Kifo cha Dk. Reginald Mengi: Kuna nini nyuma ya pazia?

Kifo cha Dk. Reginald Mengi: Kuna nini nyuma ya pazia?

Hakika, uislamu umejisheheni.

Ukiona mali inaleta utata wa mirathi ujuwe si ya halali au warithi si wa halali.

Uislam raha sana, kwanza maiti azikwe kwa mali yake, pili ilipe madeni yake yote, itayobaki kama ni madeni au mali basi warithi watagawana kama ilivyoandikwa kwenye Qur'an, hesabu zake zipo wazi kabisa ndani ya Qur'an.

Urithi ni hata madeni, si mali tu. "Tajiri" Kama Mengi utakuta alikuwa anacheza na mikopo tu, sasa wacha warithi wagombanie madeni.

Tutaona muda si mrefu kila mmoja akijitoa kwenye mirathi.
[/QUOTE
 
It wasn’t Mengi is wish , Jack alipambana kuzaa na pia alipambania ndoa akiwa na akili zake kichwani watoto ndio wangekuja kumpa chochote baadae , it wasn’t easy kwa Mzee Mengi kukubali kuzaa na Jack Ndumba za Kiswahili zilitumika sana kumpumbaza ndio akakubali kuzaa nae , ndoa bibie alivyoona anapendwa akamtumia Mzee watu wamuombe Mzee amuoe Jack hasipomuoa Jack atajiua
Ndugu yangu....Mengi kazaa wale watoto kuendeleza kizazi chache...hujiulizi kwa ule umri wake hana hata mjukuu...kifupi Regina anakaribia Menopause na Abdiel hatusikii chochote japo akiamua anaweza sababu Ngombe hazeeki maini...Kwa tajiri kama Mengi aliona ni busara kuwa na mtoto wa kiume zaidi ya mmoja na ndo maana walifanya IVF kupandikiza watoto wawili wa kiume...Abdiel pekee ingekuwa risk sana maana Mengi anamwangalia na Mungu nae anamwangalia.
 
Who knows? Naongea kutokana na experience, may be mengi Kafa kifo cha kawaida.

Ilaaaaa kwenye sheria kuna kitu kinaitwa causation!!!!!

Kwa kifo kama cha Mzee usione watu wana question mkasema ni wivu, kwani ni mtu gani tofauti na mwanafamiliya ya mengi anataka Mali za mengi.???

Msituchoshe as if tuna akili mgando lazima tuangalie mazingira ambayo Mzee Kafa

Walienda Zanzibar, Mara jack akasema watoto hawajaenjoy, waende Dubai (tetesi)

Kwenye msiba wa kibonde Mzee mengi alikuwa anashikiliwa, je yeye jack alipata wapi ujasili wa kumzuluza Mzee wakati anaumwa.

Usolijua ni usiku wa Giza, iko wazi kwamba Jacky asingeweza safiri mwenyewe kunfata mchepuko wake akamuacha Mzee ndani,

Alitumia akili tu waennde wote, akipata upenyo ndio hivyo tena.

Jack amekuwa faraja ya Mzee muda wote waloishi wote hiyo sio siri ila tukubali, kwamba Mzee hakuwa na uwezo wa kumtimizia haja zake za unyumba.(tetesi)

So ni rahisi sana kuwa na mpango kando.
Mzee kama yule hata stress ya kitu kidogo yaweza muondoa duniani.

Mzee Kafa kifo cha kawaida lakini ambacho kimesababishwa na stress sa mambo mengi.

Note. Wanawake tupunguze tamaa, unapendwa umepewa kila kitu lakini haturiziki, binafisi mwanaume akinitimizia mahitaji muhimu, lazima nimvumilie kwa hali yeyote.
Nimesononeka sana kwa hii commment! Ukweli unauma yaani nimeumia kama mimi ndio mzee mengi. Haya mambo hayakupaswa kumtokea mtu kama yeye,the world is not fair sometimes.namlaumu kweli marehem.
 
Habari wana JF

Usiku huu katika pita pita kwenye twitter nakutana na baadhi ya tweet za Daudi T. Balali.

