Kifo cha Michael Jackson, ulishasikia kuhusu project ya Human Cloning?

Kifo cha Michael Jackson, ulishasikia kuhusu project ya Human Cloning?

Aisee... Hapa ukiwa na maana gani kiongozi kwa huu mfano... Pia siamini kama kweli radi ni mnyama... Sijawahi mshuhudia
Jaribu kua mnaongea na wazee wa walio karibu yako utajifunza mengi.
 
[]

hii hapa source kuhusu Vitiligo..

Halafu mkisema Michael Jackson alibadilishwa akaletwa mzungu mnataka kusema Michael Jackson alibadilika Rangi ndani ya masaa 24? acheni uongo.

Ngozi ya michael jackson ilikuwa inabadilika taratibu kadri ugonjwa wa vitiligo ulivyokuwa unamla.

Ndio maana weupe wa Michael Jackson wa 1987 sio wa 1990... na wa 1990 sio wa 1995 na kuendelea.


Ndio maana sisi mashabiki wa Michael Jackson tumemgawanya katika era tofauti. ukisema Michael wa BAD era tunamjua ..ukisema wa Dangerous Era tunamjua na kuendelea.

Hakuna cha cloning wala nini..ni uongo mtupu tuu mnatudanganya hapa.

Mkuu kwanini umekimbilia ku confirm kua ni uongo?
Yawezekana hiko unachofahamu ww ndio kinachotakiwa wewe ufahamu. Je kama huo ugonjjwa nao ulipandikizwa..?
 
Hicho kitu kipo na nakubaliana na wwe ila wanavyosema kilianzia kwa huyu mwanascience John Bertrand Gurdon mwaka 1958 anajaribu kuclon chura kutokea single cells organism na anapata kiumbe kinachofanana na chura baada ya huyu scientist kuanza tunaona mpaka leo kuclon mnyama hata binadamu na hii project ipoo na inafanyika kwa mataifa ya wenzetu wameenda mbali mwaka 2009 kuna baadi ya madaktari waliweza kuja juu na kusema wameweza hata kuiplant mayai ya akina mama yakiwa cloned kwa akina mama wapatao wanne lakini waka 2013 baadhi ya madaktari pia wa marekani waliweza kufanikisha hilo swalaa lakini ni baada ya kupata shida kwenye kuamisha content za kwenye cell ili waziweke kwenye cell nyingine ndio shida ilipo kuwa na wakaamua kutumia njia inayoitwa somatic cell nuclear transfer kwa njia hiyo mambo yakafanikiwa.
Kikubwa tujue kwamba hivi vitu vipo ila navyo vina matokeo yake
 
Mkuu kwanini umekimbilia ku confirm kua ni uongo?
Yawezekana hiko unachofahamu ww ndio kinachotakiwa wewe ufahamu. Je kama huo ugonjjwa nao ulipandikizwa..?
uongo mtupu.

ushahidi na vielelezo vyake vinatia mashaka zaidi ya kuthibitisha hoja zake.
 
Haya mambo huwa kwangu nabaki kuyasoma kama story za magazetini maana utasikia leo wamepandikiza kiumbe hiki kimetokea hiki. Braa braa za watafiti huwa ni story ambazo nazisoma nikikosa kazi ya kufanya maana nimesha sikia mengi
 
Hahahh Malcom Lumumba unakumbuka kuna yule ndugu yake na Yericko Nyerere somebody nyerere alikuwa anakuja na maandiko ya Human Life Decoy humu JF?, sijui hadi raisi wa USA ni replacement ya Russia!.
Me kusema kweli nilikuwa namuona kama UPS (uninturrupted power supply) yake imekata kichwani 😉.
Hahaa unamzungumzia Andrew Nyerere ila ndio ilivyo anayeongea reality ndio anaonekana Kichaa
 
