Kifo cha mbwa wangu kimeniuma sana

Kifo cha mbwa wangu kimeniuma sana

Habari wanajf ,
Swala hili la kikatili la kufiwa na kitu nipendacho maishani mwangu.
Nimeamini kweli kifo hakichagui cheo,rangi wala pesa.
Kiumbe hicho nilikipenda sana tena sana

RIP CHIWAWA 🙏
Mbele yetu nyuma yako
Pole sana mkuu. Nafahamu uchungu unaopitia baada ya kuondokewa na mbwa wako mpendwa. Bila shaka wewe utakuwa na chembechembe za uzungu au umeishi ulaya kwa muda mrefu sana hadi ume adapt culture za kizungu.
 
20240819_150812.jpg

pole sana ,bora umiliki mbwa kuliko paka jasusi
 
Habari wanajf ,
Swala hili la kikatili la kufiwa na kitu nipendacho maishani mwangu.
Nimeamini kweli kifo hakichagui cheo,rangi wala pesa.
Kiumbe hicho nilikipenda sana tena sana

RIP CHIWAWA 🙏
Mbele yetu nyuma yako
Duuuuuu chiwawa kafariki🥲🥲🥲🥲 bora angekufa Samia kuliko huyo mbwa
 
Ukitaka kujifunza na ku experience upendo wa kweli unconditional love fuga mbwa. Mbwa anakupa mapenzi yote bila kujalisha, akikuangalia machoni na una feel love.

Ukitaka kujifunza na ku experience jinsi ya kujipenda mwenyewe na kujipendelea fuga paka. Paka anakuonyesha mapenzi na anatarajia umpe mapenzi usipofanya hivyo anakupuuza na mara nyingi paka wanaopenda sana kupokea sana kuliko kutoa upendo.
Mapenzi kama Mapenzi
 
Pole Sana Kaka .
Wakati una msiba wa mbwa wako ni wakati ambao mbwa wangu ameondoka nyumbani yapata mwezi Sasa Yuko kwa jirani alifuata wanawake nikipiga ananiangalia Kama hakuwahi kuniona yaani inaumiza Sana ,Hawa wanyama waliletwa duniani kututesa tu
Umenichekesha mkuu! Inaonesha ulikua humrudishii upendo anaokupa sababu mbwa ni waaminifu sana ukiwapenda.
 
Back
Top Bottom