Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,558
- 109,093
Ndio maana bangi imepigwa marufuku, hii ni skanka sasa.Habari wanajf ,
Swala hili la kikatili la kufiwa na kitu nipendacho maishani mwangu.
Nimeamini kweli kifo hakichagui cheo,rangi wala pesa.
Kiumbe hicho nilikipenda sana tena sana
RIP CHIWAWA 🙏
Mbele yetu nyuma yako