Hapa kuna matatizo mawili ambayo jamii imeya-overlook!
1. Kama Mr. Mallya ni jasusi kama anavyodaiwa, that means ni mtumishi wa Jamhuri!
Na kama hii theory ni kweli so far, je, alifanya tendo hili chafu kwa maelekezo halali ya " "Jamhuri" au ni " Rogue Operation"?
Na kama ni mtumishi wa Jamhuri na ametumiwa na kundi fulani kufanya assasination ya kiongozi mkubwa wa Chama cha Upinzani na Mbunge wa Jamhuri ya Muungano, then hii ni skendo ya nguvu, na inaihataji Investigation ya hali ya juu!
2. Kama jamaa ni jasusi anayemilikiwa na serikali, basi jamaa inabidi wafanye review ya mitaala yao, maana so far ni kichekesho. Hebu tufanye assumption kwamba jamaa alikuwa kwenye Espionage Operation mahala popote ng'ambo ambayo ni kwa manufaa ya taifa letu au kama ingekuwa ni wakati wa vita, ina maana jamaa angekamatwa na documents zake zote, simu pamoja na funguo wa gari mkononi? Mshkaji ameshindwa hata "kuzimia" kwa muda.. au hata kuwa INSANE tu kwa ajili ya cover? Hata movie za Hollywood hawafanyi makosa ya kitoto kama hayo!
Kwa uzembe na jinsi alivyoacha evidences ambazo serious investigator yeyote anaweza ku-trace kila kitu.. huyu jamaa si Jasusi. Na kama "Janitors wa Mbuyuni" wanaweza kufanya makosa ya kizembe kama haya basi taifa liko kwenye serious trouble. So far, mimi binafsi nikimtazama Bw. Mallya sioni sifa za trained jasusi aliyefuzu mafunzo ya hali ya juu kama Viongozi wetu wa vyama vya siasa walivyodai.
Kama kifo hiki ni assasination, basi assasin ni mtu mwingine, na Mr Mallya ni accomplice aliyeachwa eneo la tukio na maelezo ya cover-up, lakini bahati mbaya amechemsha!