Kifo cha Mhe. Chacha Wangwe na uchunguzi wake

Status
Not open for further replies.
Pls who know what went wrong he should stand and say the truth coz we always miss the truth.
 
Hili linawezekana, na mimi ndio maana nikashauri huyu Bw mdogo Deus ashikiwe chini na wakweli wa mambo maana polisi ni CCM. Ili tupate ukweli kwamba ahukumiwe nani...???

Sasa hao polisi wapo chini ya nani?si CCM na kama hawa CCM wamehusika unatarajia nini tutapata hapo?ni dhahiri itapindishwa weeeeeeeee kama Sokoine kisha tunasahau.Kama inawezekana CHADEMA washirikiane na polisi kufanya uchunguzi.
 
jamani Nasikia Tarime Wamegoma Kuzika Wamesema Hadi Mtaalamu Wao Aje Kuchunguza Mwili Kutoka Nairobi Je Mlio Karibu Na Tv Ni Kweli?? Naomba Msaada
 
Sasa hao polisi wapo chini ya nani?si CCM na kama hawa CCM wamehusika unatarajia nini tutapata hapo?ni dhahiri itapindishwa weeeeeeeee kama Sokoine kisha tunasahau.Kama inawezekana CHADEMA washirikiane na polisi kufanya uchunguzi.
kama??kwanini isiwe kama CHADEMA imehusika?
 
Bongo bana....yaani mtu (hususan kiongozi) hawezi kufa bila utata. Nashindwa kabisa kuelewa kwa nini watu tu dwell sana kwenye conspiracy theories. Kila siku watu wanakufa kwa njia tofauti ikiwemo ajali za barabarani. Sasa Wangwe kapata ajali na kwa bahati mbaya akapoteza maisha yake. Cha ajabu kipi hapo? Au kwa vile yeye ni Chacha Wangwe basi hakustahili kufa? Jamani jamani, kwa nini kila mara mtu/ kiongozi anapokufa tunapoteza muda mwingi sana kutafuta mchawi? Sokoine kafa kwenye ajali, watu wakaanza kunyooshea vidole wanaosadikiwa kuhusika, Amina Chifupa vivyo hivyo, Ippy Malecela hadithi ile ile, Kolimba kitu kile kile, Balali (huyu sijui hata kama kafa au bado yuko mzima), Ditopile (huyu naye kama Balali, inasemekana naye anaweza akawa ame-fake kifo chake), Zitto kalazwa Muhimbili watu wakaanza minong'ono....Wabongo, tutaacha lini huu utamaduni wa kutafuta mchawi kila wakati mtu afapo?
 
Nyani ndivyo tulivyo,

tumeshazoea kuwapapalikia viongozi na hili ndilo tatizo la umasikini wetu.

I said Earlir Before,Aliyeaanza haya Maneno ni Mzee Mwanakijiji siku ile ya pili baada ya Chacha Kufa..alianza na suala la Timee...sasa inaendelea,

Mwanakijiji naomba utuambie unachokijua na tutashukuru sana...
 
Naunganisha.
Nimetaarifiwa kuna mtu anamfahamu vizuri sana Deus na Ni Mshkaj wake
amesema Deus ana ofisi yake pale kinondoni mkwajuni.
ni mtu anaeshughulika na mambo ya printing.
na lastly alipoenda pale aliona print outs kibao za chadema. Jamaa nawasiliana nae anipe data zaidi coz anasema anayo hata namba yake ya simu
 
Bongo bana....yaani mtu (hususan kiongozi) hawezi kufa bila utata. Nashindwa kabisa kuelewa kwa nini watu tu dwell sana kwenye conspiracy theories. Kila siku watu wanakufa kwa njia tofauti ikiwemo ajali za barabarani. Sasa Wangwe kapata ajali na kwa bahati mbaya akapoteza maisha yake. Cha ajabu kipi hapo? Au kwa vile yeye ni Chacha Wangwe basi hakustahili kufa? Jamani jamani, kwa nini kila mara mtu/ kiongozi anapokufa tunapoteza muda mwingi sana kutafuta mchawi? Sokoine kafa kwenye ajali, watu wakaanza kunyooshea vidole wanaosadikiwa kuhusika, Amina Chifupa vivyo hivyo, Ippy Malecela hadithi ile ile, Kolimba kitu kile kile, Balali (huyu sijui hata kama kafa au bado yuko mzima), Ditopile (huyu naye kama Balali, inasemekana naye anaweza akawa ame-fake kifo chake), Zitto kalazwa Muhimbili watu wakaanza minong'ono....Wabongo, tutaacha lini huu utamaduni wa kutafuta mchawi kila wakati mtu afapo?
Mkuu unamaanisha nini? Yaani kama Balali alivyokufa ni kawaida au...???
 
sasa kama hamtaki nasisi tujue itakuwaje?Mwanakijiji nipe namimi news na vp uko Tarime wameshazika?na vipi iyo repoti ya Polisi inasemaje?
 