Kipindi kile cha kifo cha Dokta Mengi nilipata wasaa wa kukutana na mdada mmoja mnyarwanda. Katika kuongea naye aliniambia kwa kinyarwanda maana ya 'Ntuyabaliwe' ni 'hujaambiwa wewe'. Nilipomdodosa akaniambia kwa Rwanda wanapozaliwa watoto hupewa majina kutokana na siku na hali utakapozaliwa.
Mfano ukizaliwa wakati wa shida na kama wewe ni mhutu utapata majina ya kinyonge, matumaini, majina ya kukata tamaa n.k huo hakuna ukoo ukizaliwa unapata jina lako mpaka ufe mtoto wako anapata jina lingine

Kwa watutsi ukizaliwa unapata majina ya kifahari, majina ya kiheshima, majina ya makwezi. Hivyo wanajuana wanyarwanda kwa majina yao huyu ni mhutu au ni mtutsi.

Sasa nilipewa historia kidogo ya haya makabila mawili ya maziwa makuu ila yenye majinamizi makubwa. Mfano mtutsi yoyote hawaoagi mhutu vile vile na wahutu. Kama ikitokea mtutsi kaoa mhutu basi watoto watazaa kwa mtutsi.

Sasa najaribu kuunganisha doti kwa tweet hizo hapo je kuna jambo ambalo hatulijui linaendelea chini chini kwa familia ya Mengi..

AsanteView attachment 1096851View attachment 1096852View attachment 1096853View attachment 1096854View attachment 1096855
Mhh mtaa mzito huu
 
Mzee hakwenda kuzurulishwa kama Mange anavyowaambia..

Mzee alienda kukutana na Investors ambao wangefanya Joint Venture kufungua kiwanda cha simu za smartphones Nchini..
Brooo tangu hili sakata limeanza; nafuatilia kwa makini comments zako na nimeamua kuziamini. Binadamu hatuna huruma; sijui kwa nini hatumwachi Jacque amlilie mumewe kwa amani. Kufiwa tu kunavyoumiza jamani, bado mineno ya binadamu. Huu umaskini unatufanya tuwe na roho mbaya sana jamani; me siutaki kabisa.
 
Samahani mkuu hivi wamesema kafa kwa Ugonjwa gani?
Wabongo, nimeamini kwa nini watu tunalogana... ninachoamini huu ni wivu tu kwa bimdada hakuna chochote, mzee wetu kafa kifo Cha kawaida tu.

R.I.P mzee mengi
 
It wasn’t Mengi is wish , Jack alipambana kuzaa na pia alipambania ndoa akiwa na akili zake kichwani watoto ndio wangekuja kumpa chochote baadae , it wasn’t easy kwa Mzee Mengi kukubali kuzaa na Jack Ndumba za Kiswahili zilitumika sana kumpumbaza ndio akakubali kuzaa nae , ndoa bibie alivyoona anapendwa akamtumia Mzee watu wamuombe Mzee amuoe Jack hasipomuoa Jack atajiua

Em uone basi hata aibu kupoteza muda wako kutunga uongo wote huo. Eti alimtishia atajiua!; kamtishie bwana ako na wewe uone kama atakuoa
 
IVF ya kupanga kupata mapacha tena wawe wa jinsia moja hiyo ni sayansi ya wapi mkuu mbona unatuingiza chaka? Huyo kapata mapacha by chance kama wanawake wengine wanavyopata.
Why not possible? Inawezekana kabisa.
 
Yule dada anatamani siku zirudi nyuma amkatae mzee maana walimwengu wamemkalia kooni.
 
Dingilai alifeli sana kuoa uyo mtt

Kifo cha mengi kwa wanaume kinatupa somo kubwa sana hapakuwa na sababu za msingi mzee na pesa zake kwenda kufunga ndoa na kale kabint mzee na pesa zake kachapiwa mke...

By ze way Mwenye picha za Jacky akiwa mjamzito hebu hawekee hapa atutoe tongo tongo...
1557832362739-1698590731.jpg
 
Back
Top Bottom