Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,367
- 55,052
It wasn’t Mengi is wish , Jack alipambana kuzaa na pia alipambania ndoa akiwa na akili zake kichwani watoto ndio wangekuja kumpa chochote baadae , it wasn’t easy kwa Mzee Mengi kukubali kuzaa na Jack Ndumba za Kiswahili zilitumika sana kumpumbaza ndio akakubali kuzaa nae , ndoa bibie alivyoona anapendwa akamtumia Mzee watu wamuombe Mzee amuoe Jack hasipomuoa Jack atajiuaWatoto ni wa Mengi...Jacky alifanyiwa IVF ili apate mapacha wa kiume wawili na ilikuwa ni wishes ya Mengi mwenyewe
HahahaJiwe kajamber
Hahhaa....hebu tutafte hela mzee baba..mm na haya ya umbea wap na wapmanengelo habari za umbea si huwa unazipenda sana.
Kama GD tumeshindwa kupata itakuwa hela hahahha.Hahhaa....hebu tutafte hela mzee baba..mm na haya ya umbea wap na wap
Ohoooo !!!Dingilai alifeli sana kuoa uyo mtt
Kifo cha mengi kwa wanaume kinatupa somo kubwa sana hapakuwa na sababu za msingi mzee na pesa zake kwenda kufunga ndoa na kale kabint mzee na pesa zake kachapiwa mke...
By ze way Mwenye picha za Jacky akiwa mjamzito hebu hawekee hapa atutoe tongo tongo...
We bibi na chuki zako za kidini hujaacha tuUkiona mali inaleta utata wa mirathi ujuwe si ya halali au warithi si wa halali.
Uislam raha sana, kwanza maiti azikwe kwa mali yake, pili ilipe madeni yake yote, itayobaki kama ni madeni au mali basi warithi watagawana kama ilivyoandikwa kwenye Qur'an, hesabu zake zipo wazi kabisa ndani ya Qur'an.
Urithi ni hata madeni, si mali tu. "Tajiri" Kama Mengi utakuta alikuwa anacheza na mikopo tu, sasa wacha warithi wagombanie madeni.
Tutaona muda si mrefu kila mmoja akijitoa kwenye mirathi.
Pumba unazo wewe ,una hasira kama vile wewe mtoto wa marehemu .Utakufa kwa pressure kwa Maisha ya watu mkuu.Life is very simple don't complicate your life kwa kuumia na vitu vya watu.Maisha hayarudi nyuma yanasonga Mengi harudi tena duniani ukipata hasira kisa Jacqu ataridhi mali unashida kwani hata yeye atakufa na kuziacha tu what is your problem unless wewe ni mtoto wa marehemu otherwise unashida sana
Above fourty years ana hitaji gani la kimwili?Jack ni mzee kwa sasa bora atulie na watoto wake.
IVF ya kupanga kupata mapacha tena wawe wa jinsia moja hiyo ni sayansi ya wapi mkuu mbona unatuingiza chaka? Huyo kapata mapacha by chance kama wanawake wengine wanavyopata.
Pole kama nimekukwaza.Kama ameua au ajaua hiyo ni kazi ya ndugu au jamuhuri kumpeleka mahakamani kama hajapelekwa mahakamani hatuhitaji kumhukumu.Mke wa Erasto amepelekwa kwa ajili ya wifi yake na si Mume wake.
YesDaaah ni yule dada alikuwa anaishi Kibada-Kigamboni sio?
Labda alitakiwa aishi milele...Ni ujinga mtupu, in Africa kila kifo lazima kizue maneno ya kijinga watu wajinga waliwahi kukosa adabu kwa mtu muhimu kama Nyerere na kusema ukimwi, itakuwa Mengi. Angekuwa mpiga debe usingesikia chochote
Nioneshe hiyo chuki iko wapi katika niliyoyaandika? Au wewe ndiye mwenye chuki?We bibi na chuki zako za kidini hujaacha tu
Nilihisi kitu kibaya kwenye mauaji yale na sikutaka kufatilia kabisa hadi leo ndo nimeona comment yako hapa.