Si ushasikia kitu kinaitwa "deal with the devil"?. Unaingia mkataba na shetani anakupa umaarufu na pesa then unauza roho yako forever.(hapa anayeweza kukuokoa ni Mungu pekee) maana roho yako inakuwa placed somewhere and mwili wako unakuwa cloned na roho chafu(demon)
Hawa watu wanakontrol tasnia yote ya Hollwood huwezi shine bila ya mkono wao...wakitaka unashuka wakitaka unapanda
Refer Laurin hill wa FUGEES yeye aligoma kutoa mimba yake kama sacrifce ( ile ya mtoto wa bob marley) ndo wakaamua kumzima mazima.
Ukiwakataa utapewa kesi za kodi,utaambiwa mteja wa unga utapewa kesi za kubaka watoto au wanawake (remember media wanazicontrol wao) NB:WHOEVER CONTROL THE MEDIA CONTROL THE "MIND" OF THE PEOPLE.
So ni almost wasanii wote na ma actors actress models...wanapenda kuwatumia hawa maana wao ni rahisi kudanganya watu wengi kwa urahisi.
Beyonce akijikata kidole damu insta utashangaa wasichana dunia nzima wakijikata nao kidole damu ( hawajui mwenzano anafanya agano na shetani na wao kwa kutoa damu zao nao wanaungana kumtolea sadaka shetani)
Kama wakumbuka shetani alipomchukua Yesu mpk mlimani akamwambia ukinisujudu kila kitu kitakuwa chako....well Yesu alisema NO! But vijana wa sasa wanasema Yes..so wanapata umaarufu pesa but wanakuwa wameuza roho zao ndio maana wanafanya mambo kama hawana wazazi coz hawajali wanakuwa poses na shetani.
Entertaiment Industry is controlled by the Devil...since wayback but now ni mbaya zaidi...si US pekee hata Africa mpk East Africa. Utawajua kwa sign zao za 666 au pembe tatu black n white drafts...etc
So ushauri ukipenda nyimbo zao poa sikiliza but hakikisha hazikupandi kichwani ukajikuta nawewe eti msanii ni idol wako eti uko radhi kumtetea ilhali hujawahi hata kutanana nae.(hapo ni kama unamuabudu)
JIULIZE TULIMJUAJE KIM KARDASHIAN...well ni kwenye video ya ngono yake na Mdogo wa brandy Ray J...Je unajua ana folowers wangapi insta ya vijana kote duniani kama eti ndio idol wao(yaani kioo chao)
Idolism ni devil stuff....binadamu hawezi kuwa idol wako.....
Kwenye wimbo wa Nyanshiski wa KEBS kaimba "The industry is full of demons are you sure you want Fame?(to be famous?".
You hit the point brother..
Watu hua hawakubali haya mambo sijui kwanini. Tena wanakuona chizi.
 
Lakini imegundulika kua hawa watoto wa sasa tunaowafahamu kua ni wa MJ imegundulika sio wake
We ndo uneleta story hii leo?, dunia iliju hata kabla watoto hao hawajzaliwa
 
Hahahh Malcom Lumumba unakumbuka kuna yule ndugu yake na Yericko Nyerere somebody nyerere alikuwa anakuja na maandiko ya Human Life Decoy humu JF?, sijui hadi raisi wa USA ni replacement ya Russia!.
Me kusema kweli nilikuwa namuona kama UPS (uninturrupted power supply) yake imekata kichwani 😉.
Eti Mkuu unajua hii notification sikupata kabisa.
 
Swala la kutengeneza ɓinadamu feki mwengine afanane kila kitu na binaɗamu halisi mi kwangu ɓado naona giza(kautafiti kangu bado hakajatick)...
ila sasa kwa kusoma bible na 'The first and second book of Adam and Eve' ukizungumzia reptilian anayezungumziwa kama evil serpent( kuna mtu alifanya interview kwa siri na mmoja wapo anadai hivyo..zaidi google the lacerta files/ nimeamɓatanisha pɗf file)..ambaye alikuwa malaika hapo mwanzo na waliohasi ni pamoja na wale waliojiɓadilisha na kuvaa miili ƴa binaɗamu ili kutemɓea na maɓinti waliokuwa kipindi hicho na kuzaa majitu (wanefili)..
The same situation kwa hali ilivƴo sasa kuna reptilians wanajivika miili ƴa binadamu na kuishi kama wanadamu saɓaɓu wana uwezo kujibadili wakaonekana kama watu kumɓe sio na wa kusoma fikra za mtu (zaidi google lacerta files au check youtube search usikilize )
+ kuna watu maarufu mɓali mɓali wameripotiwa kuwa na hali ama muonekano sio wa kawaida na wamenaswa na camera na kuna youtube video zao zinaoneshwa sio viumbe wa kawaida na kuhisiwa ni jamii ƴa reptilians waliojivika miili ƴa binadamu na hao pia conspirancy theorists wanawaita clone zaidi fuatilia...
Zengine utazipata youtube humo humo
AsanteView attachment 811994

Salute Bro you on point...
Ndo maana sidhani kama Hollywood ni wajinga kutoa muvi ya men in black. Walikua wanajaribu kutuonyesha vitu vilivyo behind the curtain. Tunaishi na watu tukidhani ni watu but they are demons..
 
