Swali la muhimu hapa...POLISI WATAKUBALI DEUS MALLYA AMTAJE MTU ALIYEMTUMA?
Je watauweka ukweli wazi?
Kama alikataliwa na MAKAO MAKUU...Ni kivipi Marehemu akawa rafiki wake?
Huyu kijana ni mtu hatari....Ila ametumiwa na amtaje aliyemtuma.
Tena tuanze na aliyemtuma atowe msisitizo wa umuhimu wa safari ya Wangwe.
Kwasababu Wangwe naye aliamka licha ya ugonjwa wake mara baada ya kuongea na Mallya...Basi na yeye alikuwa anaujuwa umuhimu wa safari yake...Na ili sisi tuweze kuujuwa umuhimu huo uliomfanya marehemu ashindwe kughairisha safari na kuikataa amri ya bwana mdogo Mallya...Ni wazi miadi ilikuwa mizito!Tunatakiwa tujuwe alikuwa na miadi ya kukutana na nani huko Dar.
Simu ziwe traced kuona ni nani marehemu aliwasiliana nao kabla ya ajali..Baada ya ajali ambapo ni kijana alifanya mawasiliano.
Haijalishi ni nani alikuwa na miadi naye lakini panaweza kuwa pazuri kuanzia.
Kwasababu kijana alifanya maamuzi kama vile alipewa amri na yeye...Kwani alipiga simu kwa watu muhimu muhimu sana na alipewa hayo maagizo..Maagizo ambayo ni vigumu kuyafuata kama kweli na wewe umepatwa na ajali.
Maneno makubwa haya mkuu, na yana clue kubwa ndani yake,
Kwani Kuja kuhudhuria msiba wa Bhoke kuna uhusiano gani na uhimizwaji wa safari na Malya?
Kwa jinsi hali ilivo kuwa ndani ya chama chake je ingewezekana aitwe na chama usiku usiku aende?
Je huenda huu wito hauna uhusiano wowote na chama chake ambacho hadi mauti yana mkumba walikuwa wakitofautiana kimtazamo?