Kifo cha Mhe. Chacha Wangwe na uchunguzi wake

Kifo cha Mhe. Chacha Wangwe na uchunguzi wake

Status
Not open for further replies.
Ni kweli wache uchunguzi ufanyike..maana kila mtu atakuwa huru na kuridhika ndipo wampumzishe.....itamaliza utata na kutujibu baadhi ya maswali....yenye utata...angalau...si yote...
 
habari nilizozipata toka Moshi leo ni kwamba: baada ya wakazi wa Kibosho kusikia kuhusu bwana mdogo Deus Mallya kuhusishwa kwenye tukio hilo kubwa kumekuwa na mjadala mkubwa ambao umetoa siri ya maisha yake kwa kiasi kikubwa.

Kile ambacho mimi nimepokea kutok ahuko ni kwa Deus alikuwa mpiga kampeni za rais na ubunge wa CCM mwaka 2005. Alikuwa akiripoti vizuri kazi alizofanya za kampeni hadi aliposhukiwa kuwa anawasiliana pia na CHADEMA. Mgombea mmoja wa kiti cha udiwani kwa tiketi ya CCM ambaye ana uhusiano wa kndugu naye alimpiga marufuku kumfuatafuata kutokana na kile alicho kisema kuwa huyu ingawaje ni kamjomba kangu ni TAPELI.

Tumeletewa pia habari kuwa mjomba wa Deus anayefanya kazi TBL ambaye ni dereva wa malori ya Tanzania Brieweries alikwishampiga marufuku kufika kwake kutokana na tabia yake ya uvivu na utapeli.

Deus huyu alifanikiwa kumwingia kwa akili mkurugenzi mmoja pale makao makuu ya CHADEMA Ufipa na kuweza kutwaa nafasi moja ya safari ya Libya mwaka jana. Kwa taarifa zilizonijia kutoka Moshi zinasema kuwa nafasi hiyo ilikuwa ya mmoja kati ya makada wa chama anayeishi mjini Moshi.

Kama vile miujiza Deus katika maanalizi ya safari yake hiyo aifanikiwa kuchukuwa fedha kutoka ofisi kadhaa zikiwepo za Mbunge wa Moshi Vijijini, Moshi Mjini na kutoka kwa Diwani Mmoja wa Moshi Mjini. Hii ni kusema passport Moja ambayo kuna uhakika kuwa alisaidiwa na huyo mkurugenzi wa CHADEMA makao makuu kuilipia, bado ililipiwa na hizo ofisi kila moja bila kujua kuhusu ushiriki wa mwenzie. Kwa taarifa ya wanaJF ofisi ya Mbunge wa Moshi Mjini na ile ya Mbunge wa Moshi Vijijini zinatengwa na ukuta mmoja (Ziko jengo moja)

Baadhi ya ndugu zake waliokuwa wakilalamikia kuwa walikwishamkanya sana aache tabia yake ya utapeli wamekuwa wakipigiana simu na kuelezana kuwa YULE KIJANA WETU TAPELI ANGALIA MAHALI ANAKOISHIA SASA "TULIMWONYA SISI: HAKUTUSIKIA"

Haya ni machache niliyoyapata leo kutoka Moshi.
 
Nimepata news kwa watu wanao mjua Deus Mallya huyo dogo si mfanyabiashara hata kidogo na hata mtaji hana.
 
Kifo hiki kina utata mwingi sana, ni wajibu wetu JF kuweka record straight bila ya kujali nani ni nani, hapa amekufa kiongozi ambaye inaonekana kuna mikono mingi inyoweza kuwa na interest kubwa na kifo chake, yaani politically na pia economically.

Siku zote tumefanya uchunguzi wa kina kwa ishu karibu zote nzito za taifa, na this one haina tofauti, we are working very hard kuutafuta ukweli, na pole pole tunaanza kuukaribia, ninasema pole pole tunaanza kuukaribia ukweli, na kuuchambua uongo ulipo so far,

Speculations ni jambo la kaaida kwenye ishu nzito ya siasa kama hii, lakini in this speculation kuna mengi ya ukweli na mengi ya uongo, this time tunataka kuwa 110% right, tutarudi soon na facts za nini hasa kilichojiri,

Mkuu Halisi,

Heshima mbele ninaiona kazi yako na niko nyuma yako kila unapopita, ninaamini soon tutaifunga hii kesi hapa hapa JF, where we dare!

Mungu Amlaze Pema Peponi Marehemu Wangwe.
 
mzee.. ninayoyajua yananitisha; I'll call you.

Mwanakijiji naomba hayo yyanayokutisha nitumie kwenye pm yangu, hata mimi huki kifo kinanichanganya, naona km huyu kijana anahusika kwa 90%, mungu atanisamehe kama namfikiria vibaya.
 
habari nilizozipata toka Moshi leo ni kwamba: baada ya wakazi wa Kibosho kusikia kuhusu bwana mdogo Deus Mallya kuhusishwa kwenye tukio hilo kubwa kumekuwa na mjadala mkubwa ambao umetoa siri ya maisha yake kwa kiasi kikubwa.

