Kifo cha Michael Jackson, ulishasikia kuhusu project ya Human Cloning?

Kifo cha Michael Jackson, ulishasikia kuhusu project ya Human Cloning?

MJ hakujichubua,ni maneno na uzushi wa watu/au watu wanao tafuta mabaya,kasoro huku wakijafanya hawaoni mema.

Jambo zuri zaiidi Mj hakupenda malumbano na watu au kurushiana maneno mbovu-mbovu.Alikuwa mtu poa sana,mpenda amani,Intellegent,Shy,Genius,alipenda dunia iwe mahala salama pakuishi.
Alijichubua ili awe na rangi moja.Kwa kuwa vitolgo ilimuathiri sana na kumuachia patches kubwa kubwa kama Winnie hallow yule modo.
 
While Dolly the sheep might be the most famous mammal science has ever cloned, she’s by no means the only one, scientists have cloned mice, cats, and several types of livestock in addition to sheep. The cloning of cows has, in recent years, provided a great deal of knowledge to scientists about why the process doesn’t work, everything from implantation failure to those aforementioned mutations that render offspring unable to survive.

Dolly Sheep mwenyewe alishafariki akiwa na miaka 6, wanasayansi wenyewe wanakiri kua hawajawahi kumclone binaadam ila wamejaribu kwa wanyama na only huyo kondoo ndio aliweza angalau kuishi miaka mitano, kwa Ng'ombe wamejaribu sana ila hawajaweza sana.... Sasa sijui nyie mnaosema mambo za clone mmezisoma wapi au kwenye plot za movies?? hahaha very funny.
 
Human Cloning ni nini..?
-Ni teknolojia inayohusu kutengeneza binaadam maabara genetically ambapo huchukuliwa Cells na tissue kisha kuzalishwa.Kile kilichotengenezwa (Copy) hufana hufanana na 99.99% na kile kiumbe cha kwanza. Cloning imeanza miaja ya 1960s. Kuna nchi takriban 70 teknolojia hii imeziwiliwa kutumika mfano India,Argentina,Australia,Canada etc..
Lakini baadhi ya vyombo vya siri hutumia teknolojia. CIA wanahusika kiasi kikubwa katika matumizi ya Teknolojia hii.

Hua wanafanya vipi...?
Hua wanaangalia mtu fulani ambaye wanaona ni ni tishio kwao Economically, socially and Politically kisha anatengenezwa mtu anayefanana 99.99% na yule ambae ni kikwazo.Kisha yule tishio anauawa. Akisha uawa yule aliyetengenezwa anaanza kazi.

Hicho ndicho kilichomtokea msanii Michael Jackson, alifariki mwaka 1984 kisha akaletwa FRANK JEPSIN kama michael Jackso ambae wanafanana asilimia kubwa na the late MJ.
Wapo wengi wamefanyiwa hiki kitu, Victim mwingine wa hili ni Eminem.

January 27, 1984: Michael Jackson's hair catches fire during Pepsi commercial

Lakini imegundulika kua hawa watoto wa sasa tunaowafahamu kua ni wa MJ imegundulika sio wake.
====
Five days after Michael's death, TMZ reported that the late music icon was not the biological father of any of his three children, nor was Debbie Rowe the mother of the two kids to which she gave birth. According to sources, neither Michael's sperm nor Rowe's eggs were used for the embryos that became Prince and Paris. Sources claim Blanket was conceived by a surrogate who did not know she was carrying the King of Pop's baby. Michael's lawyer picked Blanket up from the hospital and delivered him to Michael, reported TMZ. Blanket's mother is rumored to be a Mexican nurse named Helena, according to the Mirror.
Curiously enough, in the midst of a wrongful death lawsuit against AEG Live, Michael's mother, Katherine Jackson, fought the court to prevent it from hearing evidence about the conception of Jackson's children. Weird, no?
Read More: The weirdest stories about Michael Jackson's kids

Mnakaribishwa kutoa michango yenu..
@Abbu_yazid geesten66 mtu chake baba bora

Note. Sio lazima uamini kila kitu but Yale tunayoona ni uongo Actually ndio hua ni ukweli wenyewe na ule ukweli ndio uongo. Tunafaham yale tu yaliyopangwa tuyafaham, mengi hatuyafahamu mpaka pale tu mtu atakapo jaribu kufikiri atoke nje ya boksi. Na hapo ndio huja lile fumbo alilotengeneza plato(?) kuhusu wafunwa ndani ya pango waliofungwa minyororo.

