Mura mwita hapo umenikosha,
kama walizoea kuwatisha wengine na kuiba mabox ya kura mura hapo lazima kieleweke! Huwezi tumia vitisho kuminya haki ya walio wengi. wamezoea hao kuwatisha wa karatu wasijitokeze piga kura, yego mura jitokezeni muonyeshe ukomavu wenu. Tunawaombea mura mpate haki yenu na sikuyumbishwa na kutishwiwa nyau!
Mtazamo wa Masatu inaelekea ni wa kweli kwani Fikra tulizotaka kupata toka kwa Mbowe kupitia kwa MMJJ - KLHNews, zinaelekea kukwama kila wakati. Itabidi tutafiti kuwa pengine ni kweli MMJJ amekalia tawi.
Mjumbe hauawawi, mimi nimeiweka tu hapa hiyo article, sijui mwandishi kwa nini alichagua kichwa cha habari kama hicho lakini kama sikosei kitendawili kilitegwa na chama cha mafisadi na wao walitaka sana wakitegue wenyewe kwamba kuna ushahidi wa kutosha unaonyesha Wangwe hakufa kwa ajali bali aliuawawa na waliofanya hivyo ni viongozi wa juu wa CHADEMA. Sasa nyuso zimewashuka.
Kwanza nashukuru hii kubandikwa hapa ili tuweze kuichambua, namshukuru sana Mkuu Bubu mwenzangu.
Hata hivyo mimi nina wasiwasi na matamshi ya DCI Manumba yeye kama Mkurugenzi wa Makosa ya jinai anasema uchunguzi wao ulisha kamilika na ilionekana Mh Chacha Wangwe hakuuawa. Hapo sipingani naye. Lakini ninapingana naye na kuona hii taarifa yake haijakamilika pale anaposema wako tayari kutoa ushirikiano na mtu yeyote mwenye taarifa zitakazobadilisha matokeo ya upelelezi tulioufanya. Namnukuu toka majira..... "Nimesikia taarifa zilizotolewa na tunazitafakari, hatukatai taarifa kutoka kwa mwananchi, tutaipokea na kuifanyia kazi ili tuone kama zitabadilisha matokeo ya upelelezi tulioufanya," alisema.
Nasema sikubaliani na uchunguzi anaosema ulisha kamilika kwani bado anaonyesha uchunguzi wake huo haupokamili.
Yeye kama Mkurugenzi anatakiwa kutoa taarifa kamili na abaki na msimamo huo bila kutuchanganya wananchi. Kufanya hivyo bila kujua athari zake atasababisha wananchi kujikita zaidi kuamini taarifa za udaku badala ya taarifa tunazoziamini kwamba ni za kitaalamu toka Jeshi letu la Polisi.
Bubu asante kumpa ushauri wa bure Manumba, ni kuchanganya wananchi yeye anapodai wamekamilisha uchunguzi ambao bado yeye anaona kuna taarifa zaidi zinazo weza ubadilisha! Basi aseme tu uchunguzi unaendelea na mwenye ushahidi wa kusaidia aupeleke! vinginevyo kama umekamilika na ausimamie milele!
Kamishna Manumba aliliambia Majira Jumapili kuwa, pamoja na upelelezi huo kuonesha kuwa kifo hicho kilitokana na ajali, ofisi yake bado iko wazi kwa mtu mwingine mwenye taarifa tofauti kuhusu kifo hicho kuzipeleka na zitafanyiwa uchunguzi.
"Nimesikia taarifa zilizotolewa na tunazitafakari, hatukatai taarifa kutoka kwa mwananchi, tutaipokea na kuifanyia kazi ili tuone kama zitabadilisha matokeo ya upelelezi tulioufanya," alisema.
Alifafanua kwamba taarifa zilizotolewa na Mchungaji Mtikila kuwa kifo hicho hakikusababishwa na ajali, ni sehemu ya taarifa ambazo zinaweza kutumika kufanya uchunguzi zaidi ili kubaini ukweli kuhusu taarifa hizo.
Alisema taarifa zilizotolewa na Mchungaji Mtikila kwa kuwa zimetuhumu baadhi ya watu, zinaweza kuongeza wigo wa eneo la kufanyia uchunguzi huo.
"Tunaamini kuwa Mchungaji anaweza kutusaidia, anaweza kutoonesha watu waliompa taarifa hiyo, hao nao watakuwa eneo la kufanyia uchunguzi na hata yeye mwenyewe (Mtikila) atachunguzwa. Pia tutafanyia kazi maeneo mengine tutakayopata kadri yatakavyojitokeza," alifafanua DCI Manumba.
Kimeteguliwa vp kama madaktari wawili tofauti walisem ni ajali?
Maswali najiuliza mimi mara nyingi nisomapo habari za hayati Wangwe ni haya - kuna sababu gani zilizofanya "auwawe"? What kind of a threat did he pose to upinzani and/or sisiemu?
Kwanza nashukuru hii kubandikwa hapa ili tuweze kuichambua, namshukuru sana Mkuu Bubu mwenzangu.