Kile ambacho mimi nimepokea kutok ahuko ni kwa Deus alikuwa mpiga kampeni za rais na ubunge wa CCM mwaka 2005. Alikuwa akiripoti vizuri kazi alizofanya za kampeni hadi aliposhukiwa kuwa anawasiliana pia na CHADEMA. Mgombea mmoja wa kiti cha udiwani kwa tiketi ya CCM ambaye ana uhusiano wa kndugu naye alimpiga marufuku kumfuatafuata kutokana na kile alicho kisema kuwa huyu ingawaje ni kamjomba kangu ni TAPELI.

Tumeletewa pia habari kuwa mjomba wa Deus anayefanya kazi TBL ambaye ni dereva wa malori ya Tanzania Brieweries alikwishampiga marufuku kufika kwake kutokana na tabia yake ya uvivu na utapeli.

Deus huyu alifanikiwa kumwingia kwa akili mkurugenzi mmoja pale makao makuu ya CHADEMA Ufipa na kuweza kutwaa nafasi moja ya safari ya Libya mwaka jana. Kwa taarifa zilizonijia kutoka Moshi zinasema kuwa nafasi hiyo ilikuwa ya mmoja kati ya makada wa chama anayeishi mjini Moshi.

Kama vile miujiza Deus katika maanalizi ya safari yake hiyo aifanikiwa kuchukuwa fedha kutoka ofisi kadhaa zikiwepo za Mbunge wa Moshi Vijijini, Moshi Mjini na kutoka kwa Diwani Mmoja wa Moshi Mjini. Hii ni kusema passport Moja ambayo kuna uhakika kuwa alisaidiwa na huyo mkurugenzi wa CHADEMA makao makuu kuilipia, bado ililipiwa na hizo ofisi kila moja bila kujua kuhusu ushiriki wa mwenzie. Kwa taarifa ya wanaJF ofisi ya Mbunge wa Moshi Mjini na ile ya Mbunge wa Moshi Vijijini zinatengwa na ukuta mmoja (Ziko jengo moja)

Baadhi ya ndugu zake waliokuwa wakilalamikia kuwa walikwishamkanya sana aache tabia yake ya utapeli wamekuwa wakipigiana simu na kuelezana kuwa YULE KIJANA WETU TAPELI ANGALIA MAHALI ANAKOISHIA SASA "TULIMWONYA SISI: HAKUTUSIKIA"

Haya ni machache niliyoyapata leo kutoka Moshi.
Kama ni kweli kuhusu haya, mtanikubali niliposema nikiisoma sura ya huyu Bw mdogo ni nyoka mwenye sura laini ambayo ni kawaida.

Sio jambo la ajabu yeye kuwa amehusika kwingi zaidi, tusubiri tena mengine.
 
Deus Fransis Mallya, mwanachama wa CCM na CHADEMA wakati huo huo. Deus Mallya yule kijana ambaye nusu ya siku huitumia pembeni ya mtaa wa Ufipa na nusu ya siku huitumia Mtaa wa Lumumba. Deus Mallya, kabla ya tukio hilo alitafuta namba za viongozi wote wakuu wa CHADEMA na waasisi wake na kuwapigia simu za kuwadodosa wiki moja kabla. Deus Mallya, wiki moja kabla ya tukio alimpigia pia Rostam Aziz. Anyway, tutaona mengi mwaka huu. Sitasema mengine, mpaka marehemu atakapopumzika mbele ya haki.

PM

Pengine haya ndiyo yaliyosababisha marehemu Wangwe kudaiwa ama kudhaniwa "anavujisha siri" za CHADEMA?
 
kuweza kutwaa nafasi moja ya safari ya Libya mwaka jana.

QUOTE]
Jamani naunganisha doti nyingine nimepata Data huyu huyu Deus amewahi soma Libya na Israel wanadai sheria kama kuna mtu ana dot zingine anaweza kuuunganisha natafuta more data zake.
 
Unayosema yanawezekana lakini historia ya huyu jamaa alivyojihusisha na Chadema inatatiza kidogo, watoto wa marehemu wanasema alikuwa nyumbani tangu juzi (yaani kama siku 2 au 3 kabla ajali haijatokea). Hajulikani na Chadema kiundani ila alishawafuata kwa style za ajabu ajabu wakamtolea nje, iweje alijitolea kukaa na marehemu kwa karibu kiasi hicho bila sababu za msingi...? kuna nini hapo...? iweje amlazimishe marehemu kusafiri hali akijua hali yake wakati huo...?

Kama kweli yeye ndiye aliyekuwa anaendesha, basi utata unaongezeka maana picha inaonyesha kwamba baada ya ajali Deus alifungua mlango wa dereva akatoka, kisha akaufunga, akafungua mlango wa nyuma akahamia siti ya nyuma, akafunga mlango wa nyuma, akanyanyua kichwa cha marehemu akaweka miguuni pake, kisha akafunga mkanda na kulala hadi raia wema walipofika kusaidia...!!!??? alipata wapi hiyo akili...???