Wadau namaba ya Deus aliyokuwa anatumia hadi juzi ni hii hapa 0756-092228.
 
Asante Mkulu, hii ni namba ya siku za karibuni, inaonyesha mtumiaji amenunua simu siku za karibuni. Vinginevyo ni mtumiaji wa simu wa siku nyingi lakini anayependa kubadilibadili namba za simu, kama ndivyo, hiyo si ishara nzuri.
 
Mkuu unamaanisha nini? Yaani kama Balali alivyokufa ni kawaida au...???

Kuna wengine wanasema hajafa. Kwamba yuko mahali fulani kajificha na kabadilisha ID yake ili kukwepa sijui nini.....na kuna wanaoamini kuwa kafa na kwenye mazishi yake walienda......
 
Hili linawezekana, na mimi ndio maana nikashauri huyu Bw mdogo Deus ashikiwe chini na wakweli wa mambo maana polisi ni CCM. Ili tupate ukweli kwamba ahukumiwe nani...???

Wasiwasi wangu anaweza kutoroka kama yule Mgonjwa wa Mwanayamala Hospital alivyotoroka hospital akiwa chini ya ulinzi kwa kosa la kumuua mkewe.
Hofu nyingine inakuja kwa huyu Shahidi wa pili anaweza pia akahamishwa kijiji kama nae sio ku-mmafia.
 
Kuna wengine wanasema hajafa. Kwamba yuko mahali fulani kajificha na kabadilisha ID yake ili kukwepa sijui nini.....na kuna wanaoamini kuwa kafa na kwenye mazishi yake walienda......
Inawawia wadanganyika ngumu kuamini kwasababu walifichwa mno kuhusu kifo chake, lakini hata kama alikufa inakuwa ngumu wao pia kuamini amekufa kawaida kwasababu serikali ilificha pia kuhusu ugonjwa wake na hospitali alikokuwa anatibiwa. Hicho ndicho kinachofanya watu siku zote kuhisi utata kwenye kuficha mambo kama hakuna sababu ya kuyaficha.
 
Wasiwasi wangu anaweza kutoroka kama yule Mgonjwa wa Mwanayamala Hospital alivyotoroka hospital akiwa chini ya ulinzi kwa kosa la kumuua mkewe.
Hofu nyingine inakuja kwa huyu Shahidi wa pili anaweza pia akahamishwa kijiji kama nae sio ku-mmafia.
Kama mtandao maslahi unahusika basi njia rahisi nikumwachia atoroke akitanguliwa na fungu dogo la kumsaidia mbele ya safari, lakini nina mashaka sana kuhusu usalama wake maana anaonekana hajatulia. Anaweza kuropoka sana akibanwa sawasawa maana anaonekana ni mwongeaji mzuri (mropokaji akibanwa). Kama alitumwa, njia rahisi kwa aliyemtuma ni kumzima maana kazi imeisha na kijana kama yeye atahatarisha anga kama akiendelea kuropoka...Sijui...???
 
kama??kwanini isiwe kama CHADEMA imehusika?

Ni siri nzito mkuu huyu dogo anajua kila kitu akibanwa sana ataeleza kwa maana amewahi kuhusishwa na wanasiasa wa CCM kisha akawa na wanasiasa wa CHADEMA ngoja tutafute dot....
 
naunganisha:
Jamaa kantumia ujumbe huu pia naomba niuweke ulivyo

"Ila nahisi kama watu wa ndani wa chama watakuwa wanamfahamu.
bcoz nimeona mpaka mabrochure ya chadema pamoja na print outs za vijitabu vya maswali na majibu bungeni vya mh. Zitto na mikutano mikutano ya chadema. nadhani kwa kuanzia polisi wangeenda kwenye ofisi yake pale kinondoni watapata mengi zaidi.
Poa msela wangu."

Inaonekana huyu dogo alikuwa na mikakati ya muda mrefu na alikua nakula kotekote
 
kweli kabisa lakini hata huko CCM maeneo ya Moshi anatajwa sana kwenye kampeni za 2005.Kisha angalia mkuu kama unaweza ukatupa na dot ya udereva mimi jamaa kasema anamfahamu kabisa kuwa hata kudrive anajua sasa iweje anakataa????Hebu fatilia hilo.
 
Ni siri nzito mkuu huyu dogo anajua kila kitu akibanwa sana ataeleza kwa maana amewahi kuhusishwa na wanasiasa wa CCM kisha akawa na wanasiasa wa CHADEMA ngoja tutafute dot....

connecting to the dot..ina kuwa ngumu,Naomba mtuambie jamaa anafanya kazi wapi?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom