Kifo cha Michael Jackson, ulishasikia kuhusu project ya Human Cloning?

Nadhani siyo kwamba neno langu ni sheria ndyo maana mwisho wa koment kuna chagizo fulani.

Kuwa mwingi wa ushauri wakati haunijui na sijaomba ushauri ni ajabu iliyoje?

Pia vitu kama hvi vipo ktk kufunzana, pengne uweza kutokea.. Unaonaje kama ukimkataza mtoa mada kuwa kaleta mada ambyo naye anafaha kwenda kwa dkt mapema, kwa kuwa hauwezi ndyo maana haujaweza kisa ni mawazo yake je ni kosa kusema kila anayeongea anapaswa kupuuzwa ktk kuelezea penye kufikirishka? Chekeo pia, coment yangu haiko nje ya mada mkuu!!
My gosh!! did i hurt your feelings?? ooh man don't take it serious, you got me all wrong nilikujibu swali lako ila nikaongezea kitu cha ku spicy up mazungumzo yaan nashindwa hata kuelezea ila kiukweli umenielewa vibaya na hua najisikia vibaya kuona mtu amekasirika au kuumia kwa ajili yangu.... tafadhali nisamehe sana.
 
Mim sijawahi kureact pasipo kutomuelewa mtu, nikikuelewa nakuja unavyotaka, najua ume-edit coment yako kwa kuwa uliona nilivokuja.

Nisamehe pia kama haukupendezeshwa na majibu yangu mkuu.
 
Shida kubwa humu JF watu wanadhan wote tuna akili zinazofanana... Wanakosea sana. MJ was never a threat... Yaani wazungu wahangaike na EMINEM huyu ninayemfaham mimi?

Jaman humu na sisi wenye akili tupo wasituchanganye kwenye kapu moja. Huu uongo mwingine unadanganywa mpaka unakasirika kwa kuona mdanganyaji ameonesha dharau sana... Nashukuru nawe umeliona hili. Habari nyingine tukipost tuandike chini HII NI CHAI AMINI AT YOUR OWN STUPIDITY.
Hahaaaaa umeniacha na kichekoo mkuu
 
Mkuu Prof hili ni bonge la uchambuzi, tena ni la kisomi.
Nikiwa kwenye hali nzuri naweza kuja hapa kukujibu hizi hoja.
Lakini hili ni andiko lililosimama sana, mijadala kama hii ndiyo inahitajika hapa Tanzania.
Karibu mkuu. siku nyingi ndugu tumepotezana. nimekuwa mvivu nowadays kupita humu jamvini. macho yananisumbua kaka
 
I wish ningejua ulipata GPA ya ngapi kule university. Hii analysis siyo ya kitoto. Naona mrejeo wa ma great thinker sio wale mara kibamia mara naomba ushauri leo sina pesa bila kusahau zile fursa hewa. big up mkuu...
Asante mkuu. Chuo sikufaulu sana, ingawa sikuweza kufeli pia. Nachokumbuka ni kuwa niliwahi kuwa mwanafunzi bora miaka hiyo. Thanks for complements bro. bless up
 
Karibu mkuu. siku nyingi ndugu tumepotezana. nimekuwa mvivu nowadays kupita humu jamvini. macho yananisumbua kaka
Duuh pole sana mkuu, nenda pale Mlimani City pana bonge la hospitali la macho.
Kuna Mhindi fulani ni daktari mzuri kweli, uwahi mapema ndugu yangu maana ni hatari.
 
Hiz
Human Cloning ni nini..?
-Ni teknolojia inayohusu kutengeneza binaadam maabara genetically ambapo huchukuliwa Cells na tissue kisha kuzalishwa.Kile kilichotengenezwa (Copy) hufana hufanana na 99.99% na kile kiumbe cha kwanza. Cloning imeanza miaja ya 1960s. Kuna nchi takriban 70 teknolojia hii imeziwiliwa kutumika mfano India,Argentina,Australia,Canada etc..
Lakini baadhi ya vyombo vya siri hutumia teknolojia. CIA wanahusika kiasi kikubwa katika matumizi ya Teknolojia hii.

Hua wanafanya vipi...?
Hua wanaangalia mtu fulani ambaye wanaona ni ni tishio kwao Economically, socially and Politically kisha anatengenezwa mtu anayefanana 99.99% na yule ambae ni kikwazo.Kisha yule tishio anauawa. Akisha uawa yule aliyetengenezwa anaanza kazi.

Hicho ndicho kilichomtokea msanii Michael Jackson, alifariki mwaka 1984 kisha akaletwa FRANK JEPSIN kama michael Jackso ambae wanafanana asilimia kubwa na the late MJ.
Wapo wengi wamefanyiwa hiki kitu, Victim mwingine wa hili ni Eminem.

January 27, 1984: Michael Jackson's hair catches fire during Pepsi commercial

Lakini imegundulika kua hawa watoto wa sasa tunaowafahamu kua ni wa MJ imegundulika sio wake.
====
Five days after Michael's death, TMZ reported that the late music icon was not the biological father of any of his three children, nor was Debbie Rowe the mother of the two kids to which she gave birth. According to sources, neither Michael's sperm nor Rowe's eggs were used for the embryos that became Prince and Paris. Sources claim Blanket was conceived by a surrogate who did not know she was carrying the King of Pop's baby. Michael's lawyer picked Blanket up from the hospital and delivered him to Michael, reported TMZ. Blanket's mother is rumored to be a Mexican nurse named Helena, according to the Mirror.
Curiously enough, in the midst of a wrongful death lawsuit against AEG Live, Michael's mother, Katherine Jackson, fought the court to prevent it from hearing evidence about the conception of Jackson's children. Weird, no?
Read More: The weirdest stories about Michael Jackson's kids

Mnakaribishwa kutoa michango yenu..
@Abbu_yazid geesten66 mtu chake baba bora

Note. Sio lazima uamini kila kitu but Yale tunayoona ni uongo Actually ndio hua ni ukweli wenyewe na ule ukweli ndio uongo. Tunafaham yale tu yaliyopangwa tuyafaham, mengi hatuyafahamu mpaka pale tu mtu atakapo jaribu kufikiri atoke nje ya boksi. Na hapo ndio huja lile fumbo alilotengeneza plato(?) kuhusu wafunwa ndani ya pango waliofungwa minyororo.

Sio mwandishi mzuri sorry.
Vinci...
Hizo ni illusion stories na ideas ambazo wanamnajaribu kuspread. Kama ni ukweli ungejulikanaga tu siku nyingi.

Secret societies will make u believe chochote watakachotaka. Japo kuna kasumba ya Illuminati hiyo ipo na wapo wasanii wanakiri kabisa ushetani wao na watu waliondani yao.
 
Hiz

Hizo ni illusion stories na ideas ambazo wanamnajaribu kuspread. Kama ni ukweli ungejulikanaga tu siku nyingi
Mkuu mbona ni mengi yapo Hauyafahamu ukweli wake?
Secret societies will make u believe chochote watakachotaka. Japo kuna kasumba ya Illuminati hiyo ipo na wapo wasanii wanakiri kabisa ushetani wao na watu waliondani yao.
Mkuu mbona hueleweki huko juu umekanusha hafu hapa umekubali..
 
Mkuu mbona ni mengi yapo Hauyafahamu ukweli wake?Mkuu mbona hueleweki huko juu umekanusha hafu hapa umekubali..
Kwa Michael j na jespin nimekataaa. Hayo mengine nimekubali. Na nimekubali Kwa kuyaona wao wnyewe wakisema through utube..
 
Kwa wale ambao wamepata kuona Series iitwayo Nikita wamejaribu kufanya hi kitu, kea kutengeneza kitu kinaitwa Double.
 
Human Cloning ni nini..?
-Ni teknolojia inayohusu kutengeneza binaadam maabara genetically ambapo huchukuliwa Cells na tissue kisha kuzalishwa.Kile kilichotengenezwa (Copy) hufana hufanana na 99.99% na kile kiumbe cha kwanza. Cloning imeanza miaja ya 1960s. Kuna nchi takriban 70 teknolojia hii imeziwiliwa kutumika mfano India,Argentina,Australia,Canada etc..
Lakini baadhi ya vyombo vya siri hutumia teknolojia. CIA wanahusika kiasi kikubwa katika matumizi ya Teknolojia hii.

Hua wanafanya vipi...?
Hua wanaangalia mtu fulani ambaye wanaona ni ni tishio kwao Economically, socially and Politically kisha anatengenezwa mtu anayefanana 99.99% na yule ambae ni kikwazo.Kisha yule tishio anauawa. Akisha uawa yule aliyetengenezwa anaanza kazi.

Hicho ndicho kilichomtokea msanii Michael Jackson, alifariki mwaka 1984 kisha akaletwa FRANK JEPSIN kama michael Jackso ambae wanafanana asilimia kubwa na the late MJ.
Wapo wengi wamefanyiwa hiki kitu, Victim mwingine wa hili ni Eminem.

January 27, 1984: Michael Jackson's hair catches fire during Pepsi commercial

Lakini imegundulika kua hawa watoto wa sasa tunaowafahamu kua ni wa MJ imegundulika sio wake.
====
Five days after Michael's death, TMZ reported that the late music icon was not the biological father of any of his three children, nor was Debbie Rowe the mother of the two kids to which she gave birth. According to sources, neither Michael's sperm nor Rowe's eggs were used for the embryos that became Prince and Paris. Sources claim Blanket was conceived by a surrogate who did not know she was carrying the King of Pop's baby. Michael's lawyer picked Blanket up from the hospital and delivered him to Michael, reported TMZ. Blanket's mother is rumored to be a Mexican nurse named Helena, according to the Mirror.
Curiously enough, in the midst of a wrongful death lawsuit against AEG Live, Michael's mother, Katherine Jackson, fought the court to prevent it from hearing evidence about the conception of Jackson's children. Weird, no?
Read More: The weirdest stories about Michael Jackson's kids

Mnakaribishwa kutoa michango yenu..
@Abbu_yazid geesten66 mtu chake baba bora

Note. Sio lazima uamini kila kitu but Yale tunayoona ni uongo Actually ndio hua ni ukweli wenyewe na ule ukweli ndio uongo. Tunafaham yale tu yaliyopangwa tuyafaham, mengi hatuyafahamu mpaka pale tu mtu atakapo jaribu kufikiri atoke nje ya boksi. Na hapo ndio huja lile fumbo alilotengeneza plato(?) kuhusu wafunwa ndani ya pango waliofungwa minyororo.

