Kifo cha mbwa wangu kimeniuma sana

Kifo cha mbwa wangu kimeniuma sana

Pole sana mkuu. Nafahamu uchungu unaopitia baada ya kuondokewa na mbwa wako mpendwa. Bila shaka wewe utakuwa na chembechembe za uzungu au umeishi ulaya kwa muda mrefu sana hadi ume adapt culture za kizungu.
Mkuu inauma sana
Bora umpoteze Ex
 
Umenichekesha mkuu! Inaonesha ulikua humrudishii upendo anaokupa sababu mbwa ni waaminifu sana ukiwapenda.
Hapana bro ,yaani hata nitoke klabuni saa Saba usiku ni lazima nirudi na chakula chake nimpikie ale na Mimi nilale ila majibu yamekuwa tofauti .

Usaliti wa huyu mshikaji ulianza muda mchache baada ya kuwa amekuwa na Sasa anaweza kumudu ngono ni hapo anaona mbwa wa kike wa majirani ni bora Sana kuliko Mimi master wake .

Ila Kama upendo nimmuonesha Sana bro ,imagine Kuna muda nilikuwa nambeba kwenye Corolla yangu tunasafiri kilometre na maili nyingi kwenda mjini huko nitakula vizuri na kunywa ulanzi ila katu sikumuacha na njaa bado naye niliingia gharama ili ale ashibe tuendeleze na safari ila bado hajaona kitu chochote .

Changanya jamii ninayoishi kuanza kunisema ati namlala huyo mbwa ila sikujali as long as nampenda ila majibu yamekuwa ni usaliti .

Inauma rafiki ,sikia Sana ambiwa Sana ila usiombe yakukute inaumiza Sana .
 
Habari wana-JF

Suala hili la kikatili la kufiwa na kitu nipendacho maishani mwangu.
Nimeamini kweli kifo hakichagui cheo, rangi wala pesa.
Kiumbe (Mbwa) hicho nilikipenda sana tena sana

RIP CHIWAWA 🙏
Mbele yetu nyuma yako
Alikua na kiwango gani cha elimu mkuu?
 
Habari wana-JF

Suala hili la kikatili la kufiwa na kitu nipendacho maishani mwangu.
Nimeamini kweli kifo hakichagui cheo, rangi wala pesa.
Kiumbe (Mbwa) hicho nilikipenda sana tena sana

RIP CHIWAWA 🙏
Mbele yetu nyuma yak

Mimi juzi juzi nimefiwa na MBWA wangu Suzi mpaka sasa nafikiri nisifuge mbwa tena kutokana na nilivyomoenda!
 
Mkuu pole aliumwa nin,, zingatia chanjo awam nyingine ka uta amua kufuga tena HOMA YA PARVO inasumbua sanaaaa hakikisha una chanja kwa wakati,,, ni nadra sanaaa mbwa kupatwa na maradh ila PARVOVIRUS inateketeza sanaaa
 
Habari wana-JF

Suala hili la kikatili la kufiwa na kitu nipendacho maishani mwangu.
Nimeamini kweli kifo hakichagui cheo, rangi wala pesa.
Kiumbe (Mbwa) hicho nilikipenda sana tena sana

RIP CHIWAWA 🙏
Mbele yetu nyuma yako
Pole sana mkuu. Naelewa maumivu yako...sipati picha siku hawa madogi wangu wakifa.
 
Back
Top Bottom