Kifo cha mbwa wangu kimeniuma sana

Kifo cha mbwa wangu kimeniuma sana

Unafiwa na kitu unaumia? Vp kwa anaefiwa na mtu afanyeje...
Habari wanajf ,
Swala hili la kikatili la kufiwa na kitu nipendacho maishani mwangu.
Nimeamini kweli kifo hakichagui cheo,rangi wala pesa.
Kiumbe hicho nilikipenda sana tena sana

RIP CHIWAWA 🙏
Mbele yetu nyuma yako
 
Pole sana mkuu, sisi wapenda mbwa tunajua unavyojisikia. Upendo, ukarimu na utii wa mbwa kwa wanaomfuga na kumjali ni wa pekee sana. Mbwa akifa au kupotea una miss sana mapenzi yake ya kweli.
 
Napenda nyau sana
Ukitaka kujifunza na ku experience upendo wa kweli unconditional love fuga mbwa. Mbwa anakupa mapenzi yote bila kujalisha, akikuangalia machoni na una feel love.

Ukitaka kujifunza na ku experience jinsi ya kujipenda mwenyewe na kujipendelea fuga paka. Paka anakuonyesha mapenzi na anatarajia umpe mapenzi usipofanya hivyo anakupuuza na mara nyingi paka wanaopenda sana kupokea sana kuliko kutoa upendo.
 
Pole Sana Kaka .
Wakati una msiba wa mbwa wako ni wakati ambao mbwa wangu ameondoka nyumbani yapata mwezi Sasa Yuko kwa jirani alifuata wanawake nikipiga ananiangalia Kama hakuwahi kuniona yaani inaumiza Sana ,Hawa wanyama waliletwa duniani kututesa tu
Akirudi utampokea? Au nawe utamkazia?
 
Pole Sana Kaka .
Wakati una msiba wa mbwa wako ni wakati ambao mbwa wangu ameondoka nyumbani yapata mwezi Sasa Yuko kwa jirani alifuata wanawake nikipiga ananiangalia Kama hakuwahi kuniona yaani inaumiza Sana ,Hawa wanyama waliletwa duniani kututesa tu
Power of pushiii hiyo, mapenz yanawachanganya hadi mbwa
 
Back
Top Bottom