Mkuu Lunyungu,
Heshima mbele sana, ninakuomba kuwa kama una anything you know kuhusu hii ishu uuweke hapa ili tuweze kulisaidia hili taifa na ukweli, this is a very serious ishu ambayo hatuwezi kucheza na facts, ndio maana I am being very careful kwenye kila neno ninalolisema, na nina sababu za msingi kwa kila neno ninalolisema na sina personal ishu na anybody kuanzia hapa wala nje ya hapa, ninayaamini maneno ninayoyasema kwa 100%, na sina agenda yoyote zaidi tu ya committment yangu na taifa, na hasa heshima ya hii forum,
Now some more points kutoka kwenye investigation yangu,
1. - Ninamsafisha DR. Slaaa kwa 100%, kuwa hahusiki na kifo cha Wangwe, na wala hakujua kilichotokea na mpaka leo hajui kilichotokea, ninasema hivi kwa sababu kwangu hii investigation ninaifanya na open eyes na with open mind,
2. - Simu-Isolate anybody na wala simshuku anybody, lakini anybody is anybody, nilipoianza hii investigation nilikuwa na one thing in mind, kwamba hii "Ajali" imefanywa na individuals kutoka vyama vya siasa, Vyama kama vyama haviuhusiki waliohusika wamefanya on personal level kwa faida za binafsi,
- On that line ninaanza kuwa wasi wasi kuwa kunaweza kua kulikuwa na a cross over kati ya viongozi wa vyama hivi vya siasa kwenye kutimiza huu uovu, lakini ninaliifanyia kazi to the end kujua ukweli, my point ni kwamba nina some leads ambazo zinanifanya niwe na wasi wasi kuwa kulikuwa na njama iliyofanywa kwa mchanganyiko wa viongozi kutoka upinzani na CCM, kwa kushirikiana.
- Kwangu viongozi wote wa vyama vya siasa nchini ni target of my investigation na as I move forward nitakuwa very open, ndio maana natangaza rasmi kumsafisha DR. Slaa kuwa hahusiki kwa 100%, sikusema wengine ambao sijawataja wanahusika, lakini mpaka nitakapowasafisha nitasema wazi kama ninavyosema sasa again kua Dr. slaaa hakuhusika na wala hahusikia na wala hakujua anything tena kwa 100%.
Ninarudia tena kua anayetaka tulisaidie taifa na hiki kitendawili please join me, lakini binafsi sina agenda yoyote wala sina interest yoyote, zaidi tu ya kulisaidia taifa, na kuweka heshima ya JF meble, na ninaomba niseme ukweli tena kua, binafsi nina exeprience kubwa sana na Criminal Investigations, kutokana na elimu nzito niliyonayo kwenye hiyo fani, kwa hiyo sio kwamba ninababaisha au ninakurupuka, na kama kawaida siahidi time limit on this, pole pole hakuna haraka, na wala sina muda wa kubishana na anybody.
Mkuu Lunyungu, kama kuna anything unakujua naomba ukiweke hapa tulinganishe tupo wapi na huu uchunguzi.
Ahsante Wakuu!
Mkuu
Duu tunaomba nasi utunyweshe kidogo hiyo ELIMU NZITO inakopatikana na wengine tujaribu kuitauta.
Mimi nina OBJECTION moja tu ktk maandishi yako nayo ni unaposema vyama vya upinzani mimi nadhani pia ni vyema pia utumie chama tawala.Lakini uunapotaja CCM pia naona bora utaje kinaganaga CUF ama PP.