Kama nilivyoahidi ni kua pole pole tunaanza kusogelea ukweli, kwa kweli ninaandika haya bila kuangalia wengine huko nyuma wamesema nini ya hjii topic wamesema nini, samahani kama kuna mabayo nitakuwa ninayarudia iwapo yamesemwa tayari, huu ni uchnguzi wangu binafsi ninaendelea nao, so far nimepata yafuatayo:-
1. Familia ya marehemu ikiongozwa na kaka wa marehemu, imekataa kabisa kuzikwa kwa mwili wa marehemu leo, imedai wasubiriwe wataalamu wa binafsi kutoka Kenya, ambao wako njiani kuwasili huko Musoma.
2. Mallya ni kijana aliyewahi kuwa Mwanajeshi, na mwenye ujuzi mwingi wa kijeshi, kutokana na mafunzo mbali mbali aliyowahi kuyapata, akiwa jeshini, katika siku za mwisho za uhai wa marehemu, ndiye aliyekuwa karibu naye sana.
3. According to the dataz, Wangwe made a big political mistake, kwa sababu akifikia mahali akawa isolated na all the politicians, ambao ndio hasa aliokuwa anawahitaji katika kipindi cha kuelekea mwisho wa maisha yake, hata uwe shujaa namna gani, katika siasa za bongo sasa hivi huwezi kuji-isolate kabisa kama alivyokuwa marehemu, alikuwa haelewani na wote, kuanzia Chadema, mpaka CCM,
As the results ni kiongozi mmoja tu mkubwa wa taifa aliyejua kuhusu safari yake, naye ni Spika tu, aliyekwenda kumuaga kabla ya kuondoka. Now hata Spika, pia hakuwa na uhusiano mzuri naye kwa sababu nina video, moja ambayo Wangwe alimtukana sana Spika bungeni, ikabidi wazee wengi ndani ya bunge yaani wa upinzani mpaka wa CCM, wamuombe Wangwe aombe radhi kwa Spika pale pale kwa yale matusi kwa Spika, Wangwe akagoma na kusema kuwa yuko radhi kuiomba radhi CCM kwa kupitia kwa Mzee Malecela, lakini sio Spika binafsi,
4. Kwa kifupi, according to the dataz no body bungeni liked him, kwa sababu kuogopa matatizo kama yaliyompata, siku hizi wabunge wote wa high profile au waandishi wa habari wa high profile, pia hawasafiri betweeen Dodoma na Dar, bila ya kushauriana,
Kwa mfano, wewe ni high profile person katika siasa za bongo kama Wangwe alivyokuwa, sasa hivi, unataka kusafiri kati ya Dodoma na Dar, kwanza unawarifu wabunge muhimu sana, wao wanakupa ushauri what to do, ikiwa ni pamoja kulichukua gari lako linalojulikana sana na kuliegesha kwa kiongozi mmoja mzito, halafu unapewa shangingi kutoka Shinyanga au mkoa wowote usio karibu na pale Dodoma au Dar, ndio unasafiri nalo tena kwa kusindikizwa na magari mengine mpaka nusu ya safari, lakini huondoki tu bila kushauriana na wakulu, hili ni kosa kubwa sana lilofanywa na marehemu aliflkia mahali hakuwa na rafiki, zaidi tu ya handlers kutoka nanihiii..........!
Nitaendelea Sooon!...........