Kifo cha Michael Jackson, ulishasikia kuhusu project ya Human Cloning?

Kifo cha Michael Jackson, ulishasikia kuhusu project ya Human Cloning?

kwa hili acha nikae na mchina mie🙂.
Palantir
Reproductive cloning bado inawatia wanasayansi ukichaa kwa kushindwa kufanikiwa kabisa

Na ukisoma hapa chini vyema utagundua kwanini inashindwa kufanikiwa


When a human is conceived, a half of genetic material comes from mother (in the egg) and the other half from the father (in the sperm). With clones, whole genetic material comes from the donor. First. we need to remove maternal genetic material from the egg and then add the DNA of the subject we want to clone. Usually a light electric shock that starts cell division is needed.

Next, the early-stage embryo needs to be implanted in a surrogate mother. And in essence, that is how the clone is born. Of course, this is a complicated and difficult process, and many attempts are needed for it to succeed.

The first successfully cloned animal was sheep, Dolly, in 1996. Since then, science has made lots of different clones, but most of these ended tragically and died soon. The problem may be with cloning and that mutations that occur during that process, or it might be with the animal that was cloned. When the donors DNA samples are taken, the donor has already lived up to certain age. As a result, the DNA is aged and doesn’t function perfectly.
 
hapa mnajichanganya sana.. Michael Jackson tangu anazaliwa anakua anaingia kwenye muziki anapata mafanikio kwenye muziki kila mmoja ameona na record zote kumhusu MJ ziko wazi kabisa hakutoka from nowhere.. Huu ni uongo wa mchana mchana
Hicho unachojua wewe ndio kilichotakiwa wewe ukifahamu..
Hivi wafahamu kua viliandikwa vitabu 4 vya wakorinto ila viwili tu ndo vipo?
Unajua kama wamisri walipovuka bahari jekundu maji yalikua yamekupwa?
Unajua ni kwanini Jina la Yehoshua lilibadilishwa kua Jesus?

Unajua kile kilichopangwa ww ujue..
 
The island... Inahusu hii mambo ya kutengeneza mtu anayefanana na mtu mwingine ambaye aidha alishawahi ishi ama bado anaishi na wanaendana kitabia na matendo... Wanahamisha kumbukumbu, hivyo kumfanya mtu aliyetengenezwa kuwa na kumbukumbu sawa za matukio ya kimaisha na original wake
Unajua mm nilikua nakataa kua radi si mnyama kisa physics nayosoma shule. Ila siku moja nilisibitisha kua radi ni mnyama hata nyama yake ukiitaka inapatikana.
 
Palantir
Reproductive cloning bado inawatia wanasayansi ukichaa kwa kushindwa kufanikiwa kabisa
The first successfully cloned animal was sheep, Dolly, in 1996. Since then, science has made lots of different clones, but most of these ended tragically and died soon. The problem may be with cloning and that mutations that occur during that process, or it might be with the animal that was cloned. When the donors DNA samples are taken, the donor has already lived up to certain age. As a result, the DNA is aged and doesn’t function perfectly.
And these preginancies lasted for only 80 days!. The process is succesful in mamalian but have failed to primates until recently in China 2018. Bado kuna watu wanakaza misuli kuamini ni kitu simple kuclone mtu, specially in the 80s era!..
Nakubaliana na wewe Kudo, mada tuwajadili dopplerganger/replacement ya hawa watu maarufu but tuliondoe Cloning hapo na mie nitaweza kuja na mchango tofauti.
 
Unajua mm nilikua nakataa kua radi si mnyama kisa physics nayosoma shule. Ila siku moja nilisibitisha kua radi ni mnyama hata nyama yake ukiitaka inapatikana.
Aahh davinci hebu nipe maujanja hayo mzee!..
 
And these preginancies lasted for only 80 days!. The process is succesful in mamalian but have failed to primates until recently in China 2018. Bado kuna watu wanakaza misuli kuamini ni kitu simple kuclone mtu, specially in the 80s era!..
Nakubaliana na wewe Kudo, mada tuwajadili dopplerganger/replacement ya hawa watu maarufu but tuliondoe Cloning hapo na mie nitaweza kuja na mchango tofauti.
Mkuu Palantir tatizo kubwa nililoliona hapa ni kuwa watu wengi ukiwatajia neno cloning basi hukimbilia nguvu za miujiza na kuhusishwa na Illuminati ama masons ama Aliens na wanasahau ya kuwa hii cloning sio miujiza hiyo hii ni sayansi inayotoboa bongo za watu huko maabara na tatizo ni moja tu wanataka waipate sayansi ya uumbwaji wa viumbe hai ambayo haijulikani hata ilitokea wapi

Hii cloning inakula pesa za watu sana mana miaka yote haifanikiwi na hata ikifanikiwa viumbe wake hufa muda mfupi badae

