akilimtindi
JF-Expert Member
- Jun 30, 2008
- 421
- 83
Mkuu Samahani,naunganisha:
Jamaa kantumia ujumbe huu pia naomba niuweke ulivyo
"Ila nahisi kama watu wa ndani wa chama watakuwa wanamfahamu.
bcoz nimeona mpaka mabrochure ya chadema pamoja na print outs za vijitabu vya maswali na majibu bungeni vya mh. Zitto na mikutano mikutano ya chadema. nadhani kwa kuanzia polisi wangeenda kwenye ofisi yake pale kinondoni watapata mengi zaidi.
Poa msela wangu."
Inaonekana huyu dogo alikuwa na mikakati ya muda mrefu na alikua nakula kotekote
Naomba umuulize huyo msela hapo ofisini kwa Deus kuna print outs za Chadema peke yake au kuna print outs zingine tofauti tofauti?
Kama ni za Chadema peke yake ni utata huo...??? Yawezekana kashirikishwa ama kaziiba...??? Kazipataje...??? Kama kuna print outs zingine, hiyo ofisi ilianza lini na print outs za zamani zaidi ni za wakati gani? Je, zinahusika zaidi serikalini, NGOs, au vyama vya siasa tu? Yawezekana alizipata kwa Wangwe pia, ilikuwaje...???