HOST NOT FOUND
JF-Expert Member
- Dec 30, 2023
- 1,134
- 3,379
Tz,anWewe ni ke au me?
Tz,anWewe ni ke au me?
Malizia unachotaka kusema?Wewe ni ke au me?
Nijibu kwanza swali languMalizia unachotaka kusema?
Wewe au ke au me.Nijibu kwanza swali langu
MeNijibu kwanza swali langu
Kila la kheri. Sina usemi/kauli
Fungua uzi, huu wa kilio cha chihuahua.Thibitisha kuwa kuruani ni miongozo yamuumba
Mkuu,Habari wana-JF
Suala hili la kikatili la kufiwa na kitu nipendacho maishani mwangu.
Nimeamini kweli kifo hakichagui cheo, rangi wala pesa.
Kiumbe (Mbwa) hicho nilikipenda sana tena sana
RIP CHIWAWA 🙏
Mbele yetu nyuma yako
Haina kwereMkuu,
Picha ni muhimu Sanaa 😊 siku ingine zingatia Hilo.
Mbwa wako alikuwa na umri gani kama alikuwa na miaka zaidi ya 10 ndiyo umri wake wa kufaHabari wana-JF
Suala hili la kikatili la kufiwa na kitu nipendacho maishani mwangu.
Nimeamini kweli kifo hakichagui cheo, rangi wala pesa.
Kiumbe (Mbwa) hicho nilikipenda sana tena sana
RIP CHIWAWA 🙏
Mbele yetu nyuma yako
Vya kurithi ni Mara 10 zaidiHili la kwangu ni Malaya mpaka Mimi baba yake sijafikia level hiyo .
Basi kuna hitaji la muhimu ulimnyima, naye anahitaji kuuweka mwili sawaHapana bro ,yaani hata nitoke klabuni saa Saba usiku ni lazima nirudi na chakula chake nimpikie ale na Mimi nilale ila majibu yamekuwa tofauti .
Usaliti wa huyu mshikaji ulianza muda mchache baada ya kuwa amekuwa na Sasa anaweza kumudu ngono ni hapo anaona mbwa wa kike wa majirani ni bora Sana kuliko Mimi master wake .
Ila Kama upendo nimmuonesha Sana bro ,imagine Kuna muda nilikuwa nambeba kwenye Corolla yangu tunasafiri kilometre na maili nyingi kwenda mjini huko nitakula vizuri na kunywa ulanzi ila katu sikumuacha na njaa bado naye niliingia gharama ili ale ashibe tuendeleze na safari ila bado hajaona kitu chochote .
Changanya jamii ninayoishi kuanza kunisema ati namlala huyo mbwa ila sikujali as long as nampenda ila majibu yamekuwa ni usaliti .
Inauma rafiki ,sikia Sana ambiwa Sana ila usiombe yakukute inaumiza Sana .