Sio mwandishi mzuri sorry.
Vinci...
baba jesca wa kolomije naye ni copy naomba kuuliza [emoji3][emoji3]
 
Nashukuru wewe umeijua the real history ya MJ maana watu wamekazana kajichubua kajichubua, propaganda za mzungu ili kutaka waafrica wamuone MJ kama adui yao kwa kuikana rangi yake wakati ukweli sio huo... the only mistake ali admit kufanya ni kuchonga pua, na alifanya vile kwa ajili ya kumuonesha baba yake kua pesa inaweza kumbadili mtu kwa kua alikua anambagua kwa ile pua yake ya 'kibantu' wakati mdogo.... MJ ameishi maisha ya kipweke sana tangu utotoni baba yake alimtesa na ndie alimsababishia ugumba kwa kumpiga teke la sehemu za siri.

Kuhusu Clone, hawawezi kutengeneza mtu kama mtu sababu kitu pekee walichoshindwa ni kuweka pumzi sasa huyo mtu wa copy watamuwekaje kama ni mind controlling sawa ila sio eti waumbe kiumbe anayefanana na fulani wamjaze na tabia zile zile hahaha kama robot sawa ila sio kiumbe chenye damu na mifupa na nyama na pumzi.

Asante kwa kuliona ile kwa MJ naamini na wengine watambue ile kwa he had his wars just like everybody in this life fighting their wars/dramas. SASA NDUGUU, NAOMBA NIKUELEWESHE KUHUSU CLONING ni kwamba sio robot walat kutengeneza as such as artificial hapana. Clone anaweza kuwa kama ww na mm na yoyote anae soma hapa. Clone ni wanatolewa kwa mwanamke yani yai la mwanamke au mdada linapandikizwa cell kutoka kwa DNA tissues cell zake yani hivi " somatic cell nuclear transfer (SCNT), produced viable embryos but they failed to mature into healthy animals. The technique starts with taking the nucleus of a cell from a tissue like skin, and inserting it into an animal egg that has had its own DNA-carrying nucleus removed. That combination is then treated with enzymes that return it to an early embryonic state from which it can differentiate into every cell type in the body, like a just-fertilized egg. The egg is then implanted in a surrogate mother for development." yule mwanamke ni kama mbebaji mfano irene uwoya mimba yake imebebwa na oprah alafu oprah anapozaa anamzaa arine uwoya mwengine mmoja au mapacha nadhani umenisoma kama bado basi KUNA SERIES INAITWA ORPHAN BLACK IKO SEASON 1-5 ICHEKI UTAJUA CLONING IKOJE. kwenye iyo series kulikuwa kuna mademu waliofanana kama 22 ambapo origina alikuwa ni CIA na alijiua baada ya kuchanganyikiwa na mikasa wenzake waliokuwa wakipata na vitisho na yeye akachukua easy way out.
 
000-Orphan-Black-DNA.jpg

HATA KWENYE ORPHAN BLACK
SERIES MOJA NZURI SANA HII
 
Hiz

Hizo ni illusion stories na ideas ambazo wanamnajaribu kuspread. Kama ni ukweli ungejulikanaga tu siku nyingi.

Secret societies will make u believe chochote watakachotaka. Japo kuna kasumba ya Illuminati hiyo ipo na wapo wasanii wanakiri kabisa ushetani wao na watu waliondani yao.

Sawa mkuu baki ivo ivo our choices define us.
 
  • Thanks
Reactions: o_2
Dunia inaogopesha. Trying to find our beginning could lead to our end.
 
Unajua mm nilikua nakataa kua radi si mnyama kisa physics nayosoma shule. Ila siku moja nilisibitisha kua radi ni mnyama hata nyama yake ukiitaka inapatikana.
Mkuu unamaana gani! Ni dongo kwa mtu au? dah heshima kwako mkuu umewaza mbali sana.
 
Ukiangalia movie inaitwa The Third Twin utaelewa vizuri jinsi human cloning inavyofanywa yaani hawa clones wanafanana kila kitu mpaka DNA na finger prints
 
Alijichubua ili awe na rangi moja.Kwa kuwa vitolgo ilimuathiri sana na kumuachia patches kubwa kubwa kama Winnie hallow yule modo.
Tuhuma za kujichubua hazina uthibitisho uliowazi,

Kunapost niliweka na picha ikionyesha baadhi ya watu waliokuwa na skin disorder vitilgo na ikawathiri mwili mzima na kubadili ngozi, njisi umri unavyosonga ndivyo mwili unazidi kutafunwa na kubadilika kwa ngozi.