Hata hivyo mimi nina wasiwasi na matamshi ya DCI Manumba yeye kama Mkurugenzi wa Makosa ya jinai anasema uchunguzi wao ulisha kamilika na ilionekana Mh Chacha Wangwe hakuuawa. Hapo sipingani naye. Lakini ninapingana naye na kuona hii taarifa yake haijakamilika pale anaposema wako tayari kutoa ushirikiano na mtu yeyote mwenye taarifa zitakazobadilisha matokeo ya upelelezi tulioufanya. Namnukuu toka majira..... "Nimesikia taarifa zilizotolewa na tunazitafakari, hatukatai taarifa kutoka kwa mwananchi, tutaipokea na kuifanyia kazi ili tuone kama zitabadilisha matokeo ya upelelezi tulioufanya," alisema.
Nasema sikubaliani na uchunguzi anaosema ulisha kamilika kwani bado anaonyesha uchunguzi wake huo haupokamili.
Yeye kama Mkurugenzi anatakiwa kutoa taarifa kamili na abaki na msimamo huo bila kutuchanganya wananchi. Kufanya hivyo bila kujua athari zake atasababisha wananchi kujikita zaidi kuamini taarifa za udaku badala ya taarifa tunazoziamini kwamba ni za kitaalamu toka Jeshi letu la Polisi.
Wakuu wote heshima mbele sana, ninapenda kuwakumbusha kuwa bado tulikuwa tunaendelea na uchunguzi wa kifo hiki, na tuliahidi kua pole pole siku moja tutasema tulipofikia kuhusiana na uchunguzi, naomba kusema kuwa bado tupo on top of this thing na kwamba soon tutaleta tuliyokwisha yapata,
It does not look good to some of our friends here JF, kuna ambao inaonekana kuwa kumbe mnajua something kuhusiana na hiki kifo na tuko wote hapa kila wakati, sasa why don't you come forward and clean of what you know and what you do not kuhusiana na hiki kifo?
Nilisema huko nyuma na ninarudia tena kua marehemu Wangwe, hakufa kwa ajali ya gari, na niliapa kuwa sitachoka kufuatilia ukweli wa kilichotokea na kuuweka hapa, kwa sababu from mwazo nilikuwa ninaamini kuwa hii haikuwa ajali ya kweli, kwa sababu tumethibitisha kwamba:-
1. Kwenye gari kulikuwa na watu watatu, Wangwe (RIP), na wengine wawili.
2. Mahali ilipotokea "ajali", kulikuwa na gari lingine standby somewhere, baada ya "ajali" ambalo mmoja wa abiria alilitumia kuondoka nalo baada ya kumuacha mwenziwe ambaye alichanganyikiwa baada ya "ajali" na kusahau the original plan ya kukimbilia gari la standby baada ya "ajali".
3. Mzee wa kigogo, aliyekimbilia kusaidia baada ya kusikia kilio cha msaaada baada ya "ajali", ni 100% fact kuwa aliwakuta watu wawili aliwaona wakiu-search mwili wa marehemu aliyekuwa ndani ya gari, ambalo mwanzoni aliliona likienda huku watu wale wawili wakiwa nje ya gari lile la "ajali" wakilifutia kwa pembeni mpaka liliposimama.
4. Mmoja hawa watu wawili, alichukua "something" kutoka mwilini mwa marehemu, ikiwa ni pamoja na laptop, ambayo kwa mzee wa kigogo it looked like a little black box, na later aliskia gari likiondoka karibu na hapo lakini hakuliona gari hilo.
5. Simu ya kijana aliyekamatwa ambaye sasa yuko ndani, ilikutwa ikiwa na ujumbe mwingi sana wa back and forth, kati yake na mbunge mmoja maarufu sana, sasa why don't you come forth na kutuambia hapa JF the whole story kuhusu mawasiliano yenu na huyu kijana?
- Kumbe ulikuwa unamjua huyu kijana aliyekamatwa? tuambie sasa who is he? Wewe ulimjua lini? How? Je baada ya "ajali" did you volunteer info on your own to authorities of knowing and having sometype of communications with this kid? Kama hukufanya hivyo why? Je mlikuwa na mawasiliano ya aina gani na huyu kijana? Who is huyu kijana anyways?
6. Kwa wale mlioshirki ku-deal na mwili wa marehemu, kuanzia bungeni mpaka kwenye mazishi, kwa nini msitueleze ukweli kuhusu the state ya mwili wa marehemu, na hasa ni kwa nini mnafikiri kuwa nyuma ya kichwa cha marehemu kati ya shingo na kichwa kuna sehemu kubwa ya kiuongo ina-miss?,
- na hata kuwafanya madakitari maalum waliokuwepo kuuweka vizuri mwili bungeni kupata shida sana kukirudisha kichwa ambacho kilikuwa kinaning'inia tu na mwili pamoja, rais alipokuja kutoa heshima zake kwa marehemu?
7. Kaka wa Wangwe ni kwa nini baada ya mazishi amekana kuwa ndugu yake hakufa kwa ile "ajali?" ila yeye na familia yake walitaka kama alivyosema "kuokoa jahazi?"
Kwa leo ni hayo tu, lakini sooon tutakuja na mengi zaidi na kwa ukaribu zaidi.
Ahsante Wakuu.
Mkuu ES maandiko yako kidogo yamenishitua sana sana .Nakuamini sana kwa data lakini kwenye hizi I will be very skeptical na nitakuja na majibu yako .Sote tuko graundini tunatafuta data za ukweli .Kuna harufu fulani lakini sitaki kubishana but we are all at work .
Swala hili linataka kukuzwa na watu walikosa la kusema mwanzoni na soon wataibuka na hoja namba 2.
Tupo na tutasema yunayo yajua .