Utajua wewe
JF-Expert Member
- Feb 20, 2024
- 928
- 1,854
- Thread starter
- #41
Mkuu huyu mbwa hana ndugu rambi rambi ni za nduguRambirambi inakufikiaje?
Mkuu huyu mbwa hana ndugu rambi rambi ni za nduguRambirambi inakufikiaje?
Inaumiza sana tena sanaHuzuni Sana CHIWAWA Nafsi imemtoka
Kwanini unasema hivyo?Matumizi mabaya ya R.I.P zetu .Mfs
Usamalia Wema..Mkuu huyu mbwa hana ndugu rambi rambi ni za ndugu
Kaacha Watoto Wangapi CHIWAWA?Inaumiza sana tena sana
Amina😔CHIWAWA karudi kwa Mavumbi, Nafsi imepaa,
Mimi huyu ni ndugu kabisaPole mkuu. Ukiwa na paka au mbwa ukamzoea sana hua inauma sana akifa. Kwanza ni viumbe marafiki sana na binadamu
Mavumbini tutarejea Katangulia CHIWAWAPole mkuu. Ukiwa na paka au mbwa ukamzoea sana hua inauma sana akifa. Kwanza ni viumbe marafiki sana na binadamu
Kifo ni fumbo kwa tulio bakiDuh aiseee
Inaumiza sanaDuh aiseee
Ni Ngedere we naeChiwawa si ni jamii ya mbwa?
Daah....umenikumbusha wa kwangu.....nilikuwa na jike na dume jike likafa.....dume limeona madem jirani limehama kabisaaa.....hata nikimrudisha akipata upenyo byebye.....daahPole Sana Kaka .
Wakati una msiba wa mbwa wako ni wakati ambao mbwa wangu ameondoka nyumbani yapata mwezi Sasa Yuko kwa jirani alifuata wanawake nikipiga ananiangalia Kama hakuwahi kuniona yaani inaumiza Sana ,Hawa wanyama waliletwa duniani kututesa tu
Kafiri ni yule anayepinga miongozo ya Muumba wake.Ukafiri ni nini ? Na ni nani?
Miongozo ipo wapi?Kafiri ni yule anayepinga miongozo ya Muumba wake.
Miongozo ipo wapi?