Watu inabidi waondoe mawazo ya miujiza ya hao wanaomini ni wenye kuendesha dunia hii
Cloning ni sayansi asee na inaumiza watu vichwa

Hayo mengine naeza kukubali ila sio cloning na vitu vingine watu wakubali ni conspiracy tu
 
Lakin kama amefariki ilikuwaje kaburi lake halikuoneshwa wala anapozikwa hakuna au alizikwa kama osama baharini
 
Human Cloning ni nini..?
-Ni teknolojia inayohusu kutengeneza binaadam maabara genetically ambapo huchukuliwa Cells na tissue kisha kuzalishwa.Kile kilichotengenezwa (Copy) hufana hufanana na 99.99% na kile kiumbe cha kwanza. Cloning imeanza miaja ya 1960s. Kuna nchi takriban 70 teknolojia hii imeziwiliwa kutumika mfano India,Argentina,Australia,Canada etc..
Lakini baadhi ya vyombo vya siri hutumia teknolojia. CIA wanahusika kiasi kikubwa katika matumizi ya Teknolojia hii.

Hua wanafanya vipi...?
Hua wanaangalia mtu fulani ambaye wanaona ni ni tishio kwao Economically, socially and Politically kisha anatengenezwa mtu anayefanana 99.99% na yule ambae ni kikwazo.Kisha yule tishio anauawa. Akisha uawa yule aliyetengenezwa anaanza kazi.

Hicho ndicho kilichomtokea msanii Michael Jackson, alifariki mwaka 1984 kisha akaletwa FRANK JEPSIN kama michael Jackso ambae wanafanana asilimia kubwa na the late MJ.
Wapo wengi wamefanyiwa hiki kitu, Victim mwingine wa hili ni Eminem.

January 27, 1984: Michael Jackson's hair catches fire during Pepsi commercial

Lakini imegundulika kua hawa watoto wa sasa tunaowafahamu kua ni wa MJ imegundulika sio wake.
====
Five days after Michael's death, TMZ reported that the late music icon was not the biological father of any of his three children, nor was Debbie Rowe the mother of the two kids to which she gave birth. According to sources, neither Michael's sperm nor Rowe's eggs were used for the embryos that became Prince and Paris. Sources claim Blanket was conceived by a surrogate who did not know she was carrying the King of Pop's baby. Michael's lawyer picked Blanket up from the hospital and delivered him to Michael, reported TMZ. Blanket's mother is rumored to be a Mexican nurse named Helena, according to the Mirror.
Curiously enough, in the midst of a wrongful death lawsuit against AEG Live, Michael's mother, Katherine Jackson, fought the court to prevent it from hearing evidence about the conception of Jackson's children. Weird, no?
Read More: The weirdest stories about Michael Jackson's kids

Mnakaribishwa kutoa michango yenu..
@Abbu_yazid geesten66 mtu chake baba bora

Note. Sio lazima uamini kila kitu but Yale tunayoona ni uongo Actually ndio hua ni ukweli wenyewe na ule ukweli ndio uongo. Tunafaham yale tu yaliyopangwa tuyafaham, mengi hatuyafahamu mpaka pale tu mtu atakapo jaribu kufikiri atoke nje ya boksi. Na hapo ndio huja lile fumbo alilotengeneza plato(?) kuhusu wafunwa ndani ya pango waliofungwa minyororo.

Sio mwandishi mzuri sorry.
Vinci...
Kiongozi naomba unielezee kidogo iyo copy namna inavyofanywa,,,, mtu snafanyiwa skin transformation au anazaliwa upya[emoji16]
 
Kabla sijasoma michango ya watu wengine nin maswali kadhaa..

Unasema Michael Jackson alifariki mwaka 1984 huyo Michael Jackson mpya (clone) alizaliwa/alitengenezwa mwaka gani?

Huyo Michael Jackson unayesema alikufa 1984 una uthibitisho au source yeyote inayoeleza kuwa alikufa huo mwaka?

Kuna video ya Michael Jackson alivyoungua kwenye kutengeneza tangazo la Pepsi inaonyesha aliungua san..je huo ndio ushahidi wako kuwa alikufa?

Teknolojia ya cloning ina tofauti gani na uumbaji?
 
Naamini kabisa yani yule mzungu kabisa alikuwa hana ata chembe ya uafrica. Michael alikufa 1984.
acha kuamini conspiracy theories.

Kuna maswali mengi ya kujiuliza.

kama kweli hiyo teknolojia ipo basi binadamu ameweza kuumba binadamu kama Mungu maana kama unaweza kumtengeneza Michael Jackson mwenye uwezo uleule wa kuimba na kucheza na kumbukumbu zote ,muandiko na kila kiti basi ni uumbaji tuu kama wa Mungu kitu ambacho sio kweli.

Michael kubadilika Rangi ni kwa vile alikuwa na Vitiligo
 
Back
Top Bottom