Kwa sababu alikuwa ni star na anahitajika kutumbuiza hivyo make-up na mazagazaga vilihusika sana.Jambo lingine jamaa alikuwa ni msiri sana hivyo watu wa media ilikuwa inawapataabu sana kuandika taarifa zake nyingi zikijikanganya na ilikuwa na nadra yeye kujibu uzushi mwingi wa media na pia watu wakaribu yake ilikuwa ngumu kutambua Mambo yake mengi.

Mfano,Wengine hudai wale si watoto wake na chokochoko za namna hiyo,baadaye akaja kurijibu hili tena kwa msisitizo shahawa zake na yai la Mke wake ndio wameleta watoto.

The Intellegent MJ kaanza kumsoma Socrate Greek philosopher akiwa na miaka 12 hebu imagine,alikuwa mpenzi wa vitabu msomaji haswa haswa zaiidi ya vitabu 10,000 alisoma bwana huyu (Maarifa mengi utayapata vitabuni) Eloquent MJ R.I.P
main-qimg-da5baae43c962df6c51c47a97fafdb36-c.jpeg
 
Tuhuma za kujichubua hazina uthibitisho uliowazi,

Kunapost niliweka na picha ikionyesha baadhi ya watu waliokuwa na skin disorder vitilgo na ikawathiri mwili mzima na kubadili ngozi, njisi umri unavyosonga ndivyo mwili unazidi kutafunwa na kubadilika kwa ngozi.

Kwa sababu alikuwa ni star na anahitajika kutumbuiza hivyo make-up na mazagazaga vilihusika sana.Jambo lingine jamaa alikuwa ni msiri sana hivyo watu wa media ilikuwa inawapataabu sana kuandika taarifa zake nyingi zikijikanganya na ilikuwa na nadra yeye kujibu uzushi mwingi wa media na pia watu wakaribu yake ilikuwa ngumu kutambua Mambo yake mengi.

Mfano,Wengine hudai wale si watoto wake na chokochoko za namna hiyo,baadaye akaja kurijibu hili tena kwa msisitizo shahawa zake na yai la Mke wake ndio wameleta watoto.

The Intellegent MJ kaanza kumsoma Socrate Greek philosopher akiwa na miaka 12 hebu imagine,alikuwa mpenzi wa vitabu msomaji haswa haswa zaiidi ya vitabu 10,000 alisoma bwana huyu (Maarifa mengi utayapata vitabuni) Eloquent MJ R.I.PView attachment 814531
Sawa hakukichubua!!
 
Asante kwa kuliona ile kwa MJ naamini na wengine watambue ile kwa he had his wars just like everybody in this life fighting their wars/dramas. SASA NDUGUU, NAOMBA NIKUELEWESHE KUHUSU CLONING ni kwamba sio robot walat kutengeneza as such as artificial hapana. Clone anaweza kuwa kama ww na mm na yoyote anae soma hapa. Clone ni wanatolewa kwa mwanamke yani yai la mwanamke au mdada linapandikizwa cell kutoka kwa DNA tissues cell zake yani hivi " somatic cell nuclear transfer (SCNT), produced viable embryos but they failed to mature into healthy animals. The technique starts with taking the nucleus of a cell from a tissue like skin, and inserting it into an animal egg that has had its own DNA-carrying nucleus removed. That combination is then treated with enzymes that return it to an early embryonic state from which it can differentiate into every cell type in the body, like a just-fertilized egg. The egg is then implanted in a surrogate mother for development." yule mwanamke ni kama mbebaji mfano irene uwoya mimba yake imebebwa na oprah alafu oprah anapozaa anamzaa arine uwoya mwengine mmoja au mapacha nadhani umenisoma kama bado basi KUNA SERIES INAITWA ORPHAN BLACK IKO SEASON 1-5 ICHEKI UTAJUA CLONING IKOJE. kwenye iyo series kulikuwa kuna mademu waliofanana kama 22 ambapo origina alikuwa ni CIA na alijiua baada ya kuchanganyikiwa na mikasa wenzake waliokuwa wakipata na vitisho na yeye akachukua easy way out.
Swali :
1:kulwa na doto wanaofanana tunaweza kuwaita clone!?( kuna tofauti gani kati ya clone na mapacha?)
2: Kama sio/kama kuna tofauti tupe mfano hai watu waliokuwa cloned mpaka sasa?
(achana na movie/drama)
Then tupate jiɓu Mj ni clone ya jepsins,
 
Back
Top Bottom