Wewe sijui una tatizo gani?
Mimi naongelea mambo mengine wewe una combine kwa mambo mengine tatizo lako hapo haswa ni nini? Nafikiri una tatizo la kuelewa nini kinaongelewa.
Hilo la silaha wala halina uhusiano na RIP Wangwe wala Mbowe wala SLaa.
Wagumu wakuelewa kama ninyi mtakua mnalazimu watu waandike page tatu badala ya mistari miwili kwa kuzielezea ili upate nini kinaongelewa.
Mimi nilikua nakanusha kauli ya PM kua Tarime ni kama Pemba nikasema sivyo wanatarime tulivyo. wanaatarime wao wanapigana hata kwa silaha pale wanapoona wameonewa.Mfano masai akija kutuibia ng'ombe zetu vijana wote wenye umri wa miaka 18 lazima uende ukapigane.UMEELEWA.
Na maana ya kua wana Taarime walimchagua RIP CHAHA kwa sababu naye anawaunga mkono ktk move zao na si kwa sababu ni CHADEMA .UMENIELEWA.
Ndio maana RIP CHACHA mwaka jana kwa kutia msisitizo kua anaunga move zao alitaka naye hadharani kufanya vurumai kwa kurusha mkono na mkuu wa wilaya .ya taarime UMEELEWA.
Taarime wao hawachagui chama ila wanachagua mtu anayewaunga mkono .UMEELEWA yani wakiamusha zari na wewe mbunge lazima useme zari zari go ahead.UPOO au bado hujaelewa taabu kweli kweli