Human Cloning ni nini..?
-Ni teknolojia inayohusu kutengeneza binaadam maabara genetically ambapo huchukuliwa Cells na tissue kisha kuzalishwa.Kile kilichotengenezwa (Copy) hufana hufanana na 99.99% na kile kiumbe cha kwanza. Cloning imeanza miaja ya 1960s. Kuna nchi takriban 70 teknolojia hii imeziwiliwa kutumika mfano India,Argentina,Australia,Canada etc..
Lakini baadhi ya vyombo vya siri hutumia teknolojia. CIA wanahusika kiasi kikubwa katika matumizi ya Teknolojia hii.

Hua wanafanya vipi...?
Hua wanaangalia mtu fulani ambaye wanaona ni ni tishio kwao Economically, socially and Politically kisha anatengenezwa mtu anayefanana 99.99% na yule ambae ni kikwazo.Kisha yule tishio anauawa. Akisha uawa yule aliyetengenezwa anaanza kazi.

Hicho ndicho kilichomtokea msanii Michael Jackson, alifariki mwaka 1984 kisha akaletwa FRANK JEPSIN kama michael Jackso ambae wanafanana asilimia kubwa na the late MJ.
Wapo wengi wamefanyiwa hiki kitu, Victim mwingine wa hili ni Eminem.

January 27, 1984: Michael Jackson's hair catches fire during Pepsi commercial

Lakini imegundulika kua hawa watoto wa sasa tunaowafahamu kua ni wa MJ imegundulika sio wake.
====
Five days after Michael's death, TMZ reported that the late music icon was not the biological father of any of his three children, nor was Debbie Rowe the mother of the two kids to which she gave birth. According to sources, neither Michael's sperm nor Rowe's eggs were used for the embryos that became Prince and Paris. Sources claim Blanket was conceived by a surrogate who did not know she was carrying the King of Pop's baby. Michael's lawyer picked Blanket up from the hospital and delivered him to Michael, reported TMZ. Blanket's mother is rumored to be a Mexican nurse named Helena, according to the Mirror.
Curiously enough, in the midst of a wrongful death lawsuit against AEG Live, Michael's mother, Katherine Jackson, fought the court to prevent it from hearing evidence about the conception of Jackson's children. Weird, no?
Read More: The weirdest stories about Michael Jackson's kids

Mnakaribishwa kutoa michango yenu..
@Abbu_yazid geesten66 mtu chake baba bora

Note. Sio lazima uamini kila kitu but Yale tunayoona ni uongo Actually ndio hua ni ukweli wenyewe na ule ukweli ndio uongo. Tunafaham yale tu yaliyopangwa tuyafaham, mengi hatuyafahamu mpaka pale tu mtu atakapo jaribu kufikiri atoke nje ya boksi. Na hapo ndio huja lile fumbo alilotengeneza plato(?) kuhusu wafunwa ndani ya pango waliofungwa minyororo.

Sio mwandishi mzuri sorry.
Vinci...
Cloning ni teknolojia ambayo ipo. Lakini, ni hairuhusiwi (strictly prohibited) kutumika ktk kutengeneza binadamu duniani kote.

Ni kweli, kwamba "somatic cell" (chromosome 46) + "female reproductive cell (chromosome 23) ndiyo hutumika...(kivipi....mechanism yake ni ndefu sana kuielezea).

Nakubaliana na wewe, kwamba huenda ikawa inatumika sana katk nchi zilizoendelea kiuchumi na teknolojia kama USA lakini kwa usiri mkubwa sana.

Maoni yangu, ingeruhusiwa tu ila kwa masharti maalumu. Mfano, kutengeneza binadamu ambao wanauwezo wakipekee ktk field mbali mbali kama vile michezo (wachezaji wa mpira, CR7 na Messi10), n.k
 
Cloning hutumika sana kwa ajili ya DNA.
Hivyo watu matajiri hufanya cloning ya DNA zao ili kile kiumbe kitachopatikana kiwe kinamtolea spea mfano figo,ini na viungo vingine.hii huwasaidia kuishi maisha marefu.
 
Safari Yetu Ya Maisha Bado Ni Ndefu Sana
Ingawa Unapotafutwa Ukweli Lazima Watu Wawe Na Subira Pia Uvumilivu Mkubwa
 
Back
Top Bottom