Sio mwandishi mzuri sorry.
Vinci...

I don't agree the on you sample idea of late MJ kuwa Clone na Eminem pia luckly enough wote ni best artis not to mention others.Nafahamu kuwa MJ alipata ajali kwenye inyo pepsi thingii na alikimbizwa hospital na tangia wakati huo MJ ndipo alihamua kuzicurl nywele zake kwa maana ile ajali ilisababisha kidonda na eneo lakidonda halikuwa na nyele yakutosha ndio akafanya curling na pia akababidi aanze kutumia madawa na kupewa special treatment kuzi curl moja kwa moja sambamba na matatizo yake ya ngozi aliyokuwa nayo hapo awali akiwa na melanin (mweusi) ila ngozi yake ilikuwa na tatizo ambapo alianza kupata vidoti vyeupe kwenye ngozi mm binafsi nimesha viona kwa baadhi ya watu hapa Tz kwamba unamkuta mtu ni rangi ya maji ya kunde au mweupe alafu unakuta anakaalama keupe zaidi pengine kubwa au kadogo labda mguuni, pajani au mkononi sasa MJ alipata iyo ishu na hakuwa anafuraia akiiyona ni kama kasoro akitaka perfection na vilipoa sambaa akaona kwani shingapi wacha nibadilishe mwili rangi sema sasa side effects zipo once you temper with nature or natural biological formation whatever you might call it hasa kwenye mwili wa binadamu au mnyama then side effects zipo na ndipo MJ ikampelekea kubadilika kabisa kujua zaidi fuatilia mwenyewe. Sasa twende kwenye cloning -(CLONING TECHNOLOGY) NAKUBALI ILIKUWEPO BUT ILISIMAMISHWA na siwezi kusema kuwa ilishatumika na majasusi au mashirika ya ivo kama CIV hapana no research no right to speak ila nakupinga hapo ila pia cloning ilifanyika kwa wanyama sana na baadae walipotaka kuanza kufanya kwa binadamu kitu ambacho nahisi walijaribu kwaajili ya vita ya dunia kama inavosemekana its just stories ila ilizuiliwa kwasababu unapofanya kwa mwanadamu ni abomination nikinyume na taratibu yani sijui niseme how ila ni zaidi ya kufuru na laana walikaa wakaona hii hapana dini ziliingilia pia. Ni sawa alicho kiandika Emma Young kwenye link hapa anadai kuwa clone baby wa kwanza alizawa tar 26 Dec link First cloned baby “born on 26 December” ila pia mwaka huu kama sikosei China ilafanya zoezi la cloning na ilitangaza kuwa walifanikiwa kupata kima na pia kuna kondoo yani ndo mnyama wa kwanza kwa technologia hiyo anaitwa Dolly tafuta utapata taarifa oooh ni kima wawili monkey clones walitengenezwa mwaka huu na zoezi lilifanikiwa asilimia 100% ingia youtube utawakuta , BBC,CNN,ALJAZEER walirusha sana. In short
 
Kwa wale ambao wamepata kuona Series iitwayo Nikita wamejaribu kufanya hi kitu, kea kutengeneza kitu kinaitwa Double.
000-Orphan-Black-DNA.jpg

HATA KWENYE ORPHAN BLACK
 
Nashukuru wewe umeijua the real history ya MJ maana watu wamekazana kajichubua kajichubua, propaganda za mzungu ili kutaka waafrica wamuone MJ kama adui yao kwa kuikana rangi yake wakati ukweli sio huo... the only mistake ali admit kufanya ni kuchonga pua, na alifanya vile kwa ajili ya kumuonesha baba yake kua pesa inaweza kumbadili mtu kwa kua alikua anambagua kwa ile pua yake ya 'kibantu' wakati mdogo.... MJ ameishi maisha ya kipweke sana tangu utotoni baba yake alimtesa na ndie alimsababishia ugumba kwa kumpiga teke la sehemu za siri.

Kuhusu Clone, hawawezi kutengeneza mtu kama mtu sababu kitu pekee walichoshindwa ni kuweka pumzi sasa huyo mtu wa copy watamuwekaje kama ni mind controlling sawa ila sio eti waumbe kiumbe anayefanana na fulani wamjaze na tabia zile zile hahaha kama robot sawa ila sio kiumbe chenye damu na mifupa na nyama na pumzi.
 
Back
Top Bottom