Kifo cha mbwa wangu kimeniuma sana

Kifo cha mbwa wangu kimeniuma sana

Ungeambiwa uchague kimoja, kati ya chiwawa, wewe au ndugu yako wa karibu; ungechagua nani atangulie?
Mbwa ana mapenzi ya kweli kwa binadamu kuliko hata baadhi ya binadamu...
Watu wanauana wanatekana wanachukua viungo vya watoto wadogo wakati miaka fulani kule Mbeya pana mwanamke alitupa mtoto mchanga usiku sehemu moja ilikua na majani mengi na maji maji na kulikua na Mbwa wengi wakizurula hovyo maeneo yale wale mbwa tena madume yalimzingira yule mtoto mpaka kunakuchwa huku yakibweka hovyo bila kumdhuru yule kiumbe ilipofika saa kumi na moja ikiabidi raia mmoja aende hiyo sehemu akakuta pana mtoto kazungushiwa babyshow tu akaita watu kwa msaada zaidi na kutoa taarifa polisi baadae mtoto aliokolewa na kupelekwa Hospital baadae alipona na aliemtupa alikamatwa...
Hiyo ilitokea maeneo ya Mbeya,Sinde darajani miaka ya nyuma sana..
 
Pole Sana Kaka .
Wakati una msiba wa mbwa wako ni wakati ambao mbwa wangu ameondoka nyumbani yapata mwezi Sasa Yuko kwa jirani alifuata wanawake nikipiga ananiangalia Kama hakuwahi kuniona yaani inaumiza Sana ,Hawa wanyama waliletwa duniani kututesa tu
Mmbwa dume hayuko loyal kama wa kike me nimefuga wakike ila kipindi cha kupandwa hizo dume zinavojaa hapa
Mpk inafikia hatua wananifukuza kwangu
 
Sura yake inaonesha hakua na furaha kabisa
Kwann hukumpa dawa za minyoo kwa wakati
Mkuu nimempa vyote nilivyonavyo ila siku yake ilifika😭😭😭
Naiombea roho ya marehemu ilale mahali pema peponi
 
Nchi za Magharibi, wanavyovipenda hivyo vijibwa ni wanawake na mashoga. Sielewi kwanini.

Ukiona mwanamme anakitembeza njiani au kipo ndani ya gari lake unajuwa kuwa hili shoga.
 
Lete Hele kidogo nikupe huyu Ana miez 9
IMG_20241108_161430.jpg
 
Nchi za Magharibi, wanavyovipenda hivyo vijibwa ni wanawake na mashoga. Sielewi kwanini.

Ukiona mwanamme anakitembeza njiani au kipo ndani ya gari lake unajuwa kuwa hili shoga.
Wewe bolt kichwani zishaingua kitambo sana
 
Back
Top Bottom