Watoto ni wa Mengi...Jacky alifanyiwa IVF ili apate mapacha wa kiume wawili na ilikuwa ni wishes ya Mengi mwenyeweDingilai alifeli sana kuoa uyo mtt
Kifo cha mengi kwa wanaume kinatupa somo kubwa sana hapakuwa na sababu za msingi mzee na pesa zake kwenda kufunga ndoa na kale kabint mzee na pesa zake kachapiwa mke...
Zile pacha mbili inasemekane sio wake....
By ze way Mwenye picha za Jacky akiwa mjamzito hebu hawekee hapa atutoe tongo tongo...
Samani lakini, hivi huwezi kuongea jambo bira kuutaja uislamu?"Waswahili" wengi tunayajua hayo, soma post namba 16, labda wanaojifanya Waswahili lakini si Waswahili maana wengi utakuta lugha mama zao si Kiswahili halafu anajiona Mswahili, Kiswahili utakuta kaanza kukisikia anapoanza shule. Waswahili 100% ni Waislam na hayo yapo ndani ya Qur'an.
Ukoo wa Mengi na hata huyo mkewe mdogo si Waswahili. Kumbuka hilo.
Kuhamishia mali kwa mtu ambaye hakuchuma ni discretion ya mwenye mali, ana uwezo wa kuamua kumpa yeyote mali yake kwa kadri atakavyoona inafaa katika wosia. Kwa ambaye hajaandika wosia, urithi unapewa kwa mwenye haki hiyo ambaye ni yule aliyeshiriki kuchuma au wale wanaomtegemea. Sasa kuna mantiki gani kuwapa wategemezi madeni, si watazidi kufilisika?Na Mali je Ni haki kuhamishia kwa mtu ambaye hakuhusika kuchuma? Sheria msumeno inakata kote.Ukichukua Mali chukua na Madeni.
Wale watoto ni wake mkuu tizama hata vichwa tu! Mimba inawezekana walipandikiza mbegu pengine watoto wasizurike na ugonjwa ule!Dingilai alifeli sana kuoa uyo mtt
Kifo cha mengi kwa wanaume kinatupa somo kubwa sana hapakuwa na sababu za msingi mzee na pesa zake kwenda kufunga ndoa na kale kabint mzee na pesa zake kachapiwa mke...
Zile pacha mbili inasemekane sio wake....
By ze way Mwenye picha za Jacky akiwa mjamzito hebu hawekee hapa atutoe tongo tongo...
Mmh jamani mapacha wamefanana na regina kama mama yao wamefanana na mengi sana sio kweli hapo
Social distance ni muhimu sana kuna watu ukiwaweka karibu unaumia...Yaan kheri Mengi angempangishia huyu mama nyumba
IVF ya kupanga kupata mapacha tena wawe wa jinsia moja hiyo ni sayansi ya wapi mkuu mbona unatuingiza chaka? Huyo kapata mapacha by chance kama wanawake wengine wanavyopata.Watoto ni wa Mengi...Jacky alifanyiwa IVF ili apate mapacha wa kiume wawili na ilikuwa ni wishes ya Mengi mwenyewe
Hivi mna hakika alikuwa anaishi kwa Mzee au ndio mmesoma mitandaoni na kusadiki?Yaan kheri Mengi angempangishia huyu mama nyumba
Samani lakini, hivi huwezi kuongea jambobirakuutaja uislamu?
Sio ugonjwa tu..ila IVF inamfanya mtu achague jinsia ya mtoto na idadi ya watoto na sio kubahatisha..kwa hiyo Mengi alitaka watoto wawili wa kiume mapacha ...angezaa kawaida possibility ya kupata hicho ni ndogoWale watoto ni wake mkuu tizama hata vichwa tu! Mimba inawezekana walipandikiza mbegu pengine watoto wasizurike na ugonjwa ule!
Kwanza shukrani kwa marekebisho, pia si kwamba na kereka ila ni kama umezidisha udini kitu ambacho si kizuru. Imekua jambo dogo tu basi lazima utie uislam ndani yake= bila
Na wewe ukitajwa Uislam unakereka?
Is trueWale watoto ni wake mkuu tizama hata vichwa tu! Mimba inawezekana walipandikiza mbegu pengine watoto wasizurike na ugonjwa ule!
Mkuu pesa pesa pesa pesa ni kila kitu..hata IVF ina range zake...Narudia pesa inaweza leta muujiza..technolojia hiyo ipo na inawezekana ni mfuko wako tu...IVF ya kupanga kupata mapacha tena wawe wa jinsia moja hiyo ni sayansi ya wapi mkuu mbona unatuingiza chaka? Huyo kapata mapacha by chance kama wanawake wengine wanavyopata.
Sory mkuu na maana huyo ‘bibi‘Unamaanisha kitu gani?
Ukiona mali inaleta utata wa mirathi ujuwe si ya halali au warithi si wa halali.
Uislam raha sana, kwanza maiti azikwe kwa mali yake, pili ilipe madeni yake yote, itayobaki kama ni madeni au mali basi warithi watagawana kama ilivyoandikwa kwenye Qur'an, hesabu zake zipo wazi kabisa ndani ya Qur'an.
Urithi ni hata madeni, si mali tu. "Tajiri" Kama Mengi utakuta alikuwa anacheza na mikopo tu, sasa wacha warithi wagombanie madeni.
Tutaona muda si mrefu kila mmoja akijitoa kwenye mirathi.
Maana ya mirathi Ni kurithi Mali na Madeni ya Marehemu.Wengi hudhani unarithi Mali tu Sio kweli .Unarithi vyote Mali zake na Madeni yake.Wewe mrithi ndio unakuwa mumiliki mpya halali anayetambuliwa kisheria wa Mali na Madeni ya Marehemu na unatakiwa uwe unafanya marejesho ya malipo ya hayo madeni.Kama marehemu alikuwa na Madeni mrithi ndio anatakiwa ayalipe akishindwa hatua husika za kudaiwa Madeni huchukuliwa ikiwemo kufilisiwa aliyerithi nk.Waswahili wengi hudhani mirathi Unarithi Mali tu!!!!!!!