tena US.
 
Human Cloning ni nini..?
-Ni teknolojia inayohusu kutengeneza binaadam maabara genetically ambapo huchukuliwa Cells na tissue kisha kuzalishwa.Kile kilichotengenezwa (Copy) hufana hufanana na 99.99% na kile kiumbe cha kwanza. Cloning imeanza miaja ya 1960s. Kuna nchi takriban 70 teknolojia hii imeziwiliwa kutumika mfano India,Argentina,Australia,Canada etc..
Lakini baadhi ya vyombo vya siri hutumia teknolojia. CIA wanahusika kiasi kikubwa katika matumizi ya Teknolojia hii.

Hua wanafanya vipi...?
Hua wanaangalia mtu fulani ambaye wanaona ni ni tishio kwao Economically, socially and Politically kisha anatengenezwa mtu anayefanana 99.99% na yule ambae ni kikwazo.Kisha yule tishio anauawa. Akisha uawa yule aliyetengenezwa anaanza kazi.

Hicho ndicho kilichomtokea msanii Michael Jackson, alifariki mwaka 1984 kisha akaletwa FRANK JEPSIN kama michael Jackso ambae wanafanana asilimia kubwa na the late MJ.
Wapo wengi wamefanyiwa hiki kitu, Victim mwingine wa hili ni Eminem.

January 27, 1984: Michael Jackson's hair catches fire during Pepsi commercial

Lakini imegundulika kua hawa watoto wa sasa tunaowafahamu kua ni wa MJ imegundulika sio wake.
====
Five days after Michael's death, TMZ reported that the late music icon was not the biological father of any of his three children, nor was Debbie Rowe the mother of the two kids to which she gave birth. According to sources, neither Michael's sperm nor Rowe's eggs were used for the embryos that became Prince and Paris. Sources claim Blanket was conceived by a surrogate who did not know she was carrying the King of Pop's baby. Michael's lawyer picked Blanket up from the hospital and delivered him to Michael, reported TMZ. Blanket's mother is rumored to be a Mexican nurse named Helena, according to the Mirror.
Curiously enough, in the midst of a wrongful death lawsuit against AEG Live, Michael's mother, Katherine Jackson, fought the court to prevent it from hearing evidence about the conception of Jackson's children. Weird, no?
Read More: The weirdest stories about Michael Jackson's kids

Mnakaribishwa kutoa michango yenu..
@Abbu_yazid geesten66 mtu chake baba bora

Note. Sio lazima uamini kila kitu but Yale tunayoona ni uongo Actually ndio hua ni ukweli wenyewe na ule ukweli ndio uongo. Tunafaham yale tu yaliyopangwa tuyafaham, mengi hatuyafahamu mpaka pale tu mtu atakapo jaribu kufikiri atoke nje ya boksi. Na hapo ndio huja lile fumbo alilotengeneza plato(?) kuhusu wafunwa ndani ya pango waliofungwa minyororo.

Sio mwandishi mzuri sorry.
Vinci...

Huwa naangaliaga sana movie za human cloning sikuwa na uhakika kama hii kitu ni real. witnessj ukuje huku umsikie da vinci
 
Kuna interview kafanyiwa mpwa wake aliokuwa karibu na dave nadhani ukifuatilia unaweza muelewa kidogo ila alichomaanisha kwa ujumla yule sio mwenƴewe
Hata Mandela wengine wanasema siyo yule aliyefungwa mwaka 1962.
Sasa lengo la kufanya hivi ni nini ???
 
Uyu mzungu kabisa Dah wametudanganya sana.
jackson-michael-image.jpg
122917-Music-Michael-Jackson-Nephew-Jafaar-Sounds-Like-Him.jpg
 
mkuu mtafute jamaa mmj anajiita DECEPTION humu JF aliweka material fact na video zote za youtube za madaktar wakubwa duniani ambao pia walishachukua nobble prizes, wanadai makampuni makubwa ya dawa yameungana na serikali zenye nguvu duniani kama marekani ili kuuza dawa ziwe continuosly kwa watumiaji ili kurefusha maisha yao huku wakiendelea kuconsume pia kupunguza idadi ya watu hasa africa
Aiseee
 
Back
Top Bottom