Mkuu,Malcom Lumumba Amani iwe nawe ndugu. siku nyingi sijakusikia but I hope everything is well with you sir. Kwa mtazamo wangu teknolojia ya HUMAN CLONING ni mojawapo ya undisired technology in 21 century, ingawa kuna mixed reaction kuhusu human cloning. Baadhi ya nchi zimekataza human cloning huku nyingine zikiruhusu na nyingine zikibaki kuwa silent. Takribani nchi zaidi ya 25 zimezuia cloning ya binadamu ikiwa ni pamoja na Marekani, Uingereza,, Canada, Ufaransa na Ujerumani. Dunia inalichukulia suala la human cloning kama ni tafiti hatarishi na mbaya zaidi katika maendeleo ya Binadamu. Ingawa kuna nchi kama Korea ya kusini, china etc wao wanaruhusu. Kwa mfano, nchi kama;-
INDIA: India haina sheria Mahususi kuzuia tafiti or human cloning yenyewe. hata hivyo Baraza la Utafiti wa Matibabu (ICMR) na Idara ya Bioteknolojia (DBT) ilikataza cloning ya uzazi wa kibinadamu kama kwa "Mwongozo wa Taifa wa Utafiti wa Cell Cell" 2017, iliyoandaliwa na NAC-SCRT. India inaruhusu cloning ya wanyama, na inatilia mkazo utafiti katika eneo hilo.
UNITED STATES: Kwa mujibu wa muswada wa Marekani, HR 3498, tarehe 11 Septemba 2015, cloning ya binadamu imepigwa marufuku nchini Marekani lakini utafiti hauzuiliwi kufanyika ikiwa ni pamoja na utafiti katika matumizi ya uhamisho wa nyuklia au mbinu nyingine za cloning ili kuzalisha molekuli, DNA, seli zisizo za binadamu majani, tishu, viungo, mimea, au wanyama wengine zaidi ya wanadamu.
UNITED KINGDOM: Kwa mujibu wa sheria ya Human Fertilisation and Embryology Act 2008, uingereza inakataza human cloning.
UNITED NATIONS: The United Nations General Assembly approved (Mar 2005) ilipiga marufuko utafiti, ubashiri na hatua zozote za uzalishaji/urutubishaji wa binadamu yaani human cloning.
Hivyo basi nikijaribu kujibu hypothesis hapo juu kama zilivyouliza kuwa:-
(a) Will he be recognized as a Human Being or A property ???
(b) Will he be called Kanye West or Given a Specimen Number ???
(c) What of Human Rights and Freedoms, Will he be inherently entitled to their protection? (eg Freedom of Movement)
Nikianzia na swali la kwanza, he/she will be a human being. though depend how and from which angle your definition is based. I mean spritial or scientific perspectives. kwa mfano katika kilatini (Latin Humanus) inamtambulisha binadamu kama mnyama (as an animal and/or monster as distinct from the ancient). Hivyo basi Kwa mtazamo wangu, binadamu or Homo Sapiens anaweza kuwa kiumbe chochote kilicho na tabia zilizotofanana na zetu sisi tunaojiita binadamu ( based on scientific facts and analysis). kwa upande mwingine human being can be property and this goes back to slavery era. However, in contemporaly world There are no longer any legal grounds for men being the property of other men. There are, however, unexpected consequences of modern inheritance laws in many Western countries, where biological offspring have the right to a stipulated, usually lion, part of their parents's wealth—whether the parents so wish or not (in the same vein parents inherit their children.
Kwa mtazamo wa leo na kwa mjibu wa sheria mbalimbali za nchi na za kimataifa , binadamu hawezi kuwa bidhaa/property ingawa kwa namna moja ama nyingine binadamu aliwahi kuwa property na ameendelea kuwa property (Modern slavery). pitia case ya Somerset v Stewart (1772) kuna mengi ya kujifunza huko.
(b) whether Will he be called Kanye West or Given a Specimen Number? I think the answer is yes. kwa mtazamo wangu jina is not a big deal. we even name our pets after human names...
(c) Human right is universal rights ingawa haiko absolute kwani kuna nchi kadha kwao human right ni terminology ngumu kwao. It sounds like a priviledge. kuhusu legal protection iko subject to discussion. nafikiri tatizo ni kuwa hatujapata jawabu la human cloning...A real human from test tubes. nafikiri, sheria zinaweza kubadilika just to accomodate new experience.