Sasa wewe wajanja wajanja wa mjini huwajui? Ni kama tapeli fulani hivi.

Akili? Ni muongo pia, hivyo alikuwa anajaribu kujinasua kwa kusema yeye hakuwa dereva.
 
Nimpongeze Mh. Zitto kwa namna ya pekee kabisa kwa kubeba MSALABA uliokuwa umelitangulia JENEZA bila kujali kuwa yeye ni MWISLAMU. Msalaba ni alama muhimu sana kwenye UKRISTO na ni Waislamu wachache sana wanaweza kuushika licha ya kuubeba kama alivyofanya Mh. Zitto.

Mijitu mingine jamani kwa dhana ndio yenyewe!...
Sasa hili swala la Uislaam na Ukristu linatoka wapi?...Kubeba msalaba ndio nini?
Mkuu Waislaam wanaruhusiwa kusoma Biblia, wanaingia Kanisani sasa wewe nambie kama hili linafanyika kwa wakristu kwanza ukiona Kuran nyumbani kwa Mkristu huyo sio sawa, kalaaniwa...
Nina marafiki kibao wakristu hata siku moja hawajaingia msikitini huishia nje hata visomo kama Hitma hukaa nje wakisubiri muda wa Mpunga.. leo imekuwa waislaam hivi ama vile wakati hoja hapa ni msiba wa ndugu yetu Wangwe..Huo msalaba unahusiana kitu gani na kifo cha Wangwe... Acha kuubeba watu wanauvaa sii fashion tu..Acheni ujinga.
Akili za Wadanganyika jamani ama kweli zimefungwa! ....
 
Iwe uchunguzi wa kuestablish cause of death na tuwe tayari kuyakubali matokeo yake maana naona kuna wengine wameshaanza kupredict mambo fulani
 
Iwe uchunguzi wa kuestablish cause of death na tuwe tayari kuyakubali matokeo yake maana naona kuna wengine wameshaanza kupredict mambo fulani...
Haaaaa! haaa! wee mkali bob na signature yako inasema - Be careful what you wish for; you might get it!...
 
Huyu Mallya nimepata habari zake sio mfanyabiashara kama alivyo dai.Nitaunganisha dot zake nyingine sasa hivi ngoja nikusanya data.
 
Iwe uchunguzi wa kuestablish cause of death na tuwe tayari kuyakubali matokeo yake maana naona kuna wengine wameshaanza kupredict mambo fulani
Hayo ya kuanza kukubali matokeo kabla hayajatokea ni sawa na kutuhamishia Zimbabwe, sisi sio wageni wa Sirkali yetu. Na kwa kifupi Sirkali iko Tarime, siamini hata kidogo kama watakubali kuumbuka kama wamehusika. Labda kama watakuwa wamepigwa upofu na ububu na mizimu ya Nyerere huko karibu na maeneo alikozikwa Baba wa Taifa.
 
Alafu alikuwa ndumila kuwili anang'ata kote kote CHADEMA na CCM sasa kati hao wanachama wa vyama vitajwa hapo juu wamehusika moja kwa moja kugarimu maisha ya Wangwe.
 
Mwanakijiji mkuu nitumie PM.. by the way unakuja Caribana?
Jamani wanaokuja TO msikose kuwasiliana nami mwenyeji wenu nipo msipate taabu!..Mayor wa mji nipo...
 
Kuna hatari amabyo wengine sijui kama mnaiona. Kunauwezekano kutokana na Mgogolo uliokuwepo CHADEMA , CCM wakatumia nafasi hii kuwapazia matope kina zitto, Dr Slaa pamoja na Mihili mingine ndani ya Chama, Na unajua tena.... Mpaka kesi ikaishe it might take forever and waheshimiwa wanakuwa wameisha kisiasa
 
Hili linawezekana, na mimi ndio maana nikashauri huyu Bw mdogo Deus ashikiwe chini na wakweli wa mambo maana polisi ni CCM. Ili tupate ukweli kwamba ahukumiwe nani...???
 
Ballille yeye ameamua kuchukua mwanya huu kumchafua Dogo Mnyika kufuatia tamko na mikakati ya CHADEMA Jimbo la Ubungo kumhusisha Rostam na Dowans moja kwa moja. Hivyo Ballile ameapua kutoa habari za kuweka mazingira ya watu kudhani unajua undani wa kifo cha Wangwe na kutaka polisi wamhoji. Hasira ya Ballile imetokana na CHADEMA Jimbo la Ubungo kumhusisha yeye Ballile na mafisadi kama ilivyoandikwa wakati fulani na gazeti la Mwanahalisi. Hii ni baada ya Ballile kutunga habari Rai iliyopita kuwa "CHADEMA wachapana makonde DSM" ambayo viongozi wa CHADEMA ubungo walilikanusha